dodoma

  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Mwili wa John Pombe Magufuli: Wakazi wa Dodoma waizunguka Airport

    Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA! DODOMA NI MAKAO MAKUU YA CHAMA NA SERIKALI.HAWA NI WAKAZI WA DODOMA WAKISHIHUDIA SAFARI YA MWISHO YA Rais...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Uhuru umefurika sana!, watu Washindwa kuaga. Watakiwa kujipanga barabarani kuelekea Uwanja wa ndege ili waweze kupunga mkono

    Ili kuwatendea haki Wakazi wa Dar es salaam tunaomba kamati ya mazishi ya hayati Magufuli muongeze walau siku moja ili zoezi hili liitimishwe kesho. Uwanja umefurika na nje misururu ni mirefu sana. Maendeleo hayana vyama!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Msiba Mwili ukienda Dodoma, baadaye jioni tuitane chemba na tukosoane kwa uzembe wa hali ya juu ulioonekana leo Uhuru

    Nilitegemea kabisa kuwa Zoezi hili hasa la Leo Siku ya Pili mngeliratibu Kiutaalam na Kiuweledi kabisa ila mmeonyesha Mapungufu makubwa. Binafsi nilitegemea Tukio kama hili kama Kwenu ni geni basi mngeweza tu kufanya Consultation na wale Waliosimamia Zoezi zima la Kuuaga Mwili wa Hayati Baba wa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kuagwa bungeni Dodoma kesho, wabunge wengi wamlilia

    Kesho bunge la JMT litapata fursa ya kumuaga hayati Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania ambaye pia ni sehemu ya bunge. Shughuli za kuaga zitafanyikia kwenye viwanja vya bunge. Wabunge wengi wameonyesha hudhuni kubwa akiwemo mbunge wa Morogoro kusini babu Tale ambaye aliahidiwa kujengewa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya kuagwa mwili wa hayati Rais Magufuli; Mikoa minne kuuaga mwili, kuzikwa Chato

    Msemaji Mkuu wa Serikali ameongea na Waandishi wa habari muda huu na kueleza kuhusu ratiba ya kuagwa kwa mwili wa hayati rais John Pombe Magufuli. Mikoa ambayo ipo katika ratiba ya kuuaga mwili wa Hayati Rais Magufuli ni DSM, Dodoma, Mwanza na mazishi kufanyika Chato mkoani Geita. Msemaji Mkuu...
  6. Mtu wa Pwani

    JamiiForums Tanzania Serikali itabakia Dodoma?

    Kwanza kabisa kama mtanzania niungane na watanzania wenzangu katika kuombeleza msiba huu mzito uliolikumba taifa letu. Tumeona na kushuhudia juhudi za mwendazake Rais John Pombe Magufuli kuifanya Dodoma kua Makao makuu ya serikali, mengi yamefanywa kuanzia miundo mbinu, kuhamishwa taasisi...
  7. likandambwasada

    JamiiForums Tanzania Iyumbu, Dodoma: Rais Magufuli aagiza ardhi iliyotengwa na Serikali ili kuzika Viongozi kurudishwa kwa wananchi. Asema yeye atazikwa Chato

    Baada ya Mh. Rais kuzindua tawi la benki ya CRDB la LAPF Dom, sasa TBC1 wako live katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa nyumba za makazi wa Iyumbu, Dodoma. Anazindua nyumba 150 za mradi wa Shirika la nyumba la Taifa (NHC) zilizopo Iyumbu, kata ya Iyumbu Mkoani Dodoma...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Dodoma

    Habari zenu ndugu Nauza viwanja viwili vipo dodoma cha kwanza kipo mahungu eneo la mnada mpya njia ya kwenda singida kimepimwa kina full document ukubwa wake ni km nusu heka (viwnja vya zaman hawakua wanaandika squere m) Bei ni milion 6 mazungumzo yapo kidogo Cha pili ni kiwanja cha kawida...
  9. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kiwanja Dodoma

    Nahitaji kiwanja Dodoma sifa za kiwanja na offer ni kama ifuatavyo: 1. Kiwanja kisiwe umbali wa Meter 600 kutoka barabara ya lami. 2. Kiwanja kisiwe sehem yenye mafuriko ya msimu wa mnvua. 3. Kiwanja kiwe sehem ambapo Hiace zinafika yani zifike lami ambapo mtu atashuka na kwenda mita 600...
  10. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Wapi nitaprint logo yangu katika mifuko ya sulfate kwa ajili ya unga wa sembe kwa Dodoma

    Nahitaji kuprint mifuko ile ya kuwekea unga.. Logo ninayo tayari Nahitaji kujua gharama ni zipi kwa mfuko kg 5 na kg 25 Na mnaanza kuprint kuanzia pc ngapi Mnatumia tecnolojia ipi Kuprint au muhuri?? Nipen gharama za kila teknolojia
  11. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Printer copier HP Laserjet 1132' na Epson l 805 inauzwa

    PRINTER COPIER 'HP LASERJET 1132' INAUZWA DODOMA NA EPSON L 805 HP - 320,000/- EPSON - 450,000/- DODOMA MJINI - 0716 87 04 17
  12. steve_shemej

    JamiiForums Tanzania Je, ujenzi wa reli unaishia Dodoma au unaendelea?

    Habari wakuu nilikuwa natamani kujua je ujenzi wa reli ukifika Dodoma utaendelea mbele? Na kama utaendelea awamu hiyo inaanza lini? Nia ya kuuliza ni kwamba walituma maombi hapa VETA Songea wakihitaji mafundi na baada ya kupewa majina wapo kimya ni mwezi sasa na ujenzi unakaribia kwisha. Je...
  13. kidadari

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viwanja Dodoma imebuma Serikali yawasaka walionunua walipe pesa

    Baada ya kutangazwa kwa jiji la Dodoma serekali iliandaa mpango wa kupima maelfu ya viwanja na kuviuza kwa mkopo. Wengi walivipapatikia wakijua watauza kwa faida baadae. Wengi walionunua sio wakaazi wala hawana mpango wa kujenga na kuishi Dodoma bali walinunua kibiashara. Kumbuka viwanja vingi...
  14. N

    JamiiForums Tanzania TANZIA Frank Malecela, dereva wa RAS Dodoma afariki dunia

    Ni huzuni kubwa hapa dodoma mtu wa watu Mr Frank Malecela dreva wa RAS-Dom hatunae Tena amefariki taarifa zinasema Jana alikuwa ofsini baadae akawa anajisikia vibaya hv usiku hali ikawa mbaya akakimbizwa hospitali lkn ikawa bahati mbaya akaaga dunia.
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Ni wapi wanafundisha muziki kwa Dodoma?

    Habari wana JF, Bila kupoteza muda wenu, Ninaomba kujua ni wapi wanafundisha kupiga vyombo vya mziki kama gitaa na piano kwa Jiji la Dodoma. Nashukuru
  16. KAWETELE

    JamiiForums Tanzania Dodoma pamepoa sana siku hizi hamna totozi kabisa

    Mwaka 2014 nilikuja Dom kikazi majira kama haya... aisee mji ulikuwa umechangamka sana. kuanzia Chako ni Chako, Mwanga Bar, Club 84 na Maisha. kulikuwa na Totozi na ilikuwa raha saana kuja Dom. kwa sasa nina wiki hapa viwanja hivyo hamna Totozi kabisa. wamejaa makahaba wa pale uhindini...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako aongoza viongozi na wananchi wa Dodoma kutoa heshima za mwisho kwa marehemu John Kijazi

    Viongozi wa serikali na wananchi wa Dodoma wanatoa heshima za mwisho kumuaga marehemu John Kijazi chuo kikuu UDOM. Prof Ndalichako ambaye ni waziri wa elimu ndio anaongoza watumishi na wananchi katika tukio hili. Dr Kijazi (RIP) atazikwa siku ya Jumamosi huko Korogwe, Tanga. Tukio hili liko...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mkandarasi abainika kuwatoza Wananchi pesa ya fomu za kuunganishiwa umeme licha ya fomu hizo kutolewa bure

    Mkandarasi wa Kampuni ya Edward General Electrical, ametiwa matatani na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa tuhuma za kuwatoza wananchi wanaohitaji kuunganishiwa umeme jijini hapa. Hatua hiyo imechukuliwa ikiwa ni siku chache baada ya TAKUKURU kwa kushirikiana na Shirika la...
  19. chrome

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Muhammed Seif Khatib afariki dunia

    Dkt. Muhammed Seif Khatibu ambaye alikuwa ni miongoni mwa viongozi waandamizi wa siku nyingi Serikalini na kwenye Chama cha Mapinduzi amefariki dunia. Aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Uzini kisiwani Zanzibar. Nyadhifa alizowahi kushika Dkt. Khatib Mwenyekiti wa UVCCM kutoka 1978 hadi 1983...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA CHADEMA yapata pigo Dodoma, Kamanda Tully Nassa Kiwanga afariki dunia

    Apumzike kwa amani Lakini kwa vile kufanya kazi ya Chadema ni sawa na kutenda kazi ya Mungu , tunaamini Mwenyezi Mungu ataipokea roho yake mahali pema peponi , Amina .
Back
Top Bottom