Tafadhali kuwe na Programu Maalum ya kuwafanya Mabinti wanaomaliza Darasa la 7 na Form 4 wawe 'busy' kipindi wakiwa Wanasubiria Matokeo yao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,033
Wanangonoliwa na Wanaume hadi Huruma na wengi Wao hata ukiwaomba upite nao Barabara za Vumbi tupu ili tutokee Yombo Buza kwa Mpalange wala hawakatai na tena Siku zingine Wao ndiyo wanakumbusha Madereva tukuka wapite huko.

Hali ni mbaya sana Wakuu hebu tuamkeni na tuje na Suluhisho ili kwa pamoja kwa kushirikiana na Serikali tuweze Kuwaokoa kwani wengi wao pia hupatwa na Janga la VVU ndiyo maana Wengine kwa Kuwaogopa sasa tumeamua Kubobea Kuokota tu Mijimama na hata Mibibi ikibidi ili kuvikwepa hivi Vibinti ambavyo Vimeshaukwaa kwa kupenda Kwao Chips, Soda, Nguo, Hela na Lifti wa Magari, Bajaji, Bodaboda na hata ya Baiskeli yangu ya Phoenix za 1940 ninayoimiliki hadi leo.
 
Kwa hili naunga mkono

Yaani pale watoto wanapomaliza form IV kusubiri matokeo ni kipindi ambacho wanaharibiwa na kuharibika sana

Kwasababu wengi wao wanakuwa kama mzigo nyumbani na ukiangalia kwa familia za hali ya chini haziwezi kumhudumia mtoto kwa vitu vyote hasa wa kike, hivyo wanashawishiwa huko nje na kujiachia...hasa shule za kata na ndio zipo nyingi

Hata wale wakiojitunza, wengi wanakuja kubikiriwa kipindi hiki

Ni bora wakiwa shuleni kunakuwa na ulinzi shuleni na uoga pia wanakuwa nao
 
Back
Top Bottom