UTAFITI WA MADINI NA MAJI
Member
- Feb 14, 2015
- 43
- 37
Jipatie KISIMA cha Maji kwa LAKI TANO ( nchini kote) Kutoka Asasi ya PDPR Njombe, Gharama za mradi:kuchimba laki 5, kama kitakuwa ndani ya mita 25 kila mita itakayo zidi utalipia 20,000ukihitaji kufungiwa water pump ipo ya solar milioni 1.6 ya umeme laki 5 zote zikiwa complete pamoja na instalation.Kisima kinauwezo Wa kutoa Zaidi ya Lita 7000 kwa siku. Unaweza tumia Maji kwa mahitaji ya nyumbani, Kilimo cha umwagiliaji, na mifugoKwa maelezo zaidi piga simu 0652556833 au 0754397178 tembelea www.envaya.org/pdprPia tunauza Mizinga ya Nyuki kwa 45000, Mashamba ya Miti ya Mbao laki 4, vifaranga vya Kuku 1300, ujenzi wa green house 2000,000, egg incubator za kutotolea vifaranga kuanzia 250,000 na upimaji wa mashamba Na viwanja kwa ajili ya hati Miliki 50,000/= Mwisho wa offer hii ni Tarehe 15 mwezi wa nane, Share ujumbe huu na wengine.