Wengi wetu tunamkumbuka TB Joshua na huduma yake ya ki kanisa.
TB Joshua aliaminika na watu wengi sana Africa na duniani kama nabii wa Mungu.
Mimi kama mfatiliaji sana wa biblia, TB Joshua alikuwa nabii wa uongo. TB Joshua amechangia pakubwa sana kuharibu ufalme wa Mungu.
Biblia inasema wazi...
KENYA: Idadi kubwa ya Wanawake wameandamana katika Miji 11 ya wakipinga kuongezeka kwa Vitendo vya Ukatili Dhidi yao yakiwemo Mauaji mfululizo yaliyoripotiwa kati ya Desemba 2023 hadi Januari 2024.
Maandamano yalitawaliwa na Mabango yenye jumbe mbalimbali za kukemea Ukatili kwa maneno ya "Sisi...
Hawa waarabu wamekua wakilalamika sana kwa kichapo cha Israel dhidi ya HAMAS, ila waoga likija suala la matendo, wameshindwa kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel.....
Last Friday, the International Court of Justice (ICJ) concluded the first hearing of the South African case...
Ni mchungaji ndio. Wa haya makanisa ya kilokole haya ya akina Tayana-wog . Kiukwel nimesikitishwa na kushikwa na hasira kwa wakati mmoja.
Ni mama yangu mkubwa kabisaa yamemtokea.
Ni kwel sikatai hakulazimishwa kwenda huko kusali lakini ndio hivyo tena mambo ya imani (magumu sana).
Jana wakiwa...
Sasa kama anaipenda sana Tanzania kwanini asiende tu uhamiaji Tanzania na akaombe uraia kabisa na asiendelee kutuchosha kwa kujifanya anatupenda sana watanzania na Tanzania yetu?
Wenzetu wanaendelea kufanya makubwa wakati huku Afrika tupo tupo almradi siku zisonge....huu mfumo unaangusha drone ya aina yoyote.
DragonFire laser demonstration. (Supplied, UK government)
The UK successfully fired a high-powered laser weapon at an aerial target, in what could be a...
Vituko katika vita baina ya Israel na wapalestina daima havimaliziki ambapo maajabu mengi yameripotiiwa.
Muuza duka mmoja kwenye kijiji cha Dura karibu na Hebrona anasimulia kuwa askari wa Israel waliingia mjini humo na kuua watu wawili na walipotaka kutoka wakamvamia yeye kwenye duka lake la...
Hii ni habari njema sana.
Shillingi ya Tanzania imeimarika sana dhidi ya shillingi ya Kenya. Miezi michache iliyopita shilingi moja ya kKenya ilikuwa ikibadilishwa kwa shillingi 22 ya Kitanzania.
Leo hii shillingi moja ya Kenya inabadilishwa kwa shillingi 15.52 ya Kitanzania. Hii ni...
Friends and Our Enemies,
Historia wakati mwingine kwa makusudi au kwa bahati mbaya haiwapi heshima wazalendo hali inayopelekea kuwasahau wazalendo hawa.
1. Alisongea Mbano
2. Abdallah Mchimani
3. Abdulhamid Mfaranyaki
Hawa ni miongoni mwa mashujaa ambao walishiriki sana kwenye maji maji...
CHADEMA imetangaza kufanya MAANDAMANO TAREHE 23.
Katika hali ya kushangaza JWTZ nao tarehe hizo wamepanga kufanya usafI ingawa wangeweza kupanga tarehe nyingine ya kufanya huo usafi.
Hata hivyo suala la usafi ni suala muhimu Sana,, Hivyo CHADEMA nawashauri tarehe Hiyo wasofanye MAANDAMANO Yao...
Habari za muda tena, heri ya siku ya mapinduzi.
Moja kwa moja kwenye mada, jana nikiwa katika harakati za kutafuta mkate wa siku muda wa saa 4 asubuhi nilianza kuhisi maumivu jicho la kulia kadri muda ukivyozidi kwenda hali ilizidi kuwa mbaya nikaona hata isiwe shida acha nijipumzishe na kazi...
Serikali ya Falme Za Kiarabu (UAE) imelaani vikali mashambulizi yanayofanywa na magaidi wa Houthi dhidi ya meli mbalimbali katika bahari ya sham.
Pia wanamgambo hao wanaoungwa mkono na Iran wamekiri kuuwawa kwa viongozi wake wapatao watano ktk shambulizi lililofanywa siku kadhaa zilizopita na...
Katika mji mkuu unaodhibitiwa na kundi la kigaidi la Houthi unaojulikana kama Sana'a, mamilioni ya raia wa Yemen (Yemenis) wajitokeza kuandamana kupinga mashambulizi dhidi ya kundi la Houthi.
Kundi la Houthi limeripotiwa kufanya mashambulizi ya mara kwa mara katika Meli zinazopita katika...
Katika Jiji la New York na jiji la Washington, makumi ya watu waandamana kupinga mashambulizi yanayofanyika huko Yemen.
Marekani na Uingereza wamefanya mashambulizi makubwa katika kambi za kivita za kundi la kigaidi la Houthi lenye makazi yake Nchini Yemen. Jambo lililopelekea waandamanaji...
iran imeendelea kurekeleza sera ya jino kwa jino dhidi ya Marekani kwa kuiteka meli iitwayo St Nicholas wakati ikiwa na shehena ya mafuta iliyopakia kwenye bandari ya Iraq kuelekea Ururuki.
Meli hiyo zamani ikiirwa Suez Rajan na ndiyo iliyotekwa na Marekani mwaka jana ambapo shehena ya mafuta...
Wanaukumbi.
https://x.com/qudsnen/status/1745379031334437068?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - NCHI ZINAZOUNGA MKONO KUWAFIKISHA ISRAEL
Leo, Afrika Kusini inawasilisha madai ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika mahakama ya ICJ.
Inasaidia...
Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC.
Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
Nashindwa kuwaelewa hawa viumbe. Yaani ukichepuka na mke wa mtu, labda usiwe mdadisi tu, lakini ukisema udadisi, unapatiwa siri zote za jamaa
Haijalishi huyo mwanamke ana cheo gani serikalini, ana utajiri gani, anasali dini gani, kabila gani n.k
Umewahi jiuliza familia zinazovamiwa na...
Wanaukumbi.
Marekani na washirika wake wanahofia kwamba mashambulizi dhidi ya Wahouthi yanaweza kusababisha majibu kutoka kwa Wayemeni.
Kizuizi kikubwa cha Ansarullah ni makombora yake ya balistiki, ambayo yana masafa ya kilomita 2,000.
mali zote za Marekani katika eneo ziko ndani ya safu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.