Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Mwenye kufahamu ratiba ya midana mkoa Dar es Salaam naomba anisaidie.
Si lazima ujue ratiba ya minada yote ndio ushare, hata huo mmoja unaoufahamu ukichangia itasaidia sana.
Asante
Jengo hili ambalo miaka ya 80/90 ndio lilikuwa refu kuliko yote Dar es Salaam; lilijengwa miaka ya 60 na Dr Krizant Mzindakaya.
Ndiye aliyesimamia ujenzi wake kwa gharama ya 40000/=tsh, ndio elfu arobaini tu!
Nimeshtushwa sana baada ya kuona wakuu wote wa wilaya za Dar wakihamiswa kwa mpigo sijajua nini maana yake.
Yaweza kuwa ni taa ya kijani kwa mkuu wa mkoa pia?
Wakuu,
Kama kichwa cha thread kinavyosema. Siku ya tarehe 18/02/2022 Saa saba Kamili ulifanyika mtihani wa INFORMATION MANAGEMENT SYSTEMS (IM 305). Baada ya kutoka kwenye mtihani huo, wanafunzi baadhi walionekana kuwa na huo mtihani kwenye simu zao, ukionekana kupigwa picha mapema kabla ya...
Anonymous
Thread
business
dardaressalaam
information
kuvuja
management
mtihani
school
tarehe
test
Kwanza kwanini mkate Maji eneo la Kawe? Hivi hamjui kabisa kuwa Kawe wanakaa akina nani? Mnataka Kazi au hamtaki?
Watendaji wa DAWASA kwa sasa naumalizia Usingizi wangu ila nikiamka Saa 2 Kamili naomba nikute Mabomba yote ya Kawe yanatiririsha Maji vinginevyo nitakuja hapo Ofisini Kwenu na...
Na Mwandishi Wetu, MoHA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wa nchi za Uingereza, India, Palestina pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kwa nyakati tofauti kuhusu ushirikiano...
Licha ya jitihada zinazofanywa na wanawake waishio mjini ikiwamo jijini Dar es Salaam, ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha idadi ya wanaoelemewa na uzito inaongezeka.
Ripoti hiyo ya utafiti wa Ufuatiliaji wa Kaya (NPS) ya mwaka 2020/21 inaonyesha asilimia 47 ya wanawake wenye...
Kampuni ya huduma za usafiri kwa njia ya mtandao ya Uber Limited, imetangaza kuresha huduma zake rasmi baada ya kuisimamisha huduma hiyo tangu Aprili 2021.
Kampuni hiyo hiyo iliyositisha huduma zake Aprili 2022, ikipinga kanuni mpya za usafiri wa teksi mtandaoni zilizotangazwa na Mamlaka ya...
Tuliozaliwa Dar ndio tunajua eneo fulani ukipenda huko kubari matokeo yake au majibu yake.
Watu wengi wanakuja dar na kujikuta wameingia kwenye mahusiano na wenyeji au wakuja waliozoea.
leo tunabaki kusema mikoa na makabila ila tuje Dar na wananchi wake:
Kinondoni
Hapa mapenzi kila mtu mjuaji...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe 14, Januari , 2023 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.
Ndg Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa ni mwenye bashasha...
Kwa hali ilivo Dar es Salaam wakati huu sio ya kawaida. Joto lililopo wakati huu linatukumbusha kufanya vitu vingi sana kwanzia kwenye miili yetu mpaka maeneo tunayoishi au kushinda.
Unapaswa kunjwa maji mengi ya kutosha, kama hauendi haja ndogo mara kwa mara na ukienda mkojo unakua na rangi ya...
Nauza iphone 13 plain
Used 2 months
UK
GB 128
Bh 100
Inakuja na boksi yake na original usb charge wire haijawhi tumika.
1,800,000ml Tsh
Dsm location
0783985530
Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imeanzisha Kongamano la Kodi Kitaifa litakalowashirikisha wadau mbalimbali ikiwemo Sekta Binafsi ili kajadili namna ya kuboresha Sera za Kodi, kuchochea ukuaji wa uchumi, biashara na uwekezaji nchini.
Hayo yameelezwa na Kamishna wa Sera kutoka wizara...
Nimepita maeneo ya feri Dar es Salaam kwa ajili ya kuvuka kwenda upande wa Kigamboni. Nilichokiona pale kwa kweli kimenifikirisha na kunitafakarisha sana na kunifanya niwaze sana juu ya mustakbali wa nchi hii.
1. Kuna dalili kampuni ya Azam imepewa dili kinyemela kufanya kazi ya kuvusha watu...
Direct kwenye mada,
Dar es salaam hasa Uswahilini kunanuka kinyesi.
Ila cha ajabu wananchi wa maeneo husika wako comfortable wanakula na kufanya shughuli zao maeneo yanayonuka kinyesi.
Tanzania haiishi vituko.
Soko la Hisa la Dar es Salaam wanafuatilia kampuni ambayo imesajiliwa kwenye soko hilo inayoitwa JATU PLC.
Hii ni kutokana na hisa za kampuni hiyo kushuka kutoka TZS 2,900 hadi TZS 290 sawa na angulo la asilimia 90.
Angalia hapa.
Swali la kujiuliza, kabla ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Abdulrahman Kinana mara baada ya kupokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa...
MWANZIVA AFANYA KIKAO KAZI NA MAKATIBU HAMASA MKOA WA DAR ES SALAAM
Picha za Matukio mbalimbali wakati Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Cde. Victoria Charles Mwanziva, akiongoza Kikao Kazi na Makatibu Hamasa wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Katibu wa Uhamasishaji na...
Tar 7-8/01/2023 saa 3-9 jion Arusha, Maji ya chai, mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa kuandika mchanganuo wa mkopo. Mahali:
Arusha Maji ya chai. Mafunzo ni bure. 0788811136
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.