Bei ya mchele kwa kilo kwa sasa ikoje Dar es Salaam

Kaka Ibrah

Member
Sep 6, 2022
83
63
Habarini wanajukwaa?

Nilikuwa naomba kufahamu bei ya mchele kwa kilo kwa sasa ikoje Dar es Salaam na ikoje pia Nairobi Kenya?

Shukrani.
 
Haka kamtaa nilipo kg 3000/3200.. na ni mbayaaa, sio grade kabisa.

Sokoni sijui.. sijafikapo
 
Back
Top Bottom