Mamilioni ya Raia wa Yemen waandamana kupinga mashambulizi dhidi ya kundi la kigaidi la Houthi

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Katika mji mkuu unaodhibitiwa na kundi la kigaidi la Houthi unaojulikana kama Sana'a, mamilioni ya raia wa Yemen (Yemenis) wajitokeza kuandamana kupinga mashambulizi dhidi ya kundi la Houthi.

Kundi la Houthi limeripotiwa kufanya mashambulizi ya mara kwa mara katika Meli zinazopita katika Mwambao huo wa Ukanda wa Bahari ya Sham, kupelekea meli nyingi kusitisha safari katika bahari hiyo na kupelekea kukwamisha biashara ya usafirishaji wa bidhaa mbalimbali.

Kundi la Houthi linafadhiliwa na nchi ya Iran. Na kundi hilo limekuwa likifanya mashambulizi ya hovyo kwenda nchi ya Israel na meli zinazokatiza bahari ya sham kama njia ya kulisaidia kundi la Hamas la nchini Palestina.

View: https://www.instagram.com/reel/C2AqGYUtTq5/?igsh=MXZhM2xubzY0OHR0aw==
 
Wapigwe hivyo hivyo, hiyo ni mbinu ya magaidi kukwepa kichapo baada ya wenzao kutangulizwa kuzimu kwenye mito ya pombe.
 
Chanzo cha habari kinasema thousands (Maelfu) wewe mhabarishaji unasema mamilioni,tuamini kipi?
Wewe ndio ufanye utafiti wako binafsi.... Mimi nimeandika Mamilioni kwa sababu kuna chanzo kimekadiria waandamanaji kufika milioni 5, lakini Sky News wao wameandika maelfu.

Anyways: lengo kuu sio kujua ni mamilioni au malaki... Wewe fahamu kuwa raia kibao wameandamana
 
Katika mji mkuu unaodhibitiwa na kundi la kigaidi la Houthi unaojulikana kama Sana'a, mamilioni ya raia wa Yemen (Yemenis) wajitokeza kuandamana kupinga mashambulizi dhidi ya kundi la Houthi.

Kundi la Houthi limeripotiwa kufanya mashambulizi ya mara kwa mara katika Meli zinazopita katika Mwambao huo wa Ukanda wa Bahari ya Sham, kupelekea meli nyingi kusitisha safari katika bahari hiyo na kupelekea kukwamisha biashara ya usafirishaji wa bidhaa mbalimbali.

Kundi la Houthi linafadhiliwa na nchi ya Iran. Na kundi hilo limekuwa likifanya mashambulizi ya hovyo kwenda nchi ya Israel na meli zinazokatiza bahari ya sham kama njia ya kulisaidia kundi la Hamas la nchini Palestina.

View: https://www.instagram.com/reel/C2AqGYUtTq5/?igsh=MXZhM2xubzY0OHR0aw==

waarabu bhana!!! wao wakishambulia swadaktaaa,wenzao wakijibu ohooooo!!! kama wapalestina waliposhambulia israil sawa,walivoanza kugongwa mayowe!! ndo manakw MUNGU akawashushia suratul MUNAFIQUN{sura ya wanafiki.....................
 
Back
Top Bottom