dodoma

  1. C

    JamiiForums Tanzania Wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya ndoa

    Augustine Makule na Mpenzi wake Rose Kimaro wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya siku ya harusi yao. Ajali hiyo ya pikipiki iliyotokea eneo la zuzu Dodoma na kupelekea kijana Agustino kukatwa mguu wake wa kulia na vidole vitatu...
  2. kajekudya

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Mabasi ya SATCO, uliowakabidhi gari ya Kahama-Dodoma wanakuharibia biashaara

    Gari ni Yutong nzuri, gari inasimama kila kituo, inachukua hadi abiria wa buku 2. Wanaenda wanavyotaka, wanaweza wakasimama tu bila sababu ya msingi. Kahama tumetoka saa 12 ndo tunaingia Dodoma hapa. Hakuna abiria ametoka Kahama na hii gari anaweza kuipanda tena hata kwa bure.
  3. Chimulenge

    JamiiForums Tanzania Kama uko Dodoma una laki 6, kila siku nitakuzalishia 10000

    Natafuta mtu ambae yupo Dodoma, nina biashara atoe laki 6 halafu kila siku atakuwa anapata faida ya 10000, kama upo tayari na una huo mtaji tafadhari tuwasiliane tufanye biashara. 0621604087 UPDATE NAWASHUKURU WOTE KWA MICHANGO YENU YOTE.. TAYARI NIMEMPATA MTU HIVYO SITAHITAJI MTU MWINGINE...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Serikali imesema vaeni barakoa, epukeni mikusanyiko, halafu hiki ndicho walichofanya Dodoma kwenye uzinduzi wa uhamasishaji Sensa.

    Mtu anakwambia vaa barakoa na uepuke mikusanyiko, halafu mtu huyo huyo anakuhamasisha uje kwenye mkusanyiko mkubwa wa kuhamasisha sensa. Je, kuna hitilafu kwenye wiring ya ubongo wake? Video ipo chini hapo 👇🏼 =================================...
  5. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Polisi wadaiwa kumdhalilisha dereva bodaboda, wamtoboa utumbo

    Walimkamata dereva bodaboda na kumuingizia ufagio kwenye njia ya haja kubwa Chanzo Mwananchi ==== RIPOTI MAALUMU: Polisi wadaiwa kumtoboa utumbo dereva bodaboda THURSDAY SEPTEMBER 16 2021 Ally Bakari akiwa nyumbani kwao Chang'ombe mkoani Dodoma aliporuhusiwa kutoka hospitali kwa mara ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haijengi Techinical College Kanda ya Ziwa badala yake wanarundika vyuo vyote Dodoma?

    Nasema hivo baada ya majuzi hapa kuona Serikali imeeanza ujenzi wa DODOMA TECHNICAL COLLEGE wakati Mwanza kuna tawi la chuo cha DIT ambalo linahitaji kupanuliwa na kuwa chuo kamili MWANZA TECHNICAL COLLEGE Eneo la Kanda ya Ziwa ndo linalotoa wanafunzi wengi sana kwenye TECHNICAL College...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia anazindua Mkakati wa Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi 2022

    Tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten Rais Samia anazindua zoezi la uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi 2022 katika uwanja wa Jamhuri Dodoma. ===== Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema bila kuwa na hesabu au takwimu sahihi, haiwezekani kugawa rasilimali na...
  8. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania RC Dodoma tembelea Stendi ya Daladala Sabasaba ujionee jinsi Wamachinga wako hatarini

    Jana nilipita pate stendi ya Daladala ya saba saba Dodoma hali niliyoiona pale ni ya kutisha, nilijiuliza sana akiwa watu wanaakili sawa sawa. Wamachinga kama wote wamepanga biashara ndani ya stendi chini, sehemu Daladala zinapita wao wamepanga biashara zao, Daladala inabidi wapige hone ili...
  9. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kuna hali fulani ya unyonge imetawala, sijui kwanini hata

    Niko hapa muda fulani naangalia TBC kwa kinachoendelea kwenye zoezi la kuapisha viongozi wapya Dodoma. Kiukweli naona viongozi walioongea naona wengi wao hawana ule uchangamfu wa usoni. Kuna Kaunyonge fulani miongoni mwao I don't know what's wrong. Copy aione Mshana Jr
  10. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Ndugai azindua ajenda ya mtoto njiti Dodoma

    Ni katika hafla iliyoandaliwa na taasisi ya Doris mollel leo jijini hapa Cc Mwananchi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya Diploma ya Sheria ya Chuo cha LUSHOTO na Diploma ya Biashara CBE Dodoma?

    Wadau, kuna kijana kachaguliwa kusoma Diploma Sheria ya Chuo cha Lushoto na pia kachagulia Diploma ya biashar aCBE Dodoma, kwa wazoefu wa hizo anga na maisha ya Kitanzania unamshauri wapi labda. Bahati mbaya siyo mjuzi wa hizo fani ukiachana na herasay
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu ya CCM chakamilika Dodoma

    Mwenyekiti wa @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu @samia_suluhu_hassan ameongoza kikao cha Kamati Kuu kilichoketi leo Septemba 10, 2021 Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma. #ChamaImara #KaziIendelee
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

    Leo Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ni zaidi ya mwezi sasa tangu utumishi walipoahirisha usaili wa TRA pale Dodoma bila Majibu

    Habarini wadau, ilikuwa siku ya 07/08/2021 Nyomi kubwa ya watu zaidi ya elfu 15 ilikusanyika chuoni UDOM kufanya usaili wa TRA hatua ya written kwa kada Mbalimbali kuanzia ngazi ya Diploma Hadi Degree. Lakini baada ya kufanya written siku ya 09/08/21 UTUMISHI wakatoa tangazo la kuahirisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Usafiri wa Mwanza kwenda Dodoma Mchana!

    Habari wadau, Napenda kujua upatikanaji wa Usafiri (gari) wa kutoka Mwanza kwenda Dodoma Nyakati za Mchana kuanzia saa 4! Unakuwaje Kuna basi? Naweza kupata private Kama ilivyo Dar, Moro au Dodoma? Nawasilisha kwa msaada please!
  16. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Mnanunuaje mayai huko Dodoma? Bei ya mayai ya kisasa

    Wakuu kwema, Niko interested kujua bei ya mayai ya kisasa hapo Dodoma ikoje? Huwa inapanda na kushuka? Je, ceiling price na floor price za hayo mayai zikoje?
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wanne mbaroni kwa kumuua ndugu yao na kumkata viungo

    JESHI la Polisi mkoa wa Dodoma limewakamata ndugu wanne wa familia moja wanaotuhumiwa kumuua ndugu yao na kisha kumkata miguu yote miwili chini ya magoti na kuufunika mwili kwa mahindi yaliyopukuchuliwa na kuuchoma moto. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Onesmo Lyanga alisema jana kuwa...
  18. Wacha1

    JamiiForums Tanzania When will Dodoma respond/take stern actions to foreign reporters especially those based in Kenya

    © Reuters/Monicah Mwangi FILE PHOTO: Tanzanian President Samia Suluhu Hassan arrives to address a joint Parliament session of Kenyan Members of Parliament and Senators in Nairobi NAIROBI (Reuters) - Tanzania suspended on Sunday another newspaper accused of false stories even though President...
  19. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu safari ya Dar kwenda Dodoma kwa pikipiki

    Habari za leo wakuu, Ninafikiria kati ya njia mbili za kusafiri, aidha kwa pikipiki au kuisafirisha chombo yangu used kwa malori ya mizigo. Kwa wale wenye uzoefu na route hii kwa pikipiki mnaweza kunipa muongozo wa sehemu za kupumzika, kufanya service nikiwa njiani, muda wa safari kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Huyu Admini wa Dodoma Jiji FC ana utani na nani kwa hili Fumbo alilolitoa baada ya Wazambia kutupa raha wana Simba SC leo?

    "Mchezaji unamvalisha Jezi ina Watu kibao halafu unataka awabebe wote na Kukimbia nao hizo nguvu atazitolea wapi?" Chanzo: Ukurasa wa Dodoma Jiji FC. Akhsante mno Admini kunywa Soda tu.
Back
Top Bottom