dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa mihogo Kawe, Bwana Charahani akamatwa akiwa kwa mganga Bagamoyo

    Ni yule ambaye aliripotiwa hapa JamiiForums na Member mmoja nimemsahau jina kuwa alimjeruhi aliyemhusi mwizi wa mkewe (mama Zai ambaye sasa ni mjamzito) kwa kumkata kiukatili sikio na kidole kisha kupita navyo sokoni Kawe akiwa anatamba na kuvionyesha kwa watu huku akisema hakuna wa kumtisha...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Dar es Salaam ya 1950s

    NYUMBA ZILIZOKUWAKO DAR ES SALAAM YA 1950s Hapo chini ni mfano wa nyumba nyingi zilizokuwapo Dar-es-Salaam miaka ya 1950. Nyumba hizi zilikuwa na vyumba sita vyumba vitatu kila upande vikiangaliana na katikati kulikuwa na ukumbi mrefu. Uani kulikuwa na mabanda madogo jiko, vyoo na bafu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunaomba ziara ya kikazi mkoa wa Dar es Salaam hasa hasa wilayani Ubungo

    Wana Dar es Salaam tuna changamoto nyingi sana. Lakini ya barabara imekithiri sana. Tunaomba ziara Dar es Salaam tukueleze shida zetu. Dar es Salaam ina barabara zinachongwa kwa mwaka zaidi ya mara tatu kwa gharama kubwa, lakini barabara ikishachongwa inakaa kwa siku tatu hadi tano tu baada ya...
  4. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Ni kweli huko Dar es Salaam huwezi kupata nyumba ya kupanga bila dalali?

    Nina mdogo wangu amemaliza masomo kaomba asirudi nyumbani aende Dar ili apambane, sio mbaya sababu ni mchakarikaji tukaona haina haja ya kumlazimisha kuja mkoa. Nikamuambia kama ni hivyo basi atoke kwa ndugu, ana vitu vyake akapange, nitamsapoti kodi kwa mwanzoni, Juzi tukapatana atafute...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Dar yaongoza kwa watu kuwa na michepuko zaidi ya miwili

    Wakati takwimu za Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) zikionyesha maambukizi ya ugonjwa huo yameshuka kwa asilimia 47, ripoti mpya ya Wizara ya Afya imeonyesha viashiria vya uwezekano wa kuongezeka kwa virusi kutoka kwa wasiokuwa wanandoa wala wachumba (michepuko). Ripoti hiyo ya...
  6. BIG THINKER

    JamiiForums Tanzania Serikali yote itakapohamia Dodoma changamoto nyingine za Dar zitakuwa hazitatuliki, jiji la Dar litakuwa ndiyo jiji lenye changamoto nyingi Tanzania

    Mark my words Kama wewe ni mtumishi na unawaza uhamie wap kati ya dar na Dom nakushauri uhamie Dom.............. Sababu miaka ijayo hili jiji linalonasibiwa kuwa la kibiashara baada ya serikal yote kuhamia DODOMA Litabadilika na kuwa jiji la kiharifu, Changamoto zote unazoziona zinatokea na...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya mvua na foleni za barabarani Dar es Salaam?

    Moja ya jambo ambalo inawezekana changamoto ni miundombinu au labda ni vyombo vyetu vya usafiri, bado huwa nashindwa kuelewa vizuri, yaani ikitokea mvua imenyesha kidogo tu kwenye Jiji la Dar es Salaam hasa maeneo ya town, lazima foleni barabarani ziibuke kwa kasi. Najiuliza, hivi tatizo ni...
  8. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla ametudhalilisha na kututukanisha wana Dar es Salaam na watanzania kwa ujumla

    Nimeshangazwa na kitendo cha mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Amos Makalla kutumia kodi za walalahoi kukodi ndege ya kuwapeleka wamachinga na wadau wengine nchini Rwanda eti kujifunza usafi. Inamaana Watanzania wenyewe ni wachafu na hawawezi kujifunza usafi mpaka waende kufunzwa na...
  9. toriyama

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa Diploma, Chuo cha Muhimbili-COHAS, Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya

    Wanafunzi wa Diploma, chuo cha Muhimbili-COHAS kilichopo Dar es Salaam kuzuiwa kufanya mitihani yao kisa bima za afya. Kumekuwepo na malalamiko ya wanafunzi kulalamika kwa kile kinachoendelea katika chuo hicho ambacho kinatoa Elimu kwa ngazi ya diploma (MUCOHAS) huku walimu wakisema maelekezo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha vitu vya ndani kutoka dar es salaam kwenda Songea!

    Naombeni msaada ni njia gani cheap na salama naweza kutumia Kusafirisha vitu ya ndani kutoka Dar es salaam Hadi Songea!🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Na Bei za usafirishaji zipoje?
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, agoma kukabidhi Ofisi kwa Sheikh Walid

    Pamoja na kwamba Uteuzi wake ulitenguliwa, ameendelea kufanya kazi ndani ya Ofisi. Katibu wa Baraza la Mashehe wa Dar es Salaam Shekh Ally Kizegero aitisha kikao kinyume cha Utaratibu Nia ni kuwagawa Mashehe wa Dar. Kitendo kinachofanya na Elhad inadaiwa ni Uhaini ==== Aliyekua Sheikh wa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mbezi Beach kwa Zena: Mwili wa mwanaume wagundulika, inadaiwa ameuliwa kwa kuchinjwa

    Juzi tarehe 2/2/2023 Mjumbe wa Shina namba 9 Mbezi Beach B Bw. Daudi anasema alipigiwa simu akiambiwa kuna mtu ambaye amefia kokoni, ambapo alipofika eneo la tukio akakuta kichwa cha mwanaume huyo kimetenganishwa na kiwiliwili. Tukio hilo linaonekana kufanywa siku mbili au tatu kabla kutokana...
  13. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Shirika la Precision Air iliyokuwa ikitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma yalazimika kutua kwa dharura

    Shirika la Ndege la Precision Air limethibitisha kuwa ndege zake mbili zimeshindwa kufanya safari zake kama kawaida baada ya ndege moja kupata hitilafu na nyingine kulazimika kutua kwa dharura. Precision Air imethibitisha hilo kupitia Taarifa yake leo Februari 03, 2023 ikibainisha kuwa, moja ya...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu umenifanya nile vyakula vya kithungu leo. Bado upande wa pili, tufanyie marekebisho Dar

    Kuna viongozi wa dini walijsahau wakajiona miungu mtu badala ya kutumikia wananchi wamekuwa wakitumia madaraka vibaya kuwaadhibu wabaya waooo Wapooa waliokwenda mbaolli wskafikia kutaka vipusa vya wenzao walio chini yaooo Haitoshi wapoo walioamua kuwaadhibu wenzao kisa tu kuhoji matumizi ya...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Dar es Salaam aliyetenguliwa asema hana mpango wa kukata rufaa

    Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary ambaye amekainishwa nafasi hiyo, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya baraza katika nafasi nyingine. Amesema “Sijapewa taarifa rasmi lakini...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Shekhe Mkuu wa Dar es Salaam kutenguliwa kituo kinachofuata ni Dkt. Malasusa

    Natabiri kuzalishwa kwa migogoro ya kidini itakayowaandama na kuwavunjia heshima viongozi wote WA Dini walioacha Dini awamu ya tano na kusimama kidete na watesi wa waumini wao. Kuna kamati iliitwa kamati ya Amani ya Dar , ilikuwa na Sura ya kidini lakini mwoneoano wa kisiasa. NI kamati ambayo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania UPATIKANAJI wa Vyombo vya Ndani Vya Mtumba (Dar es salaam)

    Habari zenu wana Jamii F. Naomba msaada kwa yoyote anayejua wapi wanauza vyombo vya ndani vya mtumba(masufuria, sahani, vikombe, urembo etc. Natanguliza shukran
  18. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Shule yetu ya kata ina matokeo mazuri kuliko shule nyingi za Dar

    Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana. Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakusanya ushuru wa maegesho Dar es Salaam wagoma

    Makusanyo ya maegesho ya magari jijini Dar es Salaam yanayokadiriwa kufikia Sh 25 milioni kwa siku huenda yakatoweka kutokana na mgomo wa wakusanya ushuru huo kutoka kampuni ya Excel Parking Service (EPS). Wakusanya ushuru hao wamegoma wakidai kutolipwa mishahara yao miezi miwili. Tofauti na...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RPC wa Dar es Salaam Muliro una Taarifa kuwa Mauwaji ya Kikatili kwa Madereva Bodaboda yamerejea tena?

    Ndani ya Wiki Moja nimetoka Kuhudhuria Misiba ya Madereva Bodaboda Wawili ( tena Vijana kabisa Masikini ya Mungu ) na Wote wameuwa Kikatili ( Kishalubela ) na Watu wanaowapora Pikipiki zao huku Wakiwatoboa na Kuwanyofoa Macho yao. Muda huu huu kuna Mwana ( Rafiki ) nae ananiambia atachelewa...
Back
Top Bottom