Rais na Taasisi saidizi zirudi Dar es Salaam, Makamu wa Rais abaki Dodoma

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,976
Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.

Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.

Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Kazi Iendelee!
 
Maoni yako hayakubaliki, nchi hii tumechezewa sana linapokuja suala la kuhamia Dodoma.
 
Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.

Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.

Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Kazi Iendelee!
Huyu ndugu yako alikuwa mental case kushupalia ujinga wa kuhamia DDM. Sababu zilizopelekea wazo la kuhamia DDM they no longer hold water in the world of modern technology in all walks of life. Ni kichaa tu ndiye atang'ag'ania kuhamia DDM
 
Wewe kichwa chako ni kibovu sana sijui umekumbwa na pepo gani wa baharini aliye'brainwash' ubongo kuanza kumeza ulichokuwa unakitambika mwanzoni.....majaabu ya wasaliti waliokaribu na kiti cha mfalme/malkia
 
Huyu ndugu yako alikuwa mental case kushupalia ujinga wa kuhamia DDM. Sababu zilizopelekea wazo la kuhamia DDM they no longer hold water in the world of modern technology in all walks of life. Ni kichaa tu ndiye atang'ag'ania kuhamia DDM
ilikuwa ni kupunguza umbali wa kwenda Chattle. Maana ndege na pace maker vilikuwa havipatani.
 
Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.

Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.

Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Kazi Iendelee!
Naunga mkono hoja.
 
Mbona na wewe umeng'olewa Dom?
 
Siungi mkono hata siku moja , limeshakua limekua huwezi kua unafanya Jambo moja kwenda mbele na kuludi nyuma ,tumekubaliana miradi yote lazima kuisha pia Dodoma ni moja ya project lazima patengamae , no way
 
Huyu ndugu yako alikuwa mental case kushupalia ujinga wa kuhamia DDM. Sababu zilizopelekea wazo la kuhamia DDM they no longer hold water in the world of modern technology in all walks of life. Ni kichaa tu ndiye atang'ag'ania kuhamia DDM
Kamwulize ambaye ameanza kusihi kwenye hilo jumba jeupe magogoni amekutana na kitu gani halafu urejee kutetea mawazo mfu. Makao makuu ya nchi ni sharti yabaki DODOMA. Mtwara na Kigoma ni lazima zipewe hadhi ya JIJI kwa kuonesha maendeleo ya akili, watu na vitu

Wabaguzi pekee ndio wanaotetea Ikulu kubaki Dar Es Salaam kwa kuwa ni wavivu na hawako kwa ajili ya kushiriki changamoto za wananchi wa chini.

Nilitegemea wapinzani kama ninyi mngetilia maanani suala la serikali kuwa DODOMA kiukamilifu badala ya kukimbilia raha za Dar huku wananchi maskini wakiendelea kuwa duni bila tumaini la kupata nafuu.
 
Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.

Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.

Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Kazi Iendelee!
Inahitaji kufikiri nje ya box kuupokea ushauri huu mzuri.
 
Hivi kwanini watu hawakubali tu hali halisi kuwa makao makuu yameshahama rasmi tuendelee na maisha tu Dar ni jiji la kibishara na litabaki kuwa hivyo Tanzania sio nchi ya kwanza kufanya hili nchi nyingi duniani kuwa na jiji kubwa hailipi status ya kuwa makao makuu na kuna ujenzi mkubwa umefanywa na unaendelea Dodoma state house yote yataisha. kuna watu wanasema bahari basi kama bahari kigezo twendeni pemba kabisa maana tumezungukwa na bahari. Dodoma ni capital city na Dar ni commercial city na JPM alishawahi kusema imetoka hiyo na ni sera ya CCM.
 
Kuhamia Dodoma hakukuwa na tija kipindi hiki. Azma na ulazima wa kuhamia Dodoma ilikuwa kurahisisha accesibility kutoka mikoa na wilaya zingine kuweza kufika makao makuu ya nchi, hii ilikuwa ni lazima sana kipindi cha nyuma wakati mpango huo unaasisisiwa. Kutokana na ukuaji wa teknolojia makao makuu yanaweza kufikiwa sasa kutoka mahali popote kwa muda mfupi sana. kwa sasa kuna mifumo ya emails na vitu kama skype au ulipaji wa control number au mifumo ya kiwizara ambapo mtu akiwa popote anaweza ku access na kupata majibu ndani ya sekunde ulazima wa kuhamia Dodoma ulishaisha. Hakukuwa na sababu ya kutumia bajeti kubwa sana kulazimisha kuhamia Dodoma kwa kipindi ambacho nchi inahitaji sana hiyo bajeti katika sekta zingine.
 
Ni maoni tu kwamba ni vema Rais wa JMT na taasisi saidizi zikarudi Dar es salaam na Makamu wa Rais, Waziri mkuu na Spika wa bunge wakaendelea kubaki Dodoma pamoja na wizara zote.

Uhamiaji wa Dodoma ulifanywa kwa haraka haraka na mambo mengi ya muhimu na msingi bado yako Dar es salaam ikiwemo Ikulu ya kihistoria ya Magogoni.

Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Kazi Iendelee!
Ushauri mzuri mno.....

Wazo lako ni la DHAHABU komredi John!!!

#KaziIendelee
 
Huyu ndugu yako alikuwa mental case kushupalia ujinga wa kuhamia DDM. Sababu zilizopelekea wazo la kuhamia DDM they no longer hold water in the world of modern technology in all walks of life. Ni kichaa tu ndiye atang'ag'ania kuhamia DDM
Kichaa ni wewe. Modern World siku hizi watu hawanga'ng'anii kukaa katika mji mmoja kama kupe. Lazima shughuli nyingine zihamie miji mingine ili kutanua na kuiendeleza miji.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Dodoma itakapokamilika kwa miundombinu na kitaasisi basi Rais wa JMT arejee kwenye Ikulu ya Chamwino kama patakuwepo na ulazima huo wakati husika.
Mbona nyumba zenu huwa mnahamia punde tu baada ya kupiga paa na kuweka milango ya grill alafu plasta, sakafu pamoja na gypsum huwa mnaweka baadae.

Mkuu, hizo gharama za kuhamisha watu kutoka Dodoma kurudi tena Dar ni nani atakayezimudu?
 
Back
Top Bottom