Habari za leo wakuu, tusiende mbali ningeomba mamlaka kama humu JF zinapata pita basi zipitie hili, maana hata pakulalamikia hatuna nilishaenda TAKUKURU zaidi ya mara moja ila ninaambiwa niende polisi hukohuko Wilayani BAHI sasa swali langu ni je tangu lini mtuhumiwa akapewa nafasi ya kujitolea...
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amefika Bungeni Dodoma muda huu kuitikia wito uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ili kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
Dodoma!
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Godwin Mkanwa imebaini uuzwaji wa gari la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwawa lenye thamani ya milioni 140 kwa million 4.9 kinyume na sheria ya mali za Umma!
Chanzo: Darmpya
Nianze na kumpongeza mama Samia kwa uamuzi mzuri na wenye busara zenye kulenga mwendelezo wa aliyekuwa mkuu wake wa kazi , pongezi zingine ziende kwa waziri mkuu kwa tamko la utoaji wa kiasi cha bilioni 300 zitakazotumika kuendeleza miradi jijini Dodoma iliyoanza awamu ya tano na mwendazake JPM...
Wandugu,
Nimeamua kujenga kajumba ka kupangisha watumishi wa serikali hao wanaohamia Dodoma, kiwanja kipo, eneo flat, na mkononi ninazo mil.15, je? kwa ujenzi wa nyumba Dodoma naweza kuifikisha katika level gani? wataalamu naomba mchanganuo tafadhali.
Asante.
Tajiri ambaye pia ni Mmiliki wa Rose Garden Dodoma na ukumbi wa sherehe wa Kikimanj Ndugu Fredy Sam amefariki Dunia jana usiku akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Aghakan Jijini Dar es salaam.
Bwana Fredy alifikishwa hospitalini hapo wiki tatu zilizopita akiwa anasumbuliwa na pressure...
Kwa wanaoifahamu Dodoma, bila shaka watakuwa wanaelewa eneo hilo la Jeshi ambalo ni pori kubwa na sasa linageuka pori katika ya Jiji la Dodoma baada ya mji huu kuendelezwa kama Makao Makuu ya Nchi.
Kwa sasa, eneo hilo la Jeshi, linakuwa pori linalotenganisha makazi ya watu baada ya viwanja...
Baridi kali, hewa kavuu
Wadau mnaoishi Dodoma mnawezaje ishi, mnatumia sabuni na mafuta gani? maana mimi ndani ya wiki tu ngozi imekua kama ya kenge, bila citrizine mafua hayaishi.
Utadhani nina-uviko.. Maji chumvi..sabuni hazitoi povu..wadau mnaishije... Msaada tafadhali
Habarini wapendwa poleni na majum.
nimekwama gharama za usafiri kutoka Dar kwenda Dodoma naombeni msaada.
Mimi ni operator wa heavy machine.
Dodoma kuna ujenzi wa barabara ya njia nne ambapo test ilikuwa ni leo na kesho pia.
OMBI LANGU KAMA KUNA MWENYE USAFIRI UNAO WEZA KUFIKA DODOMA NAOMBA...
A3 Company Ltd ni wamiliki wa City college Mikwambe, Kigamboni City college na Dodoma city college. Hawa wamiliki wa A3 Company Ltd wako bize kufungua vyuo vipya Arusha na Mwanza kwa idhini ya NACTE huku walimu wa Kigamboni City college na Dodoma City college hawajarlipwa mshahara ya mwezi wa...
Kama inavyoeleweka chama kinachoongoza Serikali kinapata kura nyingi kutoka kwa wananchi wa Mkoa wa Dodoma.
Na zipo kata nyingi katika Jimbo la Dodoma mjini.
Na Kama utafuatilia kata zinazoongoza kwa kukipa kura chama tawala huto acha kuitaja kata ya Chamwino iliyopo Mjini kati,
Hii ni kata...
Binafsi sikujua kua kiwanda cha Dodoma wine kina products nyingi zaidi ya ile pendwa ya DOMPO ambayo ni maarufu sana mtaan.
Leo nawaletea picha za baadhi ya product zinazotengenezwa na kiwanda hicho chenye maskani yake mji mkuui wa
Binafsi Dodoma Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amerejea Makao Makuu ya nchini yaliyopo Dodoma
Mama Samia ametokea Jijini Dar es salaam alikokuwa akitekeleza majukumu mbalimbali ya Kiserikali
Watashitakiwa kwa Majina yao binafsi kama wanavyoshitakiwa vibaka wengine, hii ni baada ya kuamuru na kushiriki wizi wa nyaraka za Chadema waziwazi bila kificho chochote.
OCD wa Dodoma ameonekana wazi akishiriki kuvunja ofisi ya Kanda ya kati na kuiba nyaraka kadhaa pamoja na pesa Taslimu...
Kiwanja cha kwanza kipo mnada mpya barabara ya Singida Road kina ukubwa wa 39*36 hiki kinataka milioni 22mil kimepimwa hati bado.
______
Update
Njoo ulipie 15mil badala ya 22mil
Picha yake
Kiwanja cha pili kipo Vikonje baada ya kutoka Ihumwa barabara ya Chamwino kina ukubwa wa 40*40 hiki...
Kuna fursa nyingi Sana za kazi dodoma kwa mafundi Kuna uhaba wa mafundi kila Kona ujenzi unaendelea hivyo Ni wazi kuwa fundi akiwa serious hakosi kazi.
Unakuta fundi analalamika kuwa kazi siku hizi zimekuwa ngumu kumbe ye alichokosea Ni kwamba hayupo mahali sahihi.kwa ujenzi kwa kweli dodoma...
Wakuu
Kama kichwa cha uzi kinavyosomeka, viongozi waandamizi na shughuli kadhaa zimesita hapo jijini Dodoma huku serikali ikitekeleza majukumu yake ya kazi nyingi kutokea huko jijini Dar Es Salaam wananchi hawaelewi mnawapeleka wapi na kwanini?
Kiongozi yeyote asiye fanya kazi kwa kuzingatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.