darasa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Harmonize na Darasa Mmefeli sana kwenye Video ya Mazoea

    Nyimbo ni kali sana lakinii Video ya kijima na kishamba sana. Ukiitazama utafikiri ni Video ya Msondo ngoma ile iliyomuonyesha Kingwendu pale kariakoo amesimama barabarani. Hebu angalia Video ya wimbo wa Diamond na Jux unaoitwa Ololufe uone wenzako walivyo serious na kazi. Kama mlikosa hela...
  2. JMF

    JamiiForums Tanzania Jina la mtoto limekosewa kwenye matokeo ya darasa la saba, msaada wa nini chakufanya

    Salaam wanajukwaa la sheria. Nina changamoto hiyo hapo juu, nimeileta jukwaa hili kupata ushauri wa nifuate utaratibu gani mwanangu aanze kidato cha kwanza na jina lake lilolopo kwenye cheti chake cha kuzaliwa. Limekosewa herufi mbili hivyo naona kabisa ataingia nalo form one na litakuja...
  3. mabutu1835

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya darasa la Saba, 2024

    Hivi karibuni Baraza la mitihani Tanzania limetoa matokeo ya darasa la Saba na katika taarifa yao ni kwamba, ufaulu umeongezeka. Hilo halikunipa shida isipokuwa waliofutiwa matokeo kwa sababu kuu mbili: 1: Kuibia katika mtihani, hili halikunipa shida sana katika masuala ya mitihani ni kawaida...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NECTA 2024: Ufaulu wa Wanafunzi wa Kike wa Darasa la 7 washuka, Wavulana wafanya vizuri, Shule 12,838 zimepata Daraja C

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Darasa la 7 uliofanyika Septemba 2024 yanayoonesha Ufaulu wa Wasichana umeshuka kwa 0.53% kulinganisha na ufaulu wa 80.58% wa mwaka 2023 huku ufaulu wa Wavulana ukipanda kwa 81.85% kutoka 80.59% ya mwaka 2023. Jumla ya...
  5. ARMs14

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya darasa la Saba kwa Mwaka 2024 yatoka, ufaulu wapanda kwa asilimia 0.29

    Wakuu matokeo ya mtihani wa darasa la vii kwa mwaka 2024 yametoka. Matokeo ya Darasa la saba yatangazwa leo Oktoba 29, 2024 yaliyotangazwa na Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Necta Dkt. Said Ally, ambapo watahiniwa 974,229 kati ya wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wamefaulu...
  6. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mifumo ya kurusha wanafunzi wasimalize miaka 7 ya darasa la saba, tujue kuna mifumo ya kuchakachua mahitimu wa Chuo kikuu!

    Huko nyuma kabla ya Jiwe JPM, kulikuwa na tabia mbaya ya kitapeli eti unamrusha darasa mwanafunzi. Unakuta mwanafunzi kasoma mpaka darasa la pili alafu unamrusha mpaka darasa la tano au yuko darasa la nne unamrusha darasa la sita. Nashukuru JPM kwa kutengeneza mfumo ambao ukisajiliwa na mfumo...
  7. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu 76% ya waigizaji na wanamuziki wa Bongo hawajafika Darasa la 7

    Wasalaam, Napenda kuchukua fursa hii kuwalaani wasanii wote wakiongozwa na rais wao stev Nyerere ambae hajamaliza hata darsa la saba kutumika kisiasa na cha chama cha mapinduzi kupotosha umma wa watanganyika kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Jana nimemsikiliza dula makabila ambae ameishia...
  8. 888I

    JamiiForums Tanzania Wazazi wamejenga darasa kwa udongo watoto wanakaa chini kusoma Simanjiro.

    Kijiji Cha lorokare Kata ya Oljoro no.5 Wilaya ya Simanjiro Manyara wazazi wamejenga darasa kwa udongo ili kuwasaidia watoto kujipatia elimu lakini pia kuokoa maisha yao kutokana na korongo la msimu huwa wanashindwa kuvuka na kusombwa na maji. Wakizungumza mwenyekiti wa kitongoji,wazazi na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kuna darasa tunaweza kujifunza kwa Japan kuelekea 2025

    Napenda siasa napenda democracy japo sidhani kama ni democracy. Napenda siasa yenye mrengo wa kiuchumi na kiusalama wa Taifa. Nimeona mabadiliko ktk serikali ya Japan nikatamani taifa langu lipate Kiongozi mwenye mirengo inafanana na Japan hasa ukizingatia dunia kwa sasa siasa ni usalama wa...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana kuhudhuria Graduation ya darasa la saba Kayumba

    Leo nimeenda kijijini kwetu " Ilala Rural" nikapata nafasi ya kuhudhuria Grafuation ya darasa la saba Shule ya Kayumba. Darasa lina mikondo 7 kila mkondo una wanafunzi 70 jumla wanafunzi 490. Kulikuwa na vibe la hatari. I liked what I see. I liked the energy which was at the school...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MAOMBI MAALUM KWA AJILI YA DARASA LA SABA MTIHANI

    BABA YETU NA MUNGU WETU TUNAKUSHUKURU KWA UHAI WA WATOTO WETU AHSANTE KWA KUWAWWZESHA KUSOMA NA SASAA WANAENDA KUMALIZALA SABA TUNAOMBA UWAKUMBUSHE KILA KITU WALICHOSOMA WAFANIKIWE NA WAFAULU MITIHAN YAO WAKAWE KICHWA NA SIO MKIA IN JESUS NAME WE PRY AMEN
  12. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Kipi kilisabisha mkachapwa Darasa zima kipindi unasoma?

    Madame wa biology aliingia class akakuta board ni chafu. Akaniambia kwa kuwa nimeshindwa ku-sort mtu afute, basi nikafute mimi. Nimeenda kufuta ubao, nikatafuta duster cleaner, nikaikosa. Naangalia kwenye ki-box cha chalk, nikakuta kitambaa fulani cheupe. Nikakichukua nikasafishia ubao. Madame...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa St. Doroth (Tabora) ashtakiwa kwa kumnajisi Mwanafunzi wa Darasa la Pili

    TABORA - MWALIMU Dotto Elias (29) wa Shule ya mchepuo wa Kiingeza ya Mtakatifu Doroth iliyopo maeneo ya kidatu Manispaa ya Tabora anayedaiwa kumnajisi mwanafunzi wa darasa la pili chooni amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Tabora. Akisoma mashtaka hayo jana Agosti 15, 2024...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Darasa la saba B awanyima usingizi wanaojiita wasomi pale jangwani

    Huyu ajiita injinia aliyesomea DIT ,huyu sijui wakili msomi huyu CPA,yule sijui nani sijui ila jana wamelala na viatu. Mzee Magoma weka namba ya mpesa tuanze kukuchangia,Wewe ni generation Z wa kizazi cha zamani,
  15. City Owl

    JamiiForums Tanzania Wazazi mnashirikiana na shule kuwatesa watoto

    Wazazi, mnashirikiana na shule kuwatesa watoto. Vitoto vyenyewe bado vidogo, miaka 11-13, vinaamshwa saa 10 au 11 alfajiri kuwahi shule. Wanawahi nini exactly? Na bado watakaa shule mpaka saa 12 kisa remedials, kurudi nyumbani saa 1 jioni.. mtoto anafika hoi, hajiwezi, hajacheza, hajafanya...
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Nitasusia Uchaguzi was TLS kama Mwabukusi asiporudishwa kwenye orodha ya Wagombea

    Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (Tanganyika Law Society -TLS), utakaofanyika Agosti 2, 2024, Wakili Msomi Peter Kibatala ametishia kususia Uchaguzi huo ikiwa Wakili Boniface Mwambukusi hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea Soma; Kamati ya Rufaa ya Uchaguzi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Poleni Wasukuma kwa kuchagua wabunge wa darasa la 7

    POLENI sana ndugu zangu Wasukuma kwa kufanya utani kwenye uchaguzi na kuacha vigezo vya uwezo wa kiakili ninyi wenzangu mnaangalia mtu ambaye ana uwezo wa kuwanunuliwa vitumbua, ubwabwa, soda na kuwagawia shilingi elfu 5 tano matokeo yake mnapeleka wabunge bungeni ambao hawana uwezo wa kujua...
  18. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Naombeni darasa kuhusu hii mifumo ya simu ya sasa na zamani

    Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia. Sasa kivumbi kipo hapa ambapo nimetoka kapa na nahitaji darasa kubwa Tu na wadau wengine pia watapata...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Edward Ole Lekaita Atoa Darasa la Sheria Kuhusu Kutatua Migogoro ya Ardhi Nchini

    MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ATOA DARASA LA SHERIA KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI NCHINI "Mhe. Jerry Silaa tangu umeteuliwa umefanya kazi kubwa hasa kupitia Kliniki ya Ardhi, endelea hivyo hivyo kwani matarajio ya Mheshimiwa Rais na wananchi walio wengi wanataka migogoro ya Ardhi iishe na tuwasikilize...
  20. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kuwa na familia imara na viongozi bora wa baadae Tanzania ifundishe somo la “Utaifa” kuanzia darasa la awali

    ILI KUWA NA FAMILIA IMARA NA VIONGOZI BORA WA BAADAE TANZANIA IFUNDISHE SOMO LA “UTAIFA” KUANZIA DARASA LA AWALI ILI KULINDA TAMADUNI ZETU NA KUJENGA JAMII YENYE MAADILI MEMA. SHULE AU DAY CARE ZA MITAANI PIA ZISHIRIKISHWE MAANA WATOTO WANASHINDA HUKO. Kabla sijaanza anaomba nitoe Maana ya...
Back
Top Bottom