Wabunge wote watakiwa kufika Dodoma Januari 17

Wabunge wote watakiwa kufika Dodoma Januari 17

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
1610543408788.png

1610543419485.png
 
Kila la kheri wabunge wetu, Dodoma sasahivi mvua na hali ya hewa ni njema sana
 
Ni jambo jema sana.Maisha ni lazima yaendelee.Tunaltakia kila la heri bunge hili na Mwenyezi Mungu awasimamie "waijue haki waweze kuifuata na waijue batili waweze kuiepuka"
Wanaiepukaje batili wakati ndio iliyowaweka hapo? Eti niamini mbowe sugu heche msigwa lema wamekataliwa na wananchi labda maiti yangu iliwe na mzoga nyikani.
 
Wanaiepukaje batili wakati ndio iliyowaweka hapo? Eti niamini mbowe sugu heche msigwa lema wamekataliwa na wananchi labda maiti yangu iliwe na mzoga nyikani.
Magufuli mwenyewe tulimkataa kwenye sanduku la kura, sembuse hao vifaranga wake.
 
Back
Top Bottom