Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,180
- 10,902
iran imeendelea kurekeleza sera ya jino kwa jino dhidi ya Marekani kwa kuiteka meli iitwayo St Nicholas wakati ikiwa na shehena ya mafuta iliyopakia kwenye bandari ya Iraq kuelekea Ururuki.
Meli hiyo zamani ikiirwa Suez Rajan na ndiyo iliyotekwa na Marekani mwaka jana ambapo shehena ya mafuta jumla mapipa milioni moja kutoka Iran yalityokuwa yakipelekwa Uturuki yaliibwa na kushushwa nchini Marekani.
Askari wanamaji wa Iran waliingia kwenye meli hiyo na kuiamuru ielekee Iran japokuwa ilikuwa imezima mawasiliano ya utambulisho wake ili kujificha.
Televisheni ya Iran imekiri kufanyika kitendo hicho cha kulipiza kisasi .