darasa

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Darasa la saba Dar kufanya mitihani 16 Jan 2020, Necta watoa ufafanuzi

    Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetoa ufafanuzi kuhusu mitihani itakayofanyika kesho Alhamisi Januari 16, 2020 jijini Dar es Salaam kwa wanafunzi wa darasa la saba. Mtihani huo utahusisha shule zote za umma na binafsi na utafanyika kwa siku moja ya kesho. Limesema mitihani...
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Shule za English medium kufanya vizuri somo la kiswahili kwenye mitihani ya darasa la saba kuliko shule za swahili medium nini maana yake?

    Ukiangalia matokeo ya darasa la saba 2019 kwa mfano shule za english medium ndizo zimeongoza kwa ufaulu kwenye somo la kiswahili kuliko shule zinazotumia lugha ya kiswahili kwenye masomo yote Hii inamaananisha nini? ==== Pia raia wa China Congcong Wang aliongoza somo la Kiswahili ambalo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania DC Mtatiro: Marufuku kufanya Sherehe za darasa la saba, fedha za Sherehe wazitumie kuwasomesha wasiwe mzigo kwa Taifa

    Mkuu wa wilaya ya Tunduru Mh Julius Mtatiro amepiga marufuku sherehe za kuhitimu elimu ya msingi yaani Darasa La Saba wilayani kwake. Mtatiro amesema kuhitimu darasa la saba ni sawa na Sifuri hivyo kufanya sherehe ni kuwadumaza wanafunzi na kuwafanya wawe na mawazo ya kimasikini yatakayoharibu...
  4. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Ni fani kagi ya VETA inamfaa kijana alieishia darasa la saba?

    Naomba msaada wa kujua fani nzuri veta ambayo inaweza kumfaa kijana ambae ameishia darasa la saba. Kuna kijana wa dada yangu hakuendelea na masomo ya sekondari, sasa naona nimsaidie kwa kumlipia asomee fani VETA angalau imsaidie kukabiliana na changamoto. Naomba msaada wa kujua ni fani gani...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Ambaka mtoto wa darasa la sita hadi kumuua, ajisalimisha Polisi

    Mponjoli Lisa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumbaka binti wa darasa la sita Shule ya Msingi Pugu Kajiungeni hadi kumuua. Akizungumza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Zuberi Chembela amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wanne wanashikiliwa na polisi...
  6. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Wahitimu 173636 Wa Darasa La Saba Kukosa Nafasi Nini Maana Yake

    Hii taarifa ya wahitimu 173636 wa darasa la saba kukosa nafasi za sekondari kwa sababu ya uhaba wa madarasa linaingia akilini kweli.
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Mabinti darasa la 4 wauza pombe za kienyeji

    SHEHE wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Nurdin Mbawala amesema watoto wa kike kuanzia darasa la nne wanatumiwa na wazazi wao kuuza pombe za kienyeji hivyo kuhatarisha usalama wao. Aidha amesema hali hiyo inawaweka watoto hao katika hatari ya kutumika katika ngono wakiwa...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Mwanafunzi wa Darasa la 6 afariki katika harakati za kutoa mimba

    Mwanafunzi Monica Ponera wa darasa la 6 Shule ya Msingi Mtumbatimaji Wilaya ya Namtumbo, Ruvuma, amefariki baada ya kufanyika kwa jaribio la kutoa mimba ya Mapacha wawili kwa njia ya kienyeji, inadaiwa Mwanafunzi huyo alipelekwa kwa Mganga wa Jadi na Wazazi wake ili kutoa mimba. (Picha...
  9. southern boy

    JamiiForums Tanzania Nimetengeneza App Kwa ajili ya kusaidia watoto katika somo la hisabati

    Habari humu!! Hi post pia nitaiweka na kule kwenye jukwaa la elimu sababu pia inahusu masula ya elimu. Ningependa kuanza moja kwa moja kwamba nimetengeneza app hii kwa ajil ya kumsaidia mzazi/mlezi/mwalimu/kaka/dada kumpa mtoto mazoezi kwenye somo la hisabati mda ambao upo busy na shughuli...
Back
Top Bottom