Jamani mimi ni mkazi mpya wa jiji la Dodoma, nilipata wazo la kufungua biashara ya kuuza maji ya bomba, (yaani nitengeneze system ya kuyakusanya kisha niwauzie watu watakaokuwa wanakuja kuchota eneo husika)
Naomba wenyeji na wazoefu wa issues hio mniambie mchanganuo wake unakaaje/at least niwe...
CDA Dodoma: Ruhusuni ujenzi wa fensi ndefu za moja kwa moja.
Hizi fensi za marembo mnazowataka watu wajenge zinaruhusu mtu aliyeko nje kuona kilichopo ndani matokeo yake watu wanaibiwa sana.
Habari Great thinkers
Nina idea ya kufungua duka la vifaa vya umeme (wiring, bulbs etc)
Naomba kujua gharama za kuanzisha duka Dodoma mjini, changamoto zake
Au kama kuna fursa nyingine nzuri tujuzane.
Asanteni
Habarini wakuu,
Leo napenda nami pia kupongeza uteuzi wa Mh. MPANGO na Mh. KATANGA kwa nafasi ambazo wameaminiwa na Mheshimiwa Rais na taifa kutumikia.
Nijielekeze ktk mchango wangu wa mawazo juu ya mradi muhimu wa ujenzi wa mji wa serikali, nikichagizwa na furaha ya kuhakikishiwa na Rais wetu...
Kama hiki alichokisema Waziri Mkuu Majaliwa leo ni cha kweli [siku hizi ni muhimu kuzi qualify kauli zetu zinazowahusu viongozi wetu], basi serikali hii ya Mama Samia itaendelea kufanya kazi ikiwa Dodoma, na si kurudi tena Dar.
Kama hivyo ndivyo, basi ni jambo zuri sana. Maana hakuna haja ya...
Wakuu natumaini mu wazima.
Natafuta mawasiliano na wauzaji wa bia kwa jumla pale Dodoma mjini. Kama yupo yeyote humu au kuna mtu anaweza kuniunganisha na muuzaji yeyote tafadhali nitumie namba ya simu niweze kuwasiliana nao kibiashara.
Unaweza kuituma hapa au kwenye PM.
Natanguliza shukrani...
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Nishati kwa kuanza rasmi kwa utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa umeme kupitia miradi ya PERI URBAN na DENSIFICATION yenye jumla ya gharama ya Tsh 68bn, ambayo itayafikia maeneo zaidi ya 120 katika...
Wabunge walioteuliwa na Rais Samia Suluhu hapo jana leo wamekula viapo vyao bungeni Dodoma, nchini Tanzania.
Miongoni mwao ni Dkt Bashiru Ally ambaye alikuwa Katibu mkuu Kiongozi pamoja na Balozi Liberata Mulamula ambae ndio Waziri wa mambo ya nje wa sasa.
Muda mfupi baadae mawaziri...
Habari
Husika na kichwa cha habari hapo juu, wadau wa kusafiri tushirikishane kampun gani ya basi zuri, either luxury au semi luxury ya kutoka Dodoma kwenda Mbeya.
Asante.
Habari Wanabodi.
Pharmaceutical Assistance na Pharmaceutical Dispenser wenye uzoefu wa Kazi ya kutoa huduma katika Duka la Dawa /Pharmacy wanahitajika kufanya kazi Mtwara na Singida
Karibuni Sana
Leo Jumanne, tarehe 30 Machi, 2021, Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi ametoa mapendekezo ya kujenga monument ya kuenzi kazi iliyofanywa na rais Magufuli.
Akichangia hoja Bungeni, Kunambi amesema:
Kazi kubwa ambayo mimi naomba nishauri Bunge letu tukufu ni... amefanya...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu na kutokana na swala la ajira lilivyogumu kuna pikipiki hapa inahitaji kijana mmoja mwenye kujielewa nimpe pikipiki kwa mkataba..
Aliye tayari tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082 wahi pikipiki ipo moja.
NB: Awe kijana mkazi wa Dodoma.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu na kutokana na swala la ajira lilivyogumu kuna pikipiki hapa inahitaji kijana mmoja mwenye kujielewa nimpe pikipiki kwa mkataba..
Aliye tayari tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082 wahi pikipiki ipo moja.
NB: Awe kijana mkazi wa Dodoma.
Wazee, Watoto na wagonjwa wa Wilaya ya Chato Mkoa wa Geita na mikoa jirani wameshauriwa kuaga mwili wa hayati Rais John Magufuli kwa kufuatilia kwenye vyombo mbalimbali vya habari vinavyorusha mubashara badala ya kwenda uwanjani.
Uamuzi huo unatokana na eneo la uwanja wa Magufuli ulipo wilayani...
Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni.
Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo...
Watu tayari wameshaanza kufurika Uwanja wa Amani Zanzibar.
====
MWILI WA HAYATI DKT. MAGUFULI WAWASILI ZANZIBAR
Mwili wa Hayati Dkt. John Magufuli umewasili Visiwani Zanzibar ukitokea Makao Makuu ya Tanzania, Dodoma, ambapo shughuli ya kumuaga kitaifa ilifanyika jana Machi 22, 2021.
Mwili wa...
Katika karne hii 21 taifa linaendeshwa kama enzi za ujima. watu wote tunalazimishwa kufikiri sawa, yaani wanataka woote tuhuzunike.
Hii si sawa. watu woote hawa wamefika makazini hawajui cha kufanya baada ya kufika kazini na kuamlishwa kutawanyika. nakulilia Tanzania yangu.
Marais zaidi ya 10 wa mataifa mbalimbali duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli itakayofanyika kesho Dodoma.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema leo Machi 21, 2021 kuwa hadi sasa ana orodha ya zaidi ya marais 10 na kuahidi...
Tunakuja kumuaga Dr John Pombe Magufuli.
Mkuu wa Mkoa rafiki yangu Mongela ni vyema ukajiandaa kwani mambo ni serious sana na wapendwa wa Magufuli ni wengi.
Omba msaada kutoka mikoa jirani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.