darasa

  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Malamba Mawili, Msikitini: Mtoto ajinyonga hadi kufa, inadaiwa alikuwa anasoma Malamba Mawili Darasa la 6

    Mtoto mdogo anayedaiwa kuwa alikuwa ni mwanafunzi wa darasa la 6 Shule ya msingi Malamba Mawili amejinyonga eneo la Msikitini. Mwili huo umegunduliwa ukining'inia chini ya mti mbele ya nyumba ya mtu ambaye inadaiwa watu hawakai hapo. Polisi wamefika eneo la tukio wamechukua mwili wa marehemu...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kingereza kufundishwa kuanzia Darasa la Kwanza

    Serikali imeamua kuboresha uelewa wa somo la Kiingereza kuanzia Shule za msingi darasa la kwanza badala ya kuanzia darasa la Tatu kama hapo awali ili kuwajengea uwezo wanafunzi hao ingali mapema kuelewa somo hilo kwa ueledi. Naibu Katibu Mkuu Tamisemi (Elimu) Dkt. Charles Msonde amezungumza...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi anatakiwa kuwa na simu darasa la ngapi?

    Wazazi tunapishana kweli niko gari la Goba nyuma kabisa naona katoto ka shule kanachat Nakauliza umetoka shule ndio darasa la ngapi form 2. Unaruhusiwa kuwa na simu shulen ndio nawekaga silent Aisee yuko busy anatuma meseji tuzidi kuwaombea tu.
  4. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Elimu ya biashara, uchumi na ujasiliamali ingeanza kufundishwa darasa la kwanza mpaka Phd

    Na sio hii kitu elimu ya dini, yaaaani serikali inafikia hatua kutilia mkazo tahahusi yza kidini wakati masuala ya umuhimu kama hapo juuu mtuu unakutana nayo secondary taifa tungekuwa mbali. Nawasilisha. Habari za jioni from Moshi town
  5. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti Darasa Huru ni gazeti makini au la kimkakati?

    Wakuu ni mara ya nne leo ninakutana na gazeti hili mezani. Nimejaribu kulifuatilia stori na makala zake nimebaki kujiuliza swali kuwa hili ni gazeti makini au la kimkakati? Nimekutana na makala za wachambuzi makini kama vile Absolom Kibanda, Victor Makinda Dismas Lyassa na wengine wengi...
  6. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa darasa la Saba alikatishwa masomo kwa ajili ya ndoa

    Nilipokuwa darasa la Saba mwaka 2011, tulishuhudia mwanafunzi mwenzetu akisitishwa masomo ili arudi nyumbani Skonge kwa ajili ya ndoa. Hii ilikuwa mshangao mkubwa kwetu sote, hasa ikizingatiwa kuwa tulikuwa tunakaribia mitihani ya mwisho ya NECTA na wazazi wake tayari walikuwa wamemlipia ada...
  7. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Nani anatamani kusikia Darasa na Zuchu kwenye wimbo mmoja?

    Binfasi naamini Darasa kwa uwezo wake na style yake ya kuchana akikaa kwenye ngoma moja na Zuchu watatoa chuma kimoja matata sana. Tuombe Mungu abariki siku moja tuone collabo yao ya kuisimamisha nchi.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku mwanaume kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mnayetokea mazingira sawa

    Ni Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya. Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha unarina asali ya mbali, hiyo ya maeneo yako iache watu wa mbali waifate.
  9. Fateema

    JamiiForums Tanzania Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Mimi ni single mother umri wangu ni miaka 34. Kwa ufupi Nina watoto wawili wa kiume wa kwanza ana miaka tisa wa pili ana miaka saba. Huyu kwanza yupo darasa la 4 na wa pili yupo darasa la 3. Kilicho nifanya nilete ujumbe huu hapa Jamii Forums ni kitendo cha dhulma kinacho taka kufanywa na shule...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Baada ya Shule kuandikisha Wanafunzi Watatu tu, Serikali yaanzisha msako kutafuta Watoto waliopo mtaani

    Siku chache baada ya JamiiForums kuripoti juu ya Shule ya Msingi ya Mlembea Wilayani Rombo kuandikisha Wanafunzi Watatu pekee wa Darasa la Kwanza, baadhi ya Wananchi wamedai moja ya changamoto inayosababisha hali hiyo ni uongozi wa Shule. Mwananchi mmoja amesema “Watoto wangu wawili wamesoma...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya Darasa la tatu

    Pakua vitabu Kwa ajili ya mwañao Thanks
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kilimanjaro: Shule ya Msingi ya Serikali yaandikisha Wanafunzi watatu (3) kuanza Darasa la Kwanza

    Mlembea, ni moja ya Shule ya Serikali iliyopo Wilaya ya Rombo katika Tarafa ya Mashati Mkoani Kilimanjaro ambapo kwa Mwaka huu wa 2024 imeandikisha Wanafunzi watatu tu (3) kuingia darasa la kwanza kitu ambacho sio kawaida. Shule hiyo ya Msingi Mlembea jumla ya idadi ya wanafunzi katika shule...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania NECTA 2023: Wanafunzi 359,424 wa Darasa la 4 na Kidato cha Pili wamefeli, Wengine 211,997 hawakufanya Mtihani

    Matokeo ya Mitihani ya Upimaji Kitaifa kwa Wanafunzi wa Darasa la 4 na Kidato cha Pili iliyofanyika Oktoba na Novemba 2023 yameonesha Wanafunzi 147,837 (8.73%) wa Darasa la 4 hawakufanya Mtihani wa Upimaji ambapo Wasichana ni 60,835 (7.04%) na Wavulana ni 87,002 (10.50%). Pia, Wanafunzi 257,396...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mitihani latangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Upimaji kwa darasa la Nne na Kidato cha Pili kwa mwaka 2023 mchana wa leo. Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009 NECTA imetangaza Matokeo ya Kidato cha Pili na Darasa la 4, 2022 Yatazame hapa National form II Results 2009 aibu Kwa...
  15. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Necta mnachelewesha majibu ya darasa la 4 na form two. Tatizo nini?

    Tarehe 8/1/2024 shule zinafunguliwa, mpaka leo hii tarehe 05/01/2024 majibu bado mnakwama wapi? Hamjui kuwa kuna maandalizi? Toeni matokeo mapema ili mzazi ajiandae kama mwanane anarudia anakwenda mbele. Hata mwanafunzi mwenyewe kuna wakati anahitaji maandalizi pia.
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania Matokeo darasa la nne yamechelewa sana

    Wanabodi salaam Watoto wa darasa la nne wamefanya mitihani yao hapo Oktoba na sasa wazazi na walezi wanajiandaa kwa ngwe ya darasa la tano. Lakini wanawezaje kufanya maandalizi bila kufahamu matokeo ya vijana wao? Serikali izingatie kutoa matokeo kwa wakati tafadhali
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali kuwe na Programu Maalum ya kuwafanya Mabinti wanaomaliza Darasa la 7 na Form 4 wawe 'busy' kipindi wakiwa Wanasubiria Matokeo yao

    Wanangonoliwa na Wanaume hadi Huruma na wengi Wao hata ukiwaomba upite nao Barabara za Vumbi tupu ili tutokee Yombo Buza kwa Mpalange wala hawakatai na tena Siku zingine Wao ndiyo wanakumbusha Madereva tukuka wapite huko. Hali ni mbaya sana Wakuu hebu tuamkeni na tuje na Suluhisho ili kwa...
  18. aka2030

    JamiiForums Tanzania Watu maarafu walioandikwa kwenye Kitabu cha Atlas ya Darasa la 6 Tanzania

  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TBC1 Kurasa Darasa: Kitabu Cha Maisha ya Rajabu Ibrahim Kirama

    ''Baada ya suluhu ile ya Captain Eltz na Alexander Le Roy iliyomaliza vita ile, Muro Mboyo aliondoka Machame kuelekea Old Moshi. Nyuma akiwa ameacha mke na mtoto mdogo wa kiume aliyeitwa Kirama Muro, ambaye mama yake alikuwa anatokea Kibosho. Jina la mama yake Kirama Muro lilikuwa Makshani...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Darasa la 7 2023: Wanafunzi 31 wafutiwa Matokeo kwa kufanya Udanganyifu

    Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 13-14, 2023. Matokeo hayo yametangazwa leo, Alhamisi Novemba 23, 2023 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Dk Said Mohammed. Kwa mujibu wa Dk Mohammed, wanafunzi 360 ambao walipata matatizo ya...
Back
Top Bottom