dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wachimba Makaburi wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa hawanywi tena Gongo na wanakunywa sana Bia?

    Wengi wao japo siyo wote hunywa sana Gongo na Pombe za Kienyeji ila sasa ni Wiki ya Tatu hii baadhi yao ninaowajua na ninaokuwa nao Maskani mbalimbali hawanywi tena Gongo na Pombe Chafu bali sasa wanakunywa Bia na pia wana Hela mno kiasi kwamba wapo wanaoniambia hata nikitaka Wanikopeshe Milioni...
  2. covid 19

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu nzuri za mihogo kwa hapa Dar es Salaam zile aina ya Kiroba

    wakuu, salam kama heading inavyojieleza wapi nitapata mbegu nzuri za mihogo kwa hapa Dar es Salaam zile aina ya kiroba naziitaji na pia na gharama zake?
  3. jogi

    JamiiForums Tanzania Ving'ora vya ambulance vimeongezeka maradufu Dar es Salaam, kuna nini?

    Inaonekana huduma za afya kwenye Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili na hospitali za rufaa zimeboreshwa sana kiasi kwamba kila baada ya dakika kumi inapita ambulance, au kuna kingine?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Je, Dar es Salaam watu wamekubaliana kukaa nyumbani?

    Leo nimekaa kituo cha Makumbsho magari ya posta mda WA asubuhi huwa kuna kuwaga na abiria wengi sana saa 7:00 mpka saa 8:00 asubuhi sijaona watu wakiwa wengi kama kawaida, nimepita barabara ya new Bagamoyo road mpaka Morocco magari sio mengi na hamna foleni Ile ya asubuhi hata trafiki hakuwa...
  5. mike2k

    JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kuiweka Dar es Salaam kwenye “lockdown” ni sasa

    Tunaelewa umuhimu wa jiji la Dar es Salaam katika maisha ya Watanzania na nchi jirani. lakini kwenye hili suala la corona hakuna kuzubaa tena. Mamlaka husika iweke utaratibu mzuri wa kulibana hili jiji ili kuzuia na kupunguza kabisa kasi ya usambaaji wa covid19. KWANINI NIMEWAZA HIVYO...
  6. jogi

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri jijini Dar es salaam Pasaka na mvua

    Kama kawaida jangwani maji yanapita juu ya daraja na barabara imejifunga. Bonde la Kinondoni mkwajuni napo maji yanapita juu ya daraja, barabara imejifunga. Bado sina picha kwa sasa. Tuambie kinachoendelea kwenye upeo wa macho yako.
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Taharuki ya CORONA + Mvua ya AJABU Dar es Salaam + Uchumi mbaya MIFUKONI = Sadaka Kiduchu Makanisani na Wachungaji wengi Kununa

    Sijawahi kuona Pasaka ambayo Wachungaji na Makasisi wengi ' Wamenuna ' na wana ' Hasira ' hata Nyusoni mwao kama hii ya leo. Kuna Kanisa Moja Wilayani Kinondoni Siku zote Saa 2 Asubuhi huwa ' limeshafurika ' Waumini na Sadaka yake kwa Siku hufikia Shilingi Milioni hata Tatu hadi Nne ila cha...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Jeshi la polisi lamshikilia mkazi mmoja baada ya kumkuta anamiliki silaha kinyume cha sheria

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Mohamed s/o Kassim miaka 47, mkazi wa Mbagala kwa tuhuma za kumiliki silaha aina fatih 13turukye Pisto yenye No, TZ C.A.R 1053515 ikiwa na magazine yake isiyokua na risasi kinyume cha sheria. Mnamo tarehe 07/04/2020 saa 12:30 jioni...
  9. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Imethibitika sasa Corona iko mitaani Dar. Napata shaka kwanini Serikali sasa wako Dodoma ghafla hivi

    Makonda kasema mtoto wa Mbowe anaumwa Corona. Katika hili katoa siri ya Serikali ambao wahusika wa kutangaza ni Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya. Mbowe kakiri na kusema mwanaye kaipata Dar na sio nje ya nchi. Wakati huo huo serikali na Rais wamehama Dar na wako Dodoma. Mara namsikia...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka sana RC John Mhaville wa Dar es Salaam wakati tukiwa vijana, alikuwa hana mizaha awapo kazini au nyumbani

    Nadhani wakati wa RC Mhaville jijini Dsm mwanajf Pascal Mayalla ulikuwa tayari umeajiriwa RTD na kamanda Mrangi mzee wa Ova ulikuwa unauza Raba za mitumba tukiziita Raba mtoni enzi zile. Kwa kweli sipati picha kama mzee Mhaville angekuwa ndiye RC wa Dsm nyakati hizi za Corona. Mzee Mhaville...
  11. C

    JamiiForums Tanzania UN Happiness Report 2020: Dar es Salaam yashika mkia kwenye orodha ya majiji yenye watu wenye furaha duniani

    Jiji la Dar es salaam limeshika nafasi ya 181 katika majiji 186 duniani kwenye rank za majiji yenye watu wenye furaha. Dar es Salaam imepita majiji ya Juba (Sudan Kusini), Port -au Prince (Haiti),Gaza (Palestine) Sanaa (Yemen) na Kabul (Afghanistan). Furaha ni kitu kikubwa sana kwenye maisha...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Vikawe ni sehemu gani ya Dar es Salaam

    Ninaomba msaada katika hili
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hotel aliyofikia Lema jijini Dar es Salaam yazingirwa na Polisi, alikuwa aongee na Wanahabari

    Askari wa Polisi wamezingira Hotel aliyofikia Mikocheni, Dar es Salaam, wakimtafuta Waziri Kivuli wa Wizara ya mambo ya ndani na Mbunge wa Arusha mjini kwa sababu ambazo hazijajulikana. Mhe. Lema alikuwa azungumze na vyombo vya habari leo jijini D'Salaam kumjibu DPP Polisi hao wenye silaha...
  14. Bonde la Baraka

    JamiiForums Tanzania Tuache masihara, daladala ni usafiri wa watu duni hapa Dar es salaam

    Daladala hupandwa na watu wenye kipato cha chini, hupandwa na watu waliokosa ajira/ kazi nzuri. Daladala hupandwa na watu wenye background ya chini. Daladala imejaa watu ambao ustaarabu wameusahau nyumbani. Natamani August 2020 nikome kupanda daladala. Hayo niliyoyaandika sija generalize kuwa...
  15. Rockefeller

    JamiiForums Tanzania House4Sale Numba inauzwa Buguruni

    Habari za mida, Nyumba kubwa inauzwa ipo Buguruni - Rozana, Ni nyumba ya vyumba vitano ndani na nje kuna vyumba vinne ambavyo vitatu ni single na kimoja ni double room na kwa nje nyuma ya nyumba pia kuna eneo la kuweza kutoa vyumba vitatu single. Nyumba ipo Buguruni mtaa wa Azimio karibu...
  16. Omerta

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa agoma kupanda gari za CCM, alakiwa na wana-CHADEMA

    .............
  17. RAJABU MBELWA

    JamiiForums Tanzania Nahitaji manukato kutoka Zanzibar na maduka wanayouza

    Habari wana JF Naomba kupata maelekezo jinsi ya kuanza kufanya biashara ya kununua perfume na manukato kutoka Zanzibar na kuuza Dar. mwenye kujua au uzoefu anielekeze maduka ya manukato na perfume yanapatikana wapi hapo Zanzibar na wanauza kwa kiasi gani, nauli ya Zanzibar mpaka Dar ni sh...
  18. Masinki

    JamiiForums Tanzania Je, Alichofanyiwa mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani na BAWACHA ni sahihi?

    Jana tarehe 08/03/2020 wanawake wote duniani waliadhimisha kumbukizi kwa ajili Yao ikiwa na lengo la kupaza sauti kupatiwa USAWA na kupinga ukandamizaji wa kijinsia!! Katika maadhimisho hayo wanawake kwa vikundi ama kwa jumuiya zao walijumuika pamoja kujiwekea mikakati mbalimbali kijamii na...
  19. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania Mafunzo SIDO Dar es salaam tarehe 16-27 March 2020

  20. B

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Dar es Salaam na tatizo sugu la kupasuka kwa mabomba ya maji

    Ni miaka sita sasa tangu nianze kuishi Dar es Salaam, wilaya na kata ya Ubungo mtaa wa msewe. Tangu nianze kuishi mtaa huu kila siku mabomba ya maji yanaharibiwa na kusababisha upotevu mkubwa wa maji. Na ha DAWASA wanapokuja kurekebisha kasoro hizo, mabomba hupasuka tena kabla hawajafika makwao...
Back
Top Bottom