Wazee wa Dar es Salaam vs Wazee wa Dodoma - wapi wanajua siasa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,638
Nimeupenda huu utaratibu wa viongozi wakuu wa nchi kuongea na wazee hasa wa Dar es Salaam.

Ni vema wazee wa Dodoma nanyi mkachangamka maana ndio mko makao makuu, najua hapo yupo Malecela, Ndugai, Kimbisa, Mavunde nk...nk.

Hapa mzizima pamesheheni wazee na kesho bila shaka tutawaona akina Hemed Mkali, Mtemvu, Prof Lipumba, Sunday Manara, Baregu, Prof Safari mzee Mgaya nk...nk

Wazee ndio busara ya nchi.

Kazi Iendelee!
 
Temeke 300, IIala 300, Kinondoni 300.. Total 900
 
Nimeupenda huu utaratibu wa viongozi wakuu wa nchi kuongea na wazee hasa wa Dar es Salaam.

Ni vema wazee wa Dodoma nanyi mkachangamka maana ndio mko makao makuu, najua hapo yupo Malecela, Ndugai, Kimbisa, Mavunde nk...nk.

Hapa mzizima pamesheheni wazee na kesho bila shaka tutawaona akina Hemed Mkali, Mtemvu, Prof Lipumba, Sunday Manara, Baregu, Prof Safari mzee Mgaya nk...nk

Wazee ndio busara ya nchi.

Kazi Iendelee!
Bila kumsahau mzee Baputisti
 
inawezekana wazee wa dar hawasikii kwa urahisi mpaka uongee nao karibu, tofauti na wale wa dodoma ambao askofu Gwajima alisema wamepanua masikio
 
kuna wale wazee wa ruangwa walimletea moshi mwendazake from nowhere tena akiwa juu ya gari lake, wakumbukwe pia
 
Nafikiri watakuwa wako kwenye research ya Corona wanajaribu kuangalia kama India variant imeshaingia Tz au bado ... majibu tutayapata tu kwani mwanakulitafuta mwanakulipata!
Uwepo wa Corona au la utajulikana kesho kwenye mechi Yanga vs Simba!
 
Back
Top Bottom