dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Kaka Yaoh

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka gani ulikuja Dar es Salaam?

    Wakati huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka umenifanya nikumbuke nilivyokuja Dar kwa mara ya kwanza ilikuwa 2016.
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam mechi ya Azam na Yanga itapigika kweli kwa Mkapa?

    Kama vile naona Uwanja utafurika Maji. Mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam Kitapigika kweli leo kwa Mkapa Azam na Yanga?
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Dar es salaam kuna mkoa wenye madada poa (wanaojiuza) kuishinda Arusha?

    Dar es Salaam ni special case maana nadhani hata police wameshindwa kudhibithi ili janga, nilipata nafasi ya kutembelea huko jijiji dar in short sehemu yoyote ile ndani ya dar ukitaka utelezi ni chaap hata uhangaiki, ukitaka first class mpaka wale wa lower class ni wewe tu. Ukiachana na...
  4. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza magari aina mbalimbali

    1998 model, 1500cc, Petrol, First registered in Tz 09/03/07with reg T...AQV. The car in condition. Price Tshs 4.5mil Contact 0784225000.
  5. wilcoxon

    JamiiForums Tanzania Treni ya kisasa ya Dkt. Mwakyembe na Dkt. Robert Shumake kwa mkoa wa Dar es Salaam iliishia wapi?

    Ni zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es Salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia wapi. Pia Mwakyembe alisisitiza kuwa huyu baba alikuwa tayari kuleta hizo treni hata kesho yake tu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya kumbi za usaili - Dar es salaam

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Hassan Kitenge anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi katika kada mbalimbali za TRA kuwa, kuna mabadiliko yamefanyika katika mpangilio wa kumbi za usaili kwa wasailiwa wote waliokuwa wamepangiwa Dar es Salaam tarehe...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar es Salaam mnatuhumiwa kwa kuwa na maono mafupi

    "Mto Ruaha kufikia leo, umefikisha siku ya 126 ukiwa umekauka yaani hauna maji, lakini mwananchi wa Kariakoo anaidai serikali umeme, hadithi ya maji kukauka haelewi. Umeme utapatikanaje ikiwa Mto Ruaha unapeleka maji Mtera, Kidatu umekauka," Habib Mchage Mwenyekiti wa MECIRA.
  8. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Siku za gulio Dar es Salaam

    Habari. Kwenye harakati za utafutaji hasa biashara tunahitaji watu. Kati ya maeneo ambayo mtu unaweza kufanya biashara kwa wepesi ni kwenye magulio. Naomba kujua siku za gulio maeneo tofauti tofauti Dar es Salaam. Kutaja utajua umesaidia Wajasiriamali wengi.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Fuso inauzwa Dar, Shekilango

    Engine na kila kitu viko safi sana. Napatikana kupitia hii # 0752725614
  10. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira yoyote

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 natafuta kazi iwe kwenye taaluma yangu au nje ya taaluma yangu nimehitimu diploma ya uhasibu na nina uzoefu kama cashier kwa miaka mitatu na kuuza duka Napatikana Dar es Salaam Asante
  11. Mapand

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayeweza kuniunganisha na masoko ya mbao DSM bila dalali

    Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana wa miaka 25, naishi Mafinga-Iringa (na ndiyo nyumbani) nilipozaliwa. Sasa baada ya kuhitimu chuo miaka miwili iliyopita na katika kuendelea kufikiria namna ya kupata mtaji wa kufungua biashara yoyote yenye kunifanya...
  12. stineriga

    JamiiForums Tanzania Janga la umeme linaloendelea, tujuzane wapi unaweza kwenda kufanya kazi zako kwa kulipia au kununua wanachouza

    Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada. Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika. Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu...
  13. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Ni ipi yard ya kuaminika ya kuuza magari Dar?

    Wakuu habari ya mchana? Nimechoka kutembea kwa miguu, nataka nikavute gari yadi leo. Ni yadi gani ya kuaminika hapa Dar achana na zile yadi kwa kutuuzia magari ambayo wameyatoa Zanzibar.
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya Dar es Salaam dockworker's union 1948 katika Nyerere square 2022

    KUMBUKUMBU YA DAR ES SALAAM DOCKWORKER'S UNION 1948 KATIKA NYERERE SQUARE DAR ES SALAAM 2022 Hapo Nyerere Square palipojengwa jengo la kuvutia mwaka wa 1948 palikuwa na jengo la mbao na paa la mabati. Katika jengo hilo ndipo ilipokuwa ofisi ya Abdul Sykes Secretary General wa Dar es Salaam...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania UVCCM Dar es salaam Huu ni udini wa wazi kabisa Katika siasa za Tanzania.

    Binafsi mi naamini siasa za Africa ni udini Ukanda/ukabila, vitisho na rushwa. Hakuna kingine, mnachokiona hapo ndo Hali halisi ya siasa zetu za TZ. Kwa akili hizi hatuwezi kupiga hatua. Swali Hakuna wala nguruuwe Wangefaa japo Hata nafasi tatú tu Hapo?. Most of Tanzania politicians ni...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Na sisi wakazi wa Dar Es Salaam tunaomba nafasi ya kumuona Shujaa Majaliwa

    Ndugu Mkuu, Kwa kweli inaonekana kwa sisi watu wa Dar es salaam mmeanza kututenga. Inaumiza sana. Mpaka sasa Shujaa Majariwa wamemuona tu watu wa Kagera, Mwanza ,Dodoma na Tanga kama sikosei. Sisi Dar mtatuletea lini tuweze msabahi shujaa huyu? Naumizwa na jambo hili maana hata Wabunge wetu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bus linalotoka Dar es Salaam kwenda Uganda au njia rahisi ya kutuma mzigo kwenda Uganda

    Habarini wakuu, Naomba kuulizia bus linalotoka DSM kwenda Uganda na ofisi zao zilipo (kana lipo lolote) au njia rahisi na ya bei nafuu ya kutuma mzigo kwenda Uganda.
  18. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Mbagala Dar es Salaam ni chafu sana, inanuka

    Eneo la Mbagala lililomo kwenye wilaya ya Temeke ni eneo chafu sana sana, ili uweze kuelewa ninachokisema kabla haujanipinga ni vizuri utembelee eneo la Rangitatu nina uhakika hata hizo Rangitatu hautaziona kutokana na uchafu ulioko huko. Mbagala ina barabara kuu ya Kilwa japo kote inaonekana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mnaposema Dar es Salaam itapata maji 100% ni ipi hiyo? Ile ya Mabwanyenye wa CCM na washirika wao? Vipi madongo poromoka kama Buza na Mbagala?

    Nina hakika mtandao maji ya Dawasa haujtandaa Dar yote. Ni baadhi ya maeneo tu ndio kuna mtanado huo Sasa hao wanaokaaa madongo poromoka mnawafikiria vipi na wao? Mtakuwa mnajaza waterbowser na kuwapelekea? Ndiyo kusema mnaposema Dar mna maanisha mnapooshi nyie mabwanyenye?
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Wapi wanafundisha "kung fu" kwa ajili ya watoto naishi hapa Dar es Salaam?

    Salaam wana JF. Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam? Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.
Back
Top Bottom