Watu waandamana Nchini Marekani kupinga mashambulizi dhidi ya Yemen

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Katika Jiji la New York na jiji la Washington, makumi ya watu waandamana kupinga mashambulizi yanayofanyika huko Yemen.

Marekani na Uingereza wamefanya mashambulizi makubwa katika kambi za kivita za kundi la kigaidi la Houthi lenye makazi yake Nchini Yemen. Jambo lililopelekea waandamanaji kuja juu na kudai Yemen iache kushambuliwa.

Ikumbukwe Houthi walianza harakati za kivita baada ya Israel kurudisha mashumbulizi dhidi ya kundi la Hamas la Palestina. Houthi wanekuwa wakisumbua na kushambulia Meli zinazosafiri kupitia Bahari ya Sham (Red Sea), hususani kwenye Ghuba ya Aden. Jambo lililopelekea makampuni mengi ya Meli kusitisha safari za ukanda huo na kukwamisha shughuli za usafirishaji. Jambo lililopelekea Marekani na Uingereza kuingia Mzigoni.

View: https://www.instagram.com/reel/C1_-sjAox76/?igsh=MWgzMWh6c2FnZGY5NA==
 
1. Wafia dini uchwara wakwambia wavaa kobazi hao, wavaa vipedo; ngoja waje namwona MK254 anasubiri nafasi ya kupita mlangoni hutoka kwa kuongozana:

FutD12pWIAEjDDU.jpeg

2. Post #3 tayari kwishney!
 
Katika Jiji la New York na jiji la Washington, makumi ya watu waandamana kupinga mashambulizi yanayofanyika huko Yemen.

Marekani na Uingereza wamefanya mashambulizi makubwa katika kambi za kivita za kundi la kigaidi la Houthi lenye makazi yake Nchini Yemen. Jambo lililopelekea waandamanaji kuja juu na kudai Yemen iache kushambuliwa.

Ikumbukwe Houthi walianza harakati za kivita baada ya Israel kurudisha mashumbulizi dhidi ya kundi la Hamas la Palestina. Houthi wanekuwa wakisumbua na kushambulia Meli zinazosafiri kupitia Bahari ya Sham (Red Sea), hususani kwenye Ghuba ya Aden. Jambo lililopelekea makampuni mengi ya Meli kusitisha safari za ukanda huo na kukwamisha shughuli za usafirishaji. Jambo lililopelekea Marekani na Uingereza kuingia Mzigoni.

View: https://www.instagram.com/reel/C1_-sjAox76/?igsh=MWgzMWh6c2FnZGY5NA==

US kuna uhuŕu wa kukusanyika na kutoa maoni. Wacha hao akina kobaz waandamane tu. Magaidi wa Houthi wakiacha vurugu hakuna wa kuwagusa, ila wakisumbua kipondo kitawaandama kama kawaida.
 
Una uhakika hao ni unaowaita kobazi?
 
Back
Top Bottom