dodoma

  1. J

    I am looking for a very bright woman

    Hii, Naitwa Jophy (29yrs), Christian (KKKT) and God fearing man. Naishi dodoma. I am a university graduate and now nafanya mishe zangu hapa dodoma. I am looking for a very bright woman (girl friend) PM me kama you are aged 21-25. Educated, confident, who is ready to be somebody's partner/wife...
  2. Ukiwa dodoma usikose viwanja hivi ..

    Kwa sasa Dom bata zimekuwa kibwena kutokana na serikali kuhamia huku. Kuna platinum 4G Kuna Royal village. Kuna waswanu pub ,chimbo linalokuja kwa kasi hapa utamkuta baba mzazi Ushimen anatafuna kuku. Kuna Chako ni chako ,hapa ni spesho kwa kuku watamu usije tu jing'ata kisogo..pia kuna nyapu...
  3. L

    Individual Contractor - Construction Site Supervisor, Dodoma, Tanzania

    Individual Contractor - Construction Site Supervisor, Dodoma, Tanzania Organization: Unicef Country: Tanzania Field location: Dodoma, Tanzania Office: UNICEF in Dodoma Follow @UNjobs Closing date: Sunday, 31 January 2021 Individual Contractor - Construction Site Supervisor Job no: 537608...
  4. Mpendwa Rais Magufuli, Dodoma haina maji. Hali ni mbaya!

    My President, hali ni mbaya sana. Inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Mgao wa maji ulikuwa mara mbili kwa wiki na awamu zote zilikuwa zinatoa maji kama mkojo (forgive me kwa lugha hii baba yangu). Kwa sasa ni mara moja kwa wiki on an unknown day, and time. By the way hata yakitoka, you need hours...
  5. U

    Rais wa Ethiopia kutembelea Tanzania kwa ziara ya siku moja

    Rais huyo wa nchi ya Ethiopia Mheshimiwa Sahle Work Zewde atawasili nchini kesho Januari 25, 2021 kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku moja Taarifa kwa mujibu wa Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi
  6. Waziri Jafo atoa wiki 2 kwa Uongozi wa Dodoma kuifanyia ukarabati Shule ya Msingi Nkuhungu na kuhakikisha inafikisha ufaulu wa asilimia 100

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo ameliagiza Jiji la Dodoma chini ya Mkurugenzi wake Joseph Mafuru kuifanyia ukarabati Shule ya Msingi Nkuhungu pamoja na kuhakikisha inafikisha ufaulu wa asilimia 100 kwenye matokeo ya mitihani ya darasa la nne. Jafo ametoa kauli hiyo leo...
  7. DUWASA mamlaka inayoshindwa kuhudumia mji wa Dodoma

    Ni wiki ya tatu sasa maji hayapatikani maeneo mengi ya mji wa Dodoma hasa Ilazo, Nzuguni na Kisasa. Waziri wa maji amemtumbua mkurugenzi wa DUWASA mhandisi Pallangyo mara tu baada ya kuapishwa lakini tatizo inaonekana ni zaidi ya huyo Mkurugenzi kwani shida ya upatikanaji wa maji iko pale pale...
  8. Natafuta kazi Dodoma

    Niko Morogoro ila natafuta kazi yoyote katika mji wa Dodoma nina Elimu ya Diploma ya Business Admnistration nipo tayari kufanya kazi yoyote katika mji huwo. Mwenye connection yoyote plz anitafute 0782394214
  9. Kati ya Arusha, Dar, Dodoma na Mwanza, wapi wanaongoza kwa kula mboga?

    Watu wamekuwa wakila mboga kwa visingio mbalimbali, wengine wakisingizia hii sio mboga, hii ni mishikaki. Wengine wanasema hii sio mboga, hii ni supu na wengine wanasema hii sio mboga ni nyama choma. Sasa katika hiyo mikubwa ni wapi mahiri zaidi kwa ulaji wa mboga?
  10. Mahali pa kupata lunch na dinner Dodoma

    Wakuu salamu, Kama mnavyojua jiji la Dodoma linakua kwa kasi ya 4 G, linapokea wageni kila siku iitwayo leo, naomba tutaje mahali bomba panapo ongoza kutoa huduma bomba na classic za dinner na lunch. Zitakuwa mwongozo kwa wote wageni na wakazi wa Dodoma. Karibuni.
  11. Serikali jengeni bwawa kubwa eneo kati ya Wilaya ya Chamwino, Kongwa na Mpwapwa

    Kupitia Jukwaa Tukufu, Nawasilisha ushauri na maoni yangu kupendekeza kwa serikali ya Jamhuri wa Tanzania kujenga bwawa/lambo kubwa linalotokana na uvunaji wa maji ya mvua (rainfall water catchment dam). katika eneo lolote litakalobainishwa na wataalamu kati ya wilaya za Kongwa, Chamwino na...
  12. Tunachimba visima vya maji na tunauza Mashamba ya Miti ya mbaio

    Jipatie KISIMA cha Maji kwa LAKI TANO ( nchini kote) Kutoka Asasi ya PDPR Njombe, Gharama za mradi:kuchimba laki 5, kama kitakuwa ndani ya mita 25 kila mita itakayo zidi utalipia 20,000ukihitaji kufungiwa water pump ipo ya solar milioni 1.6 ya umeme laki 5 zote zikiwa complete pamoja na...
  13. Wabunge wote watakiwa kufika Dodoma Januari 17

  14. Ushauri nataka kununua PC, HP niko Dodoma

    Habari zenu wakuu, Naombeni ushauri nataka kununua PC mpya aina ya HP, Lakini sina utaalamu wowote juu ya PC ipi ni nzuri zaidi. Hivyo ningependa kujua yafuatayo:- ~PC ipi ya HP itanifaa kwa kusomea na kuchezea games ~Pia ipi ni nzuri kea kutunza charge ~Display iwe kuanzia 14inches Pia naomba...
  15. Ukweli lazima Usemwe: kwaiyo Wanawake wote wa Hitwe nyie mikoa yenu ni Dodoma, dar, Arusha na Mwanza, hakuna wa Ruvuma au Mara,

    Ndio nimeingia na mimi huko nami ni mfatiliaji mzuri tu, Sema kinanishinda kitu kimoja Wanawake wote wa huko ni hiyo mikoa ya Dar, Mwanza Arusha na Dodoma ndo wengi, Sijaona wa iringa au Makambako ama wa Rusumo🤦😂, Wanawake mnakwama wapi kuweni kwenye hiyo Mikoa nasi tufaidi alaaa, Sasa...
  16. TRC na Ajali ya Dodoma: Kuna tatizo la kiutendaji

    Hii ajali ya majuzi, treni kuacha njia baada ya mvua kubwa, limeniacha na maswali ambayo lazima yajibiwe. Baada ya ajali mbaya ya train na MV Bukoba zilizotokea miaka ya My Mkapa, Awamu ya pili, nilitegemea tutakuwa kumetengenezwa Standard Operatinal Procedures kwa kuendesha hivi vifaa vyetu...
  17. Bahi, Dodoma: Treni iliyokuwa ikitoka Dar kuelekea bara imepata ajali. Majeruhi na vifo vyaripotiwa

    Nimepigiwa simu na mpwa wangu ambaye ni miongoni mwa abiria walionusurikana, kuwa treni iliyokuwa ikitoka Dar - Kigoma imepata ajali kilometa chache kutoka stesheni ya Dodoma. Inasemekana watu kadhaa wamejeruhiwa na inadaiwa watu 3 wamepoteza maisha. Naomba wahusika wafuatilie. ======...
  18. Dodoma: Mkurugenzi wa Chemba atakiwa kujieleza TAMISEMI kwa kuchelewesha miradi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo amechefuliwa na kitendo cha ucheleweshwaji wa miradi katika Wilaya ya Chemba huku akimwagiza Mkurugenzi kuhakikisha anampelekea maelezo ni kwanini wasichukuliwe hatua kwa uzembe huo. Hali hiyo...
  19. U

    TANZIA Kada Maarufu wa CCM Jijini Dodoma, Egra Mamoto afariki dunia ghafla

    Mwendazake Bi Egla Mamoto alikuwa Kiongozi wa CCM Jijini Dodoma. Taarifa hii ya kushtukiza na kusikitisha zimeripotiwa na gazeti la Mwananchi la leo Disemba 27, 2020. Tunatoa pole kwa familia na Chama kwa msiba huu mkubwa. ---- Aliyewahi kuwa Kaimu Katibu idara ya Uhamasishaji na Chipukizi...
  20. Waziri Jafo atamani Halmashauri zijitegemee baada kutembelea mradi wa Government City Complex wa jijini Dodoma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe, Selemani Jafo amesema ndani ya miaka mitatu ijayo matamanio yake ni kuona Halmashauri zinajitegemea zenyewe kupitia mapato ya ndani na kwamba ifike muda ziwe zinalipa watumishi wake mishahara. “Nikiangalia hoteli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…