dkt. mwele malecela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RWANDES

    Kikwete atoa kauli kuhusu kikombe cha Babu wa Loliondo msibani kwa Malecela. Kauli hiyo inasemekana kumlenga aliyekuwa Waziri katika Serikali yake

    Rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DR. Jakaya Mrisho Kikwete ametia ya moyoni akiwa msibani kwa John Malecela kuwa wakati wa kikombe cha babu wa Loliondo wamo Mawaziri katika Serikali yake walienda kunywa kikombe hicho na amesema kuwa wengine walikuwa wakimwambia wanatengeneza...
  2. masopakyindi

    Mwili wa Dkt. Mwele Malecela wawasili Tanzania ukitokea Uswisi

    Mwili wa marehemu Dr. Mwele Ntuli Malecela umewasili Dar es salaam mnamo saa sita usiku na ndege ya KLM. Mwili umepokelewa na baba yake mzee Samwel Malecela pamoja na waombolezaji wengi waliogubikwa na huzuni, na waliosubiri uwanjani toka jioni. Msafara uliekekea moja kwa moja nyumbani kwa...
  3. Mwaikibaki

    TANZIA Dkt. Mwele Ntuli Malecela afariki Dunia, aligombea Urais wa JMT 2015

    Mwele Ntuli Malecela (alizaliwa tarehe 26 Machi 1963) alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania (NIMRI). Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Kuanzia Aprili 2017 Mwele Malecela amekua akifanya kazi na...
  4. Shujaa Mwendazake

    Mashujaa katika Serikali ya Awamu ya Tano waliokataa kuwa watumwa na vibaraka

    Habari za usiku wanabodi, Leo nimetafakari sana kuhusu Shujaa wa kizamani na jinsi legacy yake inavyozungumziwa kwa muktadha wa Uzalendo kwa taifa. Lekini kauli au neno la "Shujaa/Hero" maana yake ndogo ni "anaweza kukabili jambo lolote kwa ujasiri, bila kuzuiwa na woga. ". Katika awamu ya...
  5. Erythrocyte

    Dkt. Mwele Malecela awataka wataalam kufanya kazi bila woga

    Mkurugenzi wa Magonjwa ya kitropiki kutoka WHO , Dr Mwele Malecela amesema wataalamu wa sekta mbalimbali wafanye kazi kwa kuzingatia weledi bila woga. Dr Mwele kwa sasa anafanya kazi Makao Makuu ya WHO Geneva Uswisi , amesema wataalamu waachwe wafanye kazi kwa weledi ili kupata matokeo chanya...
  6. tzkwanza

    Dkt. Mwele Malecela afikisha 50k followers Twitter mara baada ya kuongelewa na Rais Magufuli

    Jana baada ya JPM kumchamba binti wa kigogo sio kigogo 2014, Mwelentuli Malecela ndio kwanza kamuongezea umaarufu huko Twitter. Kwa siku moja tu ya jana followers wake wameongezeka kutoka 40,000 hadi 52,000. Ombi langu mh. JPM wewe ni mtu mkubwa acha kupoteza muda kuchambana na wanawake. Ona...
  7. cutelove

    Uchaguzi 2020 Dkt. Mwele Ntuli Malecela anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2020

    2020 Oktoba hatufanyi makosa kuwachagua watu ambao wamelifanya Taifa la Tanzania kama kisiwa, hatutaki viongozi ambao wanaingilia kazi za wataalamu. Dr Mwele, huyu mama anafaa kabisa kuwa kiongozi, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Diplomasia ya nchi yetu ipo chini sana, tunasuguana na...
  8. Sir John Roberts

    Dr. Mwele Malecela: Asiyekuumba, kukuumbua hawezi

    Aliyekua Mkurugenzi Mkuu wa NIMRI Bi.Mwele malecela ameposti katika akaunti yake ya twitter maneno haya. Nadhani huu ni mrejesho baada ya tamko la Mwenye nyumba kuwa Daktari Mwele malecela alikua anatumika na MABEBERU. ===== RAIS John Pombe Magufuli, amesema moja ya sababu kumtumbua...
  9. alexelias

    Rais Magufuli amnyooshea kidole Mwele Malecela asema alitumiwa na mabeberu kutangaza ugonjwa 'hewa' wa Zika

    Akielezea ni kwa namna gani humpelekea kufanya kazi hadi usiku Rais Magufuli amesema katika vita hasa ya kiuchumi adui mbaya zaidi hutoka ndani kwa maana ndiye huwa kiungo wa maadui wa nje. Ametolea mfano wa aliyekuwa Mkurugenzi wa NIMR TANZANIA Bi Mwele Malecela alilazimika kumfuta kazi baada...
  10. tatum

    WHO appoints (Dr Mwelecele Ntuli Malecela) new Director for the Department of Control of Neglected Tropical Diseases

    08 October 2018 | Geneva -- Dr Mwelecele Ntuli Malecela has been appointed as the new Director of the WHO Department of Control of Neglected Tropical Diseases. Until her appointment, Dr Malecela was Director in the Office of the Regional Director, WHO Regional Office for Africa in Brazzaville...
  11. Omusolopogasi

    Dr. Mwele Malecela aula WHO

    Dr Mwele has been appointed the Director of Control of Neglected Tropical Disease at WHO (Duty station: Headquarters, Geneva). Dr Mwele was previously Director in the Office of the Regional Director for the Africa Region (Duty station: Brazaville, Congo). Before she joined WHO, she served as...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine

    Dr. Mwele Ntuli Malecela ameshinda tunzo Kyelem 2017 kutoka chuo Kikuu cha Liverpool School of Tropical Medicine kwa mchango wake mkubwa katika kutokomeza magonjwa ya Nchi za kitropic. Kabla yakuwa mkurugenzi kwenye ofisi za WHO/AFRO Dr Mwele Ntuli Malecela alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi...
  13. TUNTEMEKE

    Kosa kubwa la Malecela wa NIMR: Rais kaona mbali athari za ZIKA

    Zika na NIMR Dk. Mwele Ntuli Malecela leo si Mkurugenzi tena wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR). Ikulu leo imemtangaza Profesa Yunus Mgaya kuwa mbadala wake. Kwanini Mwele kaondolewa? Nimeulizwa hili swali na baadhi ya watu nami nikauliza hapa na pale ili kupata majibu. Na...
  14. Mzalendo_Mwandamizi

    Dkt Mwele Malecela: Kutoka binti mwenye ndoto kuwa Mtafiti, Mwanasayansi wa kimataifa hadi muwania Urais 2015

    Mapema wiki hii, mwanasanyansi wa kimataifa Mtanzania, mwanamama Dokta Mwelecele (Mwele) Malecela, alitangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania kwa kuomba ridhaa ya kupitishwa na Chama Cha Mapinduzi CCM. Dokta Mwele ambaye hadi wakati anatangaza uamuzi huo ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa...
  15. Jackbauer

    Dr. Mwele Malecela aula! Awa Makamu wa Rais IANPHi

    source ;National Public Health Institute, NPHI Advocacy | IANPHI - International Association of Public Health Institues
Back
Top Bottom