dodoma

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Hali si shwari Dodoma. Wananchi waendelee kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amewataka wakazi wa Dodoma kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona kwa sababu hali si nzuri mkoani humo. Ameyasema hayo leo Jumanne Agosti 3, 2021 wakati akizungumza na askari wa usalama wa barabarani na viongozi wa masoko wa mkoa wa Dodoma...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa UVCCM Taifa azindua Vijana Jogging club aliyoianzisha mkoani Dodoma

    KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA AZINDUA VIJANA JOGGING CLUB ALIYOIANZISHA MKOANI DODOMA. 31.07.2021 Katibu mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi amezindua rasmi VIJANA JOGGING CLUB MKOANI DODOMA. Amelekeza Mikoa yote kuwa na Vikundi Vya JOGGING VYA VIJANA lengo ikiwa kulinda afya pamoja na...
  3. Tujisahihishe Tz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini

    Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma katikati ya mji maeneo ya majengo kina ukubwa wa 35 kwa 17, kina offer. Bei ni 230mil mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082, naamini hutojuta kukinunua kama una mipango ya kuwekeza katikati ya mji. Karibuni
  4. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Propaganda za Chanjo ya COVID-19: Askofu Gwajima apuuzwe

    Kwanza nilitamani sana huyu mtu anayejiita Askofu akamatwe na vyombo vya dola kisha ahojiwe kuhusu tabia yake ya kwenda kanisani na kwenda kuwadanganya Watanzani kua chanjo si salama wakati anajua kabisa kua kila chanjo inayotolewa na serikali imejiridhisha. Huyu mtu anarudisha juhudi za...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Hatujazidiwa na idadi ya wagonjwa - uongozi wa Dodoma

    Wakati wakazi wa Dodoma nchini Tanzania wakitakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, uongozi wa mkoa huo umesema hospitali zake hazijazidiwa na idadi ya wagonjwa. Aidha, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma imeanza kufua hewa ya oksijeni ambapo kwa siku wana uwezo wa kuzalisha...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Wabunge tuanze kukatwa kodi kwenye Mishahara yetu

    Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa, amesema imefikia hatua Wabunge waanze kulipa kodi kupitia mishahara yao ili wapate uwezo wa kuwaambia Wananchi na wao walipe kodi. Silaa ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliowashirikisha wananchi wa Mzinga Ukonga jijini Dar es Salaam wakati akizungumzia...
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Dodoma: Mbowe asipoachiwa, tutaitisha maandamano bila kikomo

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma kimesema kuwa endapo Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa Freeman Mbowe asipoachiwa ifikapo saa kumi kamili jioni leo July 22, 2021, kesho wataitisha maandamano bila kikomo mpaka pale Mwenyekiti atakapoachiwa. #MillardAyoUPDATES
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Achukua rushwa ili Mwanafunzi asiende Shule

    DODOMA - JULAI 19, 2021 TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI ACHUKUA RUSHWA ILI MWANAFUNZI ASIENDE SHULE Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma leo Julai 19, 2021 inatarajia kumfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma Bw. Maliselo Kapampa Saveli (29) na...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Baa maarufu ya Chako ni Chako jijini Dodoma almanusura iungue moto!

    Ile Bar maarufu jijini Dodoma inayopendwa na wabunge na wageni wengi "cha pombe" wawapo Dodoma imenusurika kuungua moto baada ya nyumba iliyo jirani yake kuteketea kwa moto. Chako ni Chako Pub ndipo aliposema mbunge msukuma kwamba KUB wa awamu ya 5 alikuwa anapata kinywaji kabla ya kuanguka na...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania RC Antony Mtaka kumsema Waziri mbele watoto umekosea. Kama watoto wakimdharau, watamheshimu nani?

    RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau Waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea. Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto wasifuate maagizo yake. Kama ulikua na nia hiyo ungesubiri umwambie kwenye mkutano wa viongozi wa serikali...
  11. MMASSY

    JamiiForums Tanzania Katika hili naungana na Antony Mtaka

    Nimetazama clip inayozunguka katika mitandao ya kijamii kuhusiana na umuhimu wa makambi ya kitaaluma kwa wanafunzi kwa ajili ya kujiandaa na mithnani ya kitaifa. Wapo watu ambao wanananga kauli hii na kuona kuwa mkuu huyu wa mkoa amewananga wanasiasa wenzake,sisi tuliopata bahati ya kusoma...
  12. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya: Kuna wagonjwa 26 wa COVID-19 mkoani Dodoma

    Waziri wa Afya nchini Tanzania Dk Dorothy Gwajima, amesema mkoa wa Dodoma hadi sasa una wagonjwa 26 wa COVID-19 na kati ya hao wagonjwa 22 wanapumulia gesi. Dk. Gwajima amewataka Watanzania kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya wimbi la tatu la ugonjwa wa COVID 19.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma Makao Makuu, wote imekuwa ni njia moja Dar

    Yaani kwa sasa ni nadra sana kuwakuta hawa viongozi wapo Dodoma makao makuu - wote imekuwa ni njia moko Dar - Magari yenye bendera za Mawaziri na Watendaji wengine wa Serikali wamerudi Dar kwa kasi kubwa mno. Yaani haipiti saa tatu ukiwa Morogoro kila siku unaona gari la kiongizo liko spidi...
  14. kibovu

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha bata chenye Totoz Classic kinachojaza Dodoma

    Wakuuu poleni na majukumu. Ijumaa ntakuwa dodoma ndugu yenu naombeni location ya kiwanja cha bata chenye watoto classic kinachojaza toto zinacheza mziki mkubwa hapa makao makuu Dodoma Natanguliza shukrani zangu za dhati
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Dodoma: Aghushi nyaraka na kuwakodishia Vodacom eneo la Halmashauri

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoani Dodoma imesitisha malipo batili ya mnara wa simu huku tayari mtuhumiwa mmoja akiwa amekamatwa. Awali Taasisi hiyo ilitoa taarifa juu ya kuendelea na uchunguzi dhidi ya mtuhumiwa Lyato Bihemo wa jijini Dar es Salaam kwa kosa la...
  16. Mom Cleo

    JamiiForums Tanzania Biashara Makuru Dodoma

    Habari! Kwa wanaoishi maeneo ya Makuru hapa Dodoma, naomba kujua Kama ni kunafaa kwa biashara ya pombe kali kama konyagi, k vant, blak Gn na kuendelea za kupima lakin, je hilo eneo linafaa kwa biashara hio? Au Kuna biashara tofauti inayofaa zaidi eneo hilo? ASANTE[emoji1616]
  17. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Patrick Mfugale wa TANROADS afariki dunia Jijini Dodoma

    Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS. Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP ===== Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Mfugale amefariki Jijini Dodoma. Mfugale jana aliondoka na ndege akiwa na...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: IMF kusaidia Tanzania kupata fedha kukabiliana na athari za COVID-19

    IKULU, DODOMA: Mkurugenzi wa Idara ya Afrika kutoka Shirika la Fedha Duniani (IMF) Abebe Selassie amesema Shirika hilo litasaidia Tanzania kupata fedha kwa ajili ya kuimairisha sekta zilizoathiriwa na COVID19 ikiwemo Afya, Utalii na Maji Ameeleza hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla aenda kutibiwa Dodoma General hospital, ashangaa kukaguliwa barakoa getini

    Mbunge wa Nzega Kijijini Dkt. Kigwangalla amesema amekumbana na ukaguzi wa barakoa muda mchache uliopita pale geti kuu la Dodoma general hospital. Dkt. Kigwangalla amesema amefika hospitalini hapo kwa matibabu. Mungu ampe wepesi na uponyaji wa haraka. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  20. J

    JamiiForums Tanzania Posta yajidhatiti kuimarisha huduma zake jijini Dodoma

    POSTA YAJIDHATITI KUIMARISHA HUDUMA ZAKE JIJINI DODOMA. Na mwandishi wetu- Dodoma Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Bw. Macrice Mbodo amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka, kwenye Ofisi za Mkuu huyo wa Mkoa, Jijini Dodoma. Kikao hicho...
Back
Top Bottom