Mamia waandamana kupinga Mauaji ya Kikatili dhidi ya Wanawake

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
KENYA: Idadi kubwa ya Wanawake wameandamana katika Miji 11 ya wakipinga kuongezeka kwa Vitendo vya Ukatili Dhidi yao yakiwemo Mauaji mfululizo yaliyoripotiwa kati ya Desemba 2023 hadi Januari 2024.

Maandamano yalitawaliwa na Mabango yenye jumbe mbalimbali za kukemea Ukatili kwa maneno ya "Sisi ni Watu si Wanyama" na mengine yakiwataja baadhi ya Wanawake waliouawa.

Katika siku za hivi karibuni, kuliibuka taarifa za mauaji ya Wanawake wakiwemo ambao miili yao ilitenganishwa vipande vipande na kukutwa kwenye mifuko ya plastiki katika moja ya nyumba za kufikia Wageni maarufu kama Airbnb.

Kwa mujibu wa Ripoti ya Shirika la Amnesty International inakadiriwa zaidi ya Wanawake 500 waliuawa kati ya mwaka 2016 hadi 2023. Aidha utafiti wa Serikali wa mwaka 2022 ulibaini Mwanamke mmoja katika kila Watatu wamepitia Ukatili wa Kijinsia katika maisha yake.

=========

Demonstrations are taking place across major cities in Kenya to protest against the rising cases of femicide and other violence against women.

Hundreds have gathered, some carrying placards with the names of those who were killed.

Many chanted "Sisi ni watu sio wanyama" in Swahili - meaning "stop killing us".

Others carried banners saying "only weak men kill women" and "every time you blame the victim you affirm the murderer".

The protests follow a series of gruesome murders of women - including one victim whose dismembered remains were found stuffed into a plastic bag at an Airbnb rental apartment.

Femicide is defined as intentionally killing a woman or girl because they are female.

Amnesty International says more than 500 cases of femicide were recorded in Kenya between the years 2016 and 2023.

Many of the victims were killed by intimate partners or people known to them.

Campaigners want the authorities to expedite justice for all recent victims of sexual and gender-based violence.

Dozens of local rights groups say the government must declare femicide a national emergency and class femicide as a specific crime, distinct from murder.

A government survey in 2022 found that at least one in three Kenyan women had experienced physical violence at some point in their lives.
 
Dada yangu amesoma ana kazi ya maana, hao dada zenu wafundisheni tabia nzuri
tabia nzuri kama gani, kwani wadada wa Kenya wote hawajasoma? zipo kazi nyingi ambazo mtu anaweza fanya kulingana na taaluma yake.
sasa wewe unataka kuniambia dada yako bado bikra?
 
Back
Top Bottom