Gazeti Darasa Huru ni gazeti makini au la kimkakati?

Sekenyula

Member
Mar 12, 2024
38
37
Wakuu ni mara ya nne leo ninakutana na gazeti hili mezani.

Nimejaribu kulifuatilia stori na makala zake nimebaki kujiuliza swali kuwa hili ni gazeti makini au la kimkakati?

Nimekutana na makala za wachambuzi makini kama vile Absolom Kibanda, Victor Makinda Dismas Lyassa na wengine wengi.

Mathalani leo wamekuja na stori ya uchunguzi kuhusu maandamano ya Chadema na siri iliyojificha.

Mwenye kujua zaidi atujuze

Screenshot_20240316-090552.png
 
Back
Top Bottom