dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa The Super Dar es Salaam Young Africans kujulikana kesho

    Timu zilizoingia robo fainali kombe la CAF CC ni: 1)Asec Mimosa-Cote d'Ivore 2)Rivers United-Nigeria 3)Marumo Gallants-South Africa 4)Young Africans-Tanzania 5)AS Far Club-Morocco 6)Pyramids-Egypt 7)US Monastrienne-Tunisia 8)USM Alger-Algeria Kuna timu nne za Juu ya Jangwa la Sahara na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyokimbiza mradi wa mwendokasi ili kuondoa foleni Dar es Salaam

    Na Bwanku M Bwanku. Kwenye Gazeti la Tanzania Leo nimefanya uchambuzi wangu kuhusu mradi mkubwa wa magari yaendayo haraka (DART) unavyokimbia kwenye awamu zingine Jijini Dar es Salaam. Wote tunajua namna Dar ilivyo na foleni kubwa, Sasa Serikali ya Rais Samia inaendelea kukimbiza mradi huu wa...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu Ikulu Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Maalum cha kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa leo tarehe 01 April 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam.
  4. Emc2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam ifanywe mji mkuu msaidizi, Dodoma itaanza kupokea ugeni mkubwa lini?

    Tangu awamu ya tano na sasa ya sita wageni wakubwa wa nchi wamekuwa wanapokelewa Dar na matukio makubwa yanafanyikia magogoni japo mjii mkuu ulishamishiwa Dodoma na serikali yote ikahamia huko. Hii ni kusema kwamba Dodoma na miondombinu ya mji huo huenda bado haikidhi kupokea wageni wakubwa...
  6. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Foleni leo hatari Posta na maeneo ya karibu kuelekea Ikulu jijini Dar es Salaam

    Jamani mnaokuja mjini jipangeni haswa, barabara zimefungwa fungwa haswa zielekeazo Posta hadi Ikulu
  7. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es Salaam ndio nguzo kuu kwenye kufanikiwa, vijana kimbilieni huko

    Hapa nazungumzia nyanja za mafanikio kwa sisi wasakatonge, nimezaliwa Moshi-kilimanjaro nimezunguka pande Nyingi za Tanzania Lakini dar-es salaam ndio Kila kitu kwa mtu ambae ana chachu ya mafanikio. MWANZA Ukienda Mwanza na hakika asilimia 100% utashindwa kujua uanzie wapi umalize wapi, labda...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mtu mmoja afariki Dunia kwa kupigwa na Radi Kimara

    Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha Dar es Salaam, mtu mmoja amefariki Dunia kwa kupigwa na radi maeneo ya Kimara. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi (ACP) Mtatiro Kitinkwi amethibitisha kutoka kwa tukio hilo katika mvua iliyonyesha juzi Machi 22, 2023, taarifa...
  9. koba lee

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es Salaam linanuka harufu za ajabu ajabu

    Kwema wakuu? Twende kwenye mada husika. Narudia jiji hili linanuka harufu ya miozo kwa sehemu nyingi. Mtu mbwa wake kadanja anamchukua anamtupa barabarani au pembezoni mwa barabara, paka, mbuzi, kuku wote vilevile. wanatupwa sehemu ambazo ni makazi ya watu au pembezoni mwa barabara. Hii...
  10. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Maharage mapya ya njano Mazuri yapo Dar es salaam kilo Shilingi 2500

    Habari wadau nauza maharage mapya mazuri ya njano kwa bei ya jumla. kilo moja nauza shilingi 2500. Mzigo upo tani 2 na nusu asante. Tuwasiliane kwa namba ya simu +255789740368
  11. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Picha/Video: Madhara ya mvua iliyonyesha Dar es Salaam leo Machi 19

    Kwa wakazi wa Dar, leo mvua imetandika kweli kweli na baadhi ya maeneo kupata athari kubwa na ndogo. Mada hii tutupie picha au video ili mamlaka waweze kuona sehemu zilizoathirika waweze kuchukua hadhari mara moja. Kumbukeni Rais Samia ashasema huwa anapita pita JF kusoma maoni ya mwananchi...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Mvua Kubwa ya Dar es Salaam leo nikiambiwa hakuna Madhara Makubwa nitakataa

    Tayari kuna Mto Mmoja mkubwa na maarufu uko eneo fulani unaanza Kufurika na najua hadi Saa 10 Alasiri nitaitwa kwenda kusaidia Uokozi. Na kuna Demu Mmoja ameninyima Nyama Tamu yake Chumba chake kipo Jirani na Kingo za huo Mto na kuna Uwezekano Chumba kikaondoka hivyo ngoja nijisogeze karibu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali mkoa wa Kilimanjaro, Dar es salaam, Mwanza na Arusha

    Natafuta kazi za viwandani, madukani na kwenye makampuni. Elimu yangu Kidato cha nne.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ninasaidia wafanyabiashara waliopo mbali na Dar es salaam

    Habari za leo wakuu Mimi ni kijana mkazi wa Dar es salaam. Nimekuwa nikiwasaidia wafanyabiashara waliopo mbali na Dar es salaam katika kuwanunulia bidhaa kwenye maduka ya jumla yaliopo hapa Dar. Hivyo haimlazimu mtu kusafiri kutoka mikoa ya mbali kuja Dar kufunga mzigo, ambapo utakuta faida...
  15. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maeneo ya Dar es Salaam ambayo ni tambarare na hayana watu wengi, nataka kununua eneo na kujenga apartments

    Habari ya wakati huu wananchi wa JamiiForums, mimi ni mtanzania ninayeishi Canada naomba kufahamu kwasasa ni maeneo gani kwa mkoa wa Dar es salaam geografia yake ni tambarare na hayana watu wengi nataka kununua sqm 4000 - sqm 8000 nije kujenga apartments. Nitashukuru kwa michango yenu. Note...
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa ndege Dar es Salaam - Mwanza kwa Tsh 120,000, unaanza Machi 13, 2023

    Hii ni endelevu au mnawaonjesha wasukuma uhondo waliokuwa wameuzoea wakati wa fast jet?. ========= Kutoka kwa mdau humu jukwaani. Rodney01 "Kutoka kwa chanzo cha ndani..ni kwamba ilikuwa ni ofa ya siku moja..hiyo ndege ilikuwa imenunuliwa na shirika na ilikuwa inapelekwa Mwanza kufanyiwa...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Wafanyakazi Janejelly James Ntate azungumza na Watumishi Ofisi ya RAS Dar es Salaam

    MBUNGE WA WAFANYAKAZI MHE. JANEJELLY NTATE AZUNGUMZA NA WATUMISHI OFISI YA RAS (KATIBU TAWALA MKOA) DAR ES SALAAM Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Taifa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 08 Machi, 2023 amezungumza na watumishi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam kikao...
  18. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Aliyesema mashabiki wa Simba ni mbumbumbu naomba ajengewe sanamu kubwa sana katikati ya Dar es Salaam

    Hakika alichozungumza huyu mtu alikuwa yupo sahihi kabisa hata Mimi naunga mkono hoja kwa ushahidi wangu niliouona kwa mashabiki wa simba. Ndiyo, siwezi kutengua kauli yangu yakuunga mkono hoja ya huyo aliyewaita mashabiki wa simba mbumbumbu hata hata nikipewa mil 5 za mamamara nne Kama...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Dar es Salaam wanaishi maisha magumu mno

    Habari! Saa kumi usiku utashangaa kuona daladala ile kubwa Eacher imejaza watu na vifurushi vyao vya ujasiriamali. Mwingine kabeba utumbo wa ng'ombe, mwingine, kiroba cha ndizi, mwingine box la dagaa wabichi, mwingine ana kiroba cha embe, mwingine kiroba cha tembele, mwingine mchicha. Jamani...
  20. Programu za PC

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
Back
Top Bottom