Tuwakumbuke mashujaa wetu wazalendo waliopigana dhidi ya Mjerumani

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Friends and Our Enemies,

Historia wakati mwingine kwa makusudi au kwa bahati mbaya haiwapi heshima wazalendo hali inayopelekea kuwasahau wazalendo hawa.

1. Alisongea Mbano

2. Abdallah Mchimani

3. Abdulhamid Mfaranyaki

Hawa ni miongoni mwa mashujaa ambao walishiriki sana kwenye maji maji resistance na kwa huyo ALISONGEA MBANO NDIYO HASA Jina la SONGEA Limezaliwa kwa shujaa huyo.

4. Abushiri bin Salim, huyu mwamba aliongoza mapambano dhidi ya mjerumani upande wa pangani na bagamoyo.,

5. Selemani Mamba, huyu mwamba alishiriki sana harakati vita dhidi ya mjerumani kanda ya Kusini za Lindi na Mtwara.

Hakika mashujaa walikuwa wengi sana, leo nimeona niwakumbuke hawa na historia izidi kuwapa heshima wazalendo hawa.

Pale Kilwa Kivinje kwenye mnara wa maaskari wa VITA YA MAJI MAJI UTASHANGAA HAKIKA KUONA MAJINA YOOTE NI MAJEMEDARI HAWA WA KIISLAM.

Nenda Songea ndani ya PERAMIHO, kuna makaburi ya wajerumani pale ukisoma wahusika waliowashughulikia wale wakoloni ni hawa hawa MAJEMEDARI WETU.

Kinachonishangza na kunistaajabisha, mbona sioni majina ya upande wa pili katika harakati za kupigana na mkoloni ndani ya TAIFA HILI?

TUNAWAKUMBUKA SANA MASHUJAA WETU, ALLAH AZIDI KUWAPA PUMZIKO JEMA HUKO MLIKO.

Bahati mbaya sana WATOTO WETU HAWAFUNDISHWI historia kama hii mashuleni.
 
🤣🤣Mbona hujamtaja kinjekitile ngwalee mzee wa maji maji?
 
Back
Top Bottom