Baada ya Rais Magufuli kuhamia rasmi Dodoma, Je Ikulu ya Dsm itajulikana kama Ikulu ndogo na RC kusogezwa jirani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Nauliza tu kwa wajuzi wa itifaki maana sasa kiti cha Rais kimehamia Dodoma, je hapo magogoni patajulikana kama Ikulu ndogo?

Je, ofisi za mkuu wa mkoa zitahamia humo magogoni au pale ilipokuwa wizara ya elimu ili iwe jirani na Ikulu ndogo kama ilivyo katika mikoa mingine?

Nasubiri majawabu

Maendeleo hayana vyama!

cc: Pascal Mayalla
 
Itabaki hivo hivo Raisi atakae kuja baada ya huyu lazima atarudi huko.....kule ddoma naona kama ni kiki tu za kisiasa lakini bado sana ulizi makazi ya watumishi mabalozi nk
 
Kwa akili za huyu mzee utasikia mkuu wa mkoa hamia hapo... haaa
Nauliza tu kwa wajuzi wa itifaki maana sasa kiti cha Rais kimehamia Dodoma, je hapo magogoni patajulikana kama Ikulu ndogo?

Je, ofisi za mkuu wa mkoa zitahamia humo magogoni au pale ilipokuwa wizara ya elimu ili iwe jirani na Ikulu ndogo kama ilivyo katika mikoa mingine?

Nasubiri majawabu

Maendeleo hayana vyama!

cc: Pascal Mayalla
 
Paskali wananchi wanataka maendeleo siyo kubadirisha nyumba za serikali au duplication.
Gharama za kuhamia Dodoma haina umuhimu.kiuchumi bali ni matumizi mabaya ya pesa za umma kwa kipindi hiki.
Dodoma kama ilivyo sehemu nyingine inahitaji zaidi kuboresha au kukuza kipato cha mwananchi.
Kazi za serikali kwa miaka ya sasa zinaendeshwa kwa IT Tehama,kulikuwa na haja gani ya kuwahamisha na kuwalundika katika vicolidor vya Dodoma?
Pili mji wenyewe upo lift valley je ukija zama miaka ijayo,je watakuwa tiyari kujenga floating capital city?itakuwa hasara ya nani kama si ya wananchi.
 
Nauliza tu kwa wajuzi wa itifaki maana sasa kiti cha Rais kimehamia Dodoma, je hapo magogoni patajulikana kama Ikulu ndogo?

Je, ofisi za mkuu wa mkoa zitahamia humo magogoni au pale ilipokuwa wizara ya elimu ili iwe jirani na Ikulu ndogo kama ilivyo katika mikoa mingine?

Nasubiri majawabu

Maendeleo hayana vyama!

cc: Pascal Mayalla

Utakatifu wa Ikulu ya Dar unabakia palepale kama Ikulu Mama ya nchi yetu, kuiingiza mikononi mwa watu wasioeleweka kunaweza kuinajisi.
 
Naomba na mimi nikuulize swali; Makazi ya Makamu wa Rais pamoja na Waziri Mkuu, mara baada ya kuhamia Dodoma kwasasa yapo chini ya nani?

Nauliza tu kwa wajuzi wa itifaki maana sasa kiti cha Rais kimehamia Dodoma, je hapo magogoni patajulikana kama Ikulu ndogo?

Je, ofisi za mkuu wa mkoa zitahamia humo magogoni au pale ilipokuwa wizara ya elimu ili iwe jirani na Ikulu ndogo kama ilivyo katika mikoa mingine?

Nasubiri majawabu

Maendeleo hayana vyama!

cc: Pascal Mayalla
 
Mwambie kila ifikapo mwezi wa saba wa kila mwaka kunakuwa na tetemeko la ardhi dodoma na zinakuwaga za magnitude ya chini hata ritcher scale haisomi..sasa kuna siku itakujatokea ya magnitude ya 8.9 ambayo matokeo yake mwayajua...tunasubiri.
 
Au iwe ofisi ya idara za ujasusi/au kikosi hatari cha wanamaji (maana iko ufukweni)
 
Ikulu Ni Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Mambo Yanakwenda Kasi, Hakuna Mtu Yoyote Kuishi Pale Isipokuwa Rais
 
Back
Top Bottom