Tumeshahama sasa tujikite kwenye ndoto ya Nyerere ya kuwa na serikali moja kwani Dodoma ni katikati ya Kagera na Zanzibar

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,903
141,850
Baada ya Rais wetu mpendwa Dk. Magufuli kutimiza ndoto ya baba wa taifa ya kuhamia Dodoma ni wakati sasa wa kufikiria ndoto ya pili ya Mwalimu Nyerere ya kuwa na muungano wa serikali moja.

Dodoma ni katikati ya ramani ya muungano wetu hivyo serikali kuhamia katika jiji hilo ni ishara nzuri ya kumalizia kiporo cha serikali moja. Kwa kukumbushana tu Singida anakotokea Tundu Antipas Lissu ndio katikati ya nchi iliyokuwa inaitwa Tanganyika.

Ni hayo kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
 
Labda mtumie mitutu kuwalazimisha zanzibar. Kule ni serikali tatu na sikinginecho. Nyerere alikuwa na ndoto zake nasi pia tuna ndoto zetu. Pelekeni referendum tujuwe kile raia wanachotaka.
 
Baada ya Rais wetu mpendwa Dk. Magufuli kutimiza ndoto ya baba wa taifa ya kuhamia Dodoma ni wakati sasa wa kufikiria ndoto ya pili ya Mwalimu Nyerere ya kuwa na muungano wa serikali moja.

Dodoma ni katikati ya ramani ya muungano wetu hivyo serikali kuhamia katika jiji hilo ni ishara nzuri ya kumalizia kiporo cha serikali moja. Kwa kukumbushana tu Singida anakotokea Tundu Antipas Lissu ndio katikati ya nchi iliyokuwa inaitwa Tanganyika.

Ni hayo kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Muungano wa serikali moja unanukia kwa sababu zanzibar kwa hivi sasa siyo nchi ni jiji kama ilivyo Mwanza, mbeya Tanga, D'salaam na Dodoma ambayo ni mikoa pia. Kishindo cha awamu ya tano.
 
Mzee Mgaya na mchungaji Erasto nao wanamtazamo kama huu huu wa kwako?
Mchungaji Erasto amesema kwa sasa Mbowe na mzee Mtei ndio waasisi pekee wa Chadema waliobaki wengine wote ni wageni hapo Ufipa.

Je, unabisha wewe siyo WAKUJA hapo Chadema?
 
Baada ya Rais wetu mpendwa Dk. Magufuli kutimiza ndoto ya baba wa taifa ya kuhamia Dodoma ni wakati sasa wa kufikiria ndoto ya pili ya Mwalimu Nyerere ya kuwa na muungano wa serikali moja.

Dodoma ni katikati ya ramani ya muungano wetu hivyo serikali kuhamia katika jiji hilo ni ishara nzuri ya kumalizia kiporo cha serikali moja. Kwa kukumbushana tu Singida anakotokea Tundu Antipas Lissu ndio katikati ya nchi iliyokuwa inaitwa Tanganyika.

Ni hayo kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Mmehamia Dodoma au mnafanya maigizo, mko Dodoma kutwa kucha mko Dar es Salaam.
 
Tanganyika ni rwanda,burundi,kenya,uganda na pamoja na hapa kwetu!!!wakoloni wakatugawa kwa ramani zetu hizi za sasa!!!Mwl nyerere akapambana ili vijana wake wa kitusi watawale nchi hizo pamoja na kongo!akafanikiwa lakin alifeli pale kenya!!!!!TURUDI TUWE NCHI MOJA KAMA ZAMANI!!!
 
Baada ya Rais wetu mpendwa Dk. Magufuli kutimiza ndoto ya baba wa taifa ya kuhamia Dodoma ni wakati sasa wa kufikiria ndoto ya pili ya Mwalimu Nyerere ya kuwa na muungano wa serikali moja.

Dodoma ni katikati ya ramani ya muungano wetu hivyo serikali kuhamia katika jiji hilo ni ishara nzuri ya kumalizia kiporo cha serikali moja. Kwa kukumbushana tu Singida anakotokea Tundu Antipas Lissu ndio katikati ya nchi iliyokuwa inaitwa Tanganyika.

Ni hayo kwa uchache.

Maendeleo hayana vyama!
Naunga mkono hoja

P
 
Serikali moja itapendeza zaidi, znz ipewe hadhi inayostahili, mkoa!
 
Dodoma si katukati ya Tanzania, Singida Wilaya ya Manyoni na Kuna mnara upo kabisa kwamba ndio Kati Kati ya Tanzania na mstari wa ikweta ulipokatisha!
 
Back
Top Bottom