Nani anatamani kusikia Darasa na Zuchu kwenye wimbo mmoja?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,374
Binfasi naamini Darasa kwa uwezo wake na style yake ya kuchana akikaa kwenye ngoma moja na Zuchu watatoa chuma kimoja matata sana.

Tuombe Mungu abariki siku moja tuone collabo yao ya kuisimamisha nchi.
 
Wee shen em huko, huyo Zuhura anaimba nn kwani? Hizo taarabu zake? Anabebwa na lebo tyuuh.
Hana lolote. Msimkuze hapa.
Hiyo ni pure talent, usianze kumchukia alafu ndio umsikilize. Anza kwanza kumsikiliza ndio umchukie

Kama anabebwa na lebo mbona Queen Darleen ameshindwa kubebwa na hiyo lebo?
 
Hiyo ni pure talent, usianze kumchukia alafu ndio umsikilize. Anza kwanza kumsikiliza ndio umchukie

Kama anabebwa na lebo mbona Queen Darleen ameshindwa kubebwa na hiyo lebo?
Simchukii huyo zuhura, ila ukweli hana lolote ktk kuimba music, alipokuwepo ndo panambeba.
Ukweli usemwee.
 
Mimi naona Zuchu na Young Killa wakipiga Rap / RnB (Sio hizi Amapiano au za kinaija ) just ile Bongo flavour flani ya zamani. Itahit sana
 
Simchukii huyo zuhura, ila ukweli hana lolote ktk kuimba music, alipokuwepo ndo panambeba.
Ukweli usemwee.
Waswahili aana msemo.wao "njsa nyumba uliyofikia "
Zuchu yupo kwenye jumba la neema na ndio kinachombeba
 
Back
Top Bottom