darasa

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Mpango Mkakati wa KKK kwa Watoto wa Awali, Darasa la I na II

    https://www.youtube.com/live/6AuU7vpGdDs
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna shule za Mbeya hazipokei Wanafunzi wa Darasa la Kwanza kama hawajui kusoma na kuandika vizuri

    Suala la uandikishaji wa darasa la Kwanza, Sera ya Elimu inasema mtoto ataanza shule akiwa na umri wa miaka 6, lakini shule nyingi za Mkoa wa Mbeya zinakataa kuandikisha Wanafunzi wenye miaka 6 hadi 7 kisa tu hawajui kusoma vizuri. Je, utaratibu huu ni waraka kutoka Serikalini au shule nyingi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Utawala uliofitinika, wabunge wa darasa la Saba wanapigana hadharani. Muhogo ni muhogo tu hata ukautia nazi, utabaki Muhogo

    Like mother like son, wanapigana hadharani kama wameelaaniwa. Na bado wataendelea kuwa maofisa wa Umma!
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded DC Mtatiro: Veta Shinyanga ina nafasi 179 za bweni lakini Wanafunzi wapo 229, nimeelekeza darasa moja liwe bweni

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA BAADHI YA WANAFUNZI WA VETA SHINYANGA KUPORWA NAFASI ZA BWENI UTANGULIZI Chuo cha VETA Shinyanga hadi napotoa taarifa hii, kina uwezo wa kupokea wanafunzi wa Bweni 179 tu. Huo ndiyo uwezo wa juu kabisa wa chuo. Katika mwaka huu wa masomo wa 2026...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya kuandikisha mtoto darasa la kwanza

    Niaje? wadau wa mtandao huu wa Jf salaam ndugu zangu Poleni na mishe mishe za kila siku muhimu afya na uzima ndugu zangu, Sina maneno mengi sana ndugu zangu Shida yangu ni hii kama Kuna mwanajf yoyote ana viatu vyeusi miaka mitano mpaka sita namba 30 vidogo kidogo viko katika Hali nzuri...
  6. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kuna watu Wapo JamiiForums toka 2005 Mimi nipo darasa la 5 lakini ukiangalia post zao ni kutukana na kukejeli viongozi vipi hamchoki tu

    Watanzania tunajua ukubwa ni dawa sasa imekuwa tofauti kwenye jukwaa letu hili la jamiiforum ambapo hakuna uhusiano kati ya ukongwe wa mwanachama na ukomavu wa akili. Nashangaa kuona mtu yupo jukwaani toka 2005 wakati mm nikiwa darasa la 5 lakini post zake zote ni kutukana na kukejeri viongozi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sitosahau: Siku niliyosingiziwa natembea na mtoto wa darasa la sita, yaani mbakaji

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 1995 nikiwa naishi mbeya Sokomatola,. Nilikuwa nafanya biashara za maduka ya rejareja, sasa unajua mambo ya uswahilini kuzoeana na vitoto ambavyo vinakusaidia kuvituma vikakununulie bidhaa Basi siku hiyo nilikuwa nimetoka kuzindua duka langu jipya, mida kama ya saa moja...
  8. upupu255

    JamiiForums Tanzania Darasa lililokamilika ilikuwa lazima liwe na watu hawa, wewe ulikuwa yupi?

    Tulipokuwa shule, darasani tulikuwa wanafunzi wa aina mbalimbali na makundi tofautitofauti kulingana na tabia au haiba ya mtu. Darasa lililokamilika kwa hekaheka za hapa na pale ilikuwa lazima liwe na watu wa aina zote kama inavyoonekana hapa picha. Mimi nilikuwa Joni Kisomo, wewe ulikuwa yupi?
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi mtoto kumaliza darasa la Saba ni kitu cha kuandalia sherehe?

    Kusini kunachekesha Sana yaani siku ya mahafali ya shule ya msingi mzazi anakwenda kukopa hela kabisa ili afanye shughuli nyumbani karibia mziki wa kukodi laki tatu chakula laki mbili eti kusherehekea mtoto kamaliza la Saba kweli jamani elimu ya msingi ni kitu cha kujivunia hivyo?
  10. Think2

    JamiiForums Tanzania Mwalimu alipogeuza darasa kuwa maeneo ya kisasi

    Kuna mwalimu w kiume alikataliwa na mwanafunzi sasa yule teacher hasira zake akaamua kuzimalizia kwa darasa zima asee tulipigwa fimbo za kutosha tena tulikuwa tunapigwa za mapajani (chinichini ya kalio). Waalimu hizi tabia hazifai hata kidogo mapenzi hayalazimishwi lkn pia ni kinyume na sheria
  11. O

    JamiiForums Tanzania KIJANI kusomba Watu Hawajaanza Leo! Mimi Mwenyewe Nikiwa Mwanafunzi Darasa la 4 Shule Flani Apo Mwanza Nilisombwa Kwenda Kumshangilia JK 2005 kirumba!

    Wakuu hawa jamaa hii michezo Hawajaanza leo ni tangu miaka na miaka uko nyuma! Kwahiyo ata Aya yanayosemwa sasa ni marudio tu na ni kama hawa jamaa hii michezo washaizoea! Nikiwa Mwanafunzi wa darasa la 4 mkondo A pale shule ya msingi Nyamanoro, nakumbuka tulisombwa kwenda CCM kirumba tena...
  12. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kudharau wabunge wa darasa la saba ebu tuangalie mchango wa wabunge wasomi wa Tanzania tangu nchi ijipatie uhuru wake .

    Watanzania Wengi Ambao wanadharau wabunge , naomba watupe mchango wa wabunge ambao wamesoma wamelifanyia nini Taifa la Tanganyika.
  13. Mathayo Christopher

    JamiiForums Tanzania Nina shida ya softcopy ya kitabu Cha kiswahili na hisabati darasa la kwanza

    Mwenye uwezo wa kunisaidia nakala tajwa hapo juu anisaidie
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Pascal Lutandula mhitimu darasa la saba aongoza Chato kusini,Takukuru wamuogopa,amwaga rushwa adharani,adai ametumwa na mkuu

    Vijana tafuteni hela,money can buy anything Pascal Lutandula muhitimu wa darasa la saba B shule ya msingi Igando wilaya ya Chato,ameongoza kura za naoni kwa kuwaacha mbali wagombea wasomi akina Katwake na wenzake Huyu ni mfanyabiashara wa madini ya dhahabu,ana hela kama njugu Mpaka muda huu...
  15. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania NadhaniJF kunawatoto hadi wa darasa la saba, nao huanzisha nyuzi zao humu

    Habari njema sana kwa wana JF wote. Mimi sio muandishi mzuri sana wa nyuzi ndeefu sana, hii nikwasababu nilipokua mdogo sana niliambiwa muda ni mali sana.. nasasa nilipo kua mkubwa nimebaini muda hautoshi kabisa. Twende kwenye maada hapo chini. HIVI hawa vijana wanaokuja namaada kwamba...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Private schools zinadai pesa ya remedial class kwa watoto wa darasa la pili , school fees inafanya kazi gani ?

  17. Now and then

    JamiiForums Tanzania Je serikali ilipigaje hizi hesabu , wanafunzi ambao wapo darasa la nne wataingia secondary mwaka 2028 na ambao wapo darasa la tano wataingia 2028.

    Je serikali ilipigaje hizi hesabu , wanafunzi ambao wapo darasa la nne wataingia secondary mwaka 2028 na ambao wapo darasa la tano wataingia 2028. Je ikiwa tutautekeleza huu mtaala Mpya , maana yake wanafunzi ambao wapo darasa la nne mwaka huu wataingia form one 2028 na ambao wapo darasa la...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Shule zimefungwa lakini watoto wa darasa la pili wameambiwa waendelee kwenda shule kununua visheti na sambusa kwa walimu

    Wizara ya elimu ni kwamba hamjui faida za likizo? Waziri wa elimu mbona hatukuoni umekaa wapi ebu simama tukuone! Viongozi inamaana hamuoni watoto wanavyofanywa huko mashuleni? Ratiba ya masomo mlipanga wenyewe, kwamba mtoto atasoma wiki kadha na likizo kadhaa! Inamaana likizo iko ndani ya...
  19. Ed edd n eddy

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko Kutoka kwa Mzazi wa Mtoto wa Darasa la Nne - Shule ya Victoria, Makumbusho

    Kwa heshima kubwa sana, napenda kutoa kilio hiki kama mzazi wa mtoto mdogo anayesoma darasa la nne katika Shule ya Victoria - Makumbusho. Kwa kweli moyo wangu unaniuma, na najikuta nikiwa na maswali mengi ambayo hayana majibu. Kwanza kabisa, tunatambua na kuthamini juhudi za serikali yetu...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa idara ya habari anaandika hivi. CHAUMMA jitajidini muwe na namna ya kuvutia kwenye uandishi wenu

    Mmmh Mkurugenzi mzima wa idara ya habari anaandika hivi. CHAUMMA jitajidini muwe na namna ya kuvutia kwenye uandishi wenu
Back
Top Bottom