dodoma

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Kenani Kihongosi ni somo; hii ndiyo safari yake Kiongozi

    JE, WAJUA? Maisha ya Kenani yanatupa Somo - Amekuwa Waziri Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa - Amekuwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Jumuiya ya vyuo vikuu Tanzania TAHLISO - Amekuwa mjumbe wa Kamati ya Siasa Tawi. - Mjumbe wa Kamati ya siasa Kata. - Mjumbe halmasahuri Kuu ya Wilaya. - Mjumbe wa...
  2. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Nimepata wazo baada ya kumsikiliza Anthony Mtaka alipowaapisha Wakuu wa Wilaya Dodoma

    Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma. Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Market Development Executives-Mbeya, Dodoma, Kilimanjaro at Mwananchi Communications

    To increase copy sales and develop relationships with partners in the distribution channel and to ensure that you meet you’re set sales targets while maintaining an optimal return level. Full Job Description Promotes and coordinates sale and distribution of newspapers in areas served by...
  4. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Rais Samia teua Wakurugenzi, hawapo vituoni wote wamejazana Dodoma

    Wamekimbia vituo vyao, wamejazana Dodoma eti wanasema wanapigana ili warudi. Vituo vingi vinakaa bila watu, kazi hazifanyiki. Wapo huko wanaingaikie teuzi
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma kesho Jumanne Juni 22, 2021

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM inatarajia kukutana kesho Jumanne Juni 22, 2021 chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan katika ukumbi wa Jakaya Convention Centre Jijini Dodoma. Kikao hicho kimetanguliwa na kikao cha Secretariet ya...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ni wapi katika Mkoa wa Dodoma na Wilaya zake panapoweza kulimwa alizeti kwa tija?

    Ndugu wanajamvi, Nimehamasika sana na ushauri uliotolewa hivi karibuni na mh. Waziri mkuu Majaliwa kwamba sasa ni zamu ya watanzania kutajirika kupitia zao la alizeti. Naamini huu ushauri umekuja baada ya hali ya bei ya mafuta inchini kupanda sana kwa kipindi kifupi. Mimi ninaishi Arusha...
  7. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Connection ya bodaboda Dodoma

    Habari za leo wakuu, kijana wenu nimerudi tena Naomba yeyote mwenye kujua mtu anayehitaji dereva wa bodaboda yake aniunganishe maana naweza kufanya hiyo kazi kwa ufanisi mkubwa. Napatikana Mipango Dodoma 0624008133 Natanguliza shukrani. Zanzibar-ASP
  8. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali kufunga kamera za usalama maeneo mbalimbali ili kupunguza uhalifu

    Serikali imedhamiria kufunga kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kupunguza uhalifu ambao umeanza kushamiri katika maeneo ya jiji hilo baada ya Serikali kuhamia Dodoma huku wimbi la watu likichagiza hali hiyo ya uhalifu. Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania TRA Dodoma, fuatilieni matumizi ya mashine za EFD

    Habari za Jumapili! Leo napenda kuwahusia TRA Dodoma na Tanzania nzima kwa ujumla! Naomba msikae ofisini, chukueni mda wenu kutembelea maeneo ya biashara iwe Kwa kusema au kwa kutosema, ili muone na kufanya ufuatiliaji juu ya matumizi ya mashine za Efd. Nimekuwa Dodoma tena kwa wiki nzima na...
  10. chaliko

    JamiiForums Tanzania Uliza Swali lolote kuhusu Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania)

    Habari Ndugu zangu? Nipo Dodoma (Makao Makuu ya Tanzania) kwa miezi kadhaa sasa. Kama una Swali lolote kuhusu Dodoma, unaweza kuniuliza. Nipo tayari kujibu Maswali yenu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji Dodoma amefeli zoezi la urasimishaji makazi Nzuguni A

    Mheshimiwa Rais sisi wakazi wa Nzuguni A tunakuomba uingilie kati zoezi hili lisiloisha kwa wenye makazi na viwanja katika eneo la Nzuguni A. Zoezi hili linakaribia mwaka wa tatu lakini imekuwa linaenda kwa kusuasua sana urasimu umekuwa ni mwingi l, ubabaishaji na Rushwa imekithiri kupelekea...
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua sehemu wanapouza kuku wa kisasa wa mayai Jijini Dodoma

    Wadau habarini, Msaada kwa mtu anaeishi jijini Dodoma na anajishughulisha na uuzaji wa kuku wa kisasa wa mayai wanaotaga mwezi kwa mwezi ,kama yupo tuwasiliane tafadhali nahitaji hio bidhaa.
  13. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Katibu Mkuu CCM akutana na Katibu Mkuu wa CNDD - FDD cha Burundi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo leo tarehe 10/06/2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Tawala Cha Burundi cha CNDD -FDD Ndg. Reverien Ndikuriyo. Mazungumzo hayo yemefanyika katika Ofisi za Makao za Makao Makuu ya CCM jjini Dodoma. Katika...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali kuzindua Makao Makuu ya kitaifa ya watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi

    Kuelekea Siku ya Mtoto wa Afrika, Serikali inatarajia kuzindua Makao ya Taifa ya Malezi na Makuzi ya Watoto yaliyojengwa katika Kata ya Kikombo, jijini Dodoma. Akizungumza leo na Waandishi wa Habari jijini Dodoma, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wazee na Watoto, Dkt Dorothy Gwajima...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Lucy Mahenga: Huduma katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma sio ya kuridhisha

    Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mahenga, amesema huduma katika Hospitali Kuu ya Mkoa wa Dodoma sionza kuridhisha, vitu vingi vina kasoro na wananchi wamekuwa wakilalamika. Akiwa Bungeni amesema, "Hospitali imekuwa ikihudumia Wagonjwa wengi sana, hasa kutokana na kwamba idadi kubwa ya Wananchi...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia afanya mkutano na Wanawake ukumbi wa Jakaya Kikwete

    Wanawake zaidi ya 10,000 Mkoa wa Dodoma makundi mbalimbali wanatarajiwa kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 8 mwaka huu katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete. Hayo yamesemwa leo Juni 6,2021 na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  17. chazachaza

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

    Serikali ya awamu ya tano ya Hayati Magufuli sote twajua iliasisi miradi mingi ktk maeneo mbalimbali ya nchi, mfano bwawa la Mwl. Nyerere, Reli ya Mwendokasi (SGR), barabara za njia nane,ringroads na miradi mingine mingi. Miradi hii kiukweli ilileta mabadiliko makubwa ya maendeleo ya miji na...
  18. beth

    JamiiForums Tanzania Bungeni, Dodoma: Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba aeleza changamoto za Wizara hiyo

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba amesema licha ya kutekeleza majukumu, Wizara hiyo imekumbwa na changamoto mbalimbali Akiwa Bungeni, ametaja baadhi kuwa ni ugumu wa kutoa viwango stahiki vya fidia kwa waaathirika wa ajali za mali za Serikali kutokana na kukosekana #Sheria/Mwongozo wa...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usipoteze dhumuni la kuifanya Dodoma kuwa jiji la mfano kimpangilio

    Amani iwe nawe Mama yetu Mpendwa! Leo naomba nikuandikie ushauri wangu juu ya suala la mipango miji hasa kwenye mikoa yetu / majiji yetu, ikiongozwa na Jiji la Mfano Dodoma! Kusema kweli nilitembelea Dodoma kipindi Kunambi akiwa Mkurugenzi wa Jiji na wiki hii iliyopita nilikuwa tena Dodoma kwa...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania BAKWATA, huu utaratibu gani? Dodoma kuna Sheikh wa Mkoa, kwanini Sheikh wa Mkoa wa DSM anatuingilia kuja kupiga dua hafla za Serikali?

    Ninajua Sheikh wa Mkoa was Dar es Salaam alizoea kualikwa katika hafla mbalimbali za kitaifa na pengine alikuwa anafaidika kinamna fulani, sasa anaelekea kuvuka mipaka. Mamlaka yake yanaishia Dar es Salaam lakini inaonekana uamuzi was kuhamia Dodoma ulimuumiza sana sasa kaamua kuvamia hafla za...
Back
Top Bottom