LIVE: Kusikizwa kwa kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel.

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,976
32,380
Wanaukumbi.


View: https://x.com/qudsnen/status/1745379031334437068?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

🇿🇦🇮🇱 KESI YA ICJ - NCHI ZINAZOUNGA MKONO KUWAFIKISHA ISRAEL

Leo, Afrika Kusini inawasilisha madai ya mauaji ya kimbari yaliyofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika mahakama ya ICJ.

Inasaidia Afrika Kusini:

🇲🇾 Malaysia
🇹🇷 Uturuki
🇯🇴 Jordan
🇧🇴 Bolivia
🇲🇻 Maldives
🇳🇦 Namibia
🇵🇰 Pakistan
🇪🇬 Ligi ya Kiarabu
🇨🇴 Colombia
🇧🇷 Brazil

🇺🇸 Marekani inatoa sauti za upinzani, huku 🇪🇺 EU ikikaa kimya na 🇬🇧 Uingereza inakataa kuungwa mkono.

Vyanzo: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu
 
ISRAEL WAKIWA KWENYE KESI: ISRAEL YAWATESA NA KUWAUA RAIA

“ISRAEL IMEKUWA IKIWATESA RAIA NA KUFANYA UUAJI WA SHAMBANI”

"TUMEONA PICHA ZA MIILI ILIYOOZA"

“WANANCHI WANAPIGWA VIPANDE KILA SIKU, WAKIWEMO AKINA MAMA 48 KILA SIKU AMBAYO NI 2 KILA SAA!”
 
⚡️South Africa's legal team: The International Court of Justice has taken provisional measures in similar cases previously, so how could it not take them in this case?
 
ISRAEL WAKISHIRIKISHWA: WANAJESHI WA ISRAEL WALIAMINI KUWA MAUAJI YA KIMBAO YANAKUBALIWA.

“Ni wazi askari wanaamini kuwa lugha hii na matendo yao yanakubalika. Kwa sababu uharibifu wa maisha ya Wapalestina huko Gaza ni sera ya serikali.

Maafisa wakuu wa kisiasa na kijeshi walimhimiza, bila kukemea, Askari wa akiba wa Jeshi la Israel mwenye umri wa miaka 95 kama mkongwe wa mauaji dhidi ya Wapalestina mwaka 1948, kuzungumza na wanajeshi kabla ya uvamizi wa ardhini huko Gaza. Katika mazungumzo yake, aliunga mkono hisia zile zile ... nanukuu, "kuwa mshindi na umalize na usimwache yeyote nyuma."

Unainua kumbukumbu zao, unawalea, familia zao, mama na watoto, wanyama hawa hawawezi kuishi tena. Ikiwa una jirani mwarabu, usisubiri, nenda nyumbani kwake na kumpiga risasi. Tunataka kuvamia, sio kama hapo awali. Tunataka kuingia na kuharibu yaliyo mbele yetu na kuharibu nyumba, kisha kuharibu moja baada yake.

Pamoja na nguvu zetu zote uharibifu kamili, ingia na uharibu. Kama unavyoona, tutashuhudia mambo ambayo hatujawahi kuota. Waache wawarushe mabomu na kuwainua hivi majuzi kama tarehe saba Januari 22.

Katika fomu hiyo, video ya mwanajeshi iliwekwa mtandaoni, ambapo alichapisha kuwa jeshi lilikuwa limeharibu kijiji kizima cha Hibbert. Azhar kwa wiki mbili. Alisema walifanya kazi kwa bidii kushambulia kijiji na kutekeleza agizo lao.

Na kama nilivyosema hivi punde kwamba wanasiasa waandamizi hawakumaanisha walichosema zaidi ya kwamba maana ambayo haikueleweka na wanajeshi huko Gaza ingekuwa bila uhalali wowote.”
#ICJ
#MahakamaYaKimataifa
#Orodha yaWateja wa Epstein
 
Tusubiri matokeo -nahofia mkono wa mtu utapindisha matokeo- potelea mbali ukweli utabakia pale pale, USA and partner in crime are decimating Palestinians.
 
Hawa kazi hawana!
Hayo mauaji yanayoendelea hapo SA tu wameshindwa.
tukubali tukatae Dunia ina wababe huyo sauzi anamfanya nn Israel.

Israel ni makatili wanaua watoto na kukalia ardhi kimabavu na Gaza inachukuliwa.

Unafki mwingi sana wameshindwa nchi kubwa na kuacha Israel unaendelea kufanya umafia eti SA.

muda ni mwalimu ngoja tuone
 
Hivi aliyeanzisha hii Vita ni nani,,,ukiniulia mwanangu mmoja naweza kukuulia familia yako yote
 
Hivi aliyeanzisha hii Vita ni nani,,,ukiniulia mwanangu mmoja naweza kukuulia familia yako yote
Kumbuka aliyokufanya Amaleki katika njia mlipokuwa mkitoka Misri;
18 jinsi alivyokukuta katika njia, akapiga katika watu wako walioachwa nyuma, wote waliokuwa wanyonge nyuma yako, ulipokuwa umechoka na kuzimia; wala asimche Mungu.
19Basi itakuwa, hapo atakapokwisha kukupumzisha Bwana, Mungu wako, katika adui zako wote walio kando-kando, katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi uimiliki, ndipo uufute ukumbuko wa Amaleki chini ya mbingu; usisahau.
 
Kumbuka aliyokufanya Amaleki katika njia mlipokuwa mkitoka Misri;
18 jinsi alivyokukuta katika njia, akapiga katika watu wako walioachwa nyuma, wote waliokuwa wanyonge nyuma yako, ulipokuwa umechoka na kuzimia; wala asimche Mungu.
19Basi itakuwa, hapo atakapokwisha kukupumzisha Bwana, Mungu wako, katika adui zako wote walio kando-kando, katika nchi akupayo Bwana, Mungu wako, iwe urithi uimiliki, ndipo uufute ukumbuko wa Amaleki chini ya mbingu; usisahau.
Nimeuliza swali dogo sana yaani katika Vita hii inayopiganwa kati palestina na Israel aliyechokonoa ugomvi ukaanza ni nani?? Kulikuwa na utulivu sana sasa kilichowatuma kuanzisha ugomvi ni nin
 
Njia pekee ya kupambana na Israel ni hii tu, kuishitaki kwa mabaraza ya kimataifa. Inanikumbusha Primary ukishamshitaki yule mtemi wa darasa basi ujue kisago kinakungoja on your way home.

Wakati kesi hii feki ikiendelea Israel bado wanasambaza UPENDO mtakatifu huko GAZA, ni vilio na kusaga meno.

Israel imedai ni mashitaka yasiyo na msingi wowote.
 
SA ni upumbavu unafanya,kila baada ya 5mins,raia/mkazi ndani ya SA anauliwa very violent, yaani watu wanaokufa un natural death kwa siku moja ndani ya SA ni wengi zaidi kwa wanakufa kwenye vita ya Hamas/Israel na Ukraine/Russia, serikali ya anc inatapa tapa,njoo next November anc hawatakua watawala wa SA, iam putting my head on the chopping block kwa hili
 
Back
Top Bottom