corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    Rwanda: Shule, ofisi zafungwa kwa siku 14 kutokana na maambukizi ya Corona

    Serikali ya Rwanda kupitia Wizara ya Afya imetangaza kuchukua tahadhari mbalimbali baada ya kutangaza mgonjwa wa Corona nchini humo. Shule na taasisi za elimu ya juu zitafungwa kwa siku 14 kuanzia kesho. Kuanzia leo ibada zote zitafanyika nyumbani. Wafanyakazi pia wametakiwa kubaki nyumbani...
  2. OLS

    Tuziangalie faida za Corona kiuchumi kwa nchi zinazoendelea

    Yes! Hili ni janga kwa kuwa watu wanakufa, production zimepungua kwa nchi zilizoendelea kwa baadhi ya vitu. Kama wanavyosema development is freedom then uhuru umepungua kwa watu kufungiwa Lakini bado ziko fursa kwa nchi zinazoendelea kuweza kukuza uchumi wa nchii zao ka kipindi hiki kifupi...
  3. B

    Corona virus: Tunajifunza nini toka kwa wengine?

    Moja kwa moja kwenye mada: Majirani zetu Kenya, Rwanda na DRC tayari wamesha ripoti kuwapo kwa wagonjwa wa corona katika nchi zao.Kwa hali hii ni wazi kuwa hapa kwetu ni suala la muda tu sasa. Wenzetu, katika nchi nyingi kutegemeana na ukubwa wa tatizo wame kuwa wakichukua hatua kadhaa katika...
  4. M

    Wizara ya Afya, mnawaachiaje watu wenye dalili ya Corona waendelee na shughuli zao?

    Leo hii hata ukienda Uchina nchi ambayo mlipuko ulianzia, lazima wakuweke karantini siku kumi na nne haijalishi umepimwa umekutwa na virusi vya corona au hukukutwa navyo. Kitu kingine wataalamu wanasema Mtu mwenye Corona anaweza kuonyesha dalili za Corona Corona lakini ukampima mara kadhaa...
  5. Pdidy

    Korona yatua nchini Rwanda

    MUNGU ATUNUSURUU NAONA USAFIRI .... LIGI NAYO.. MMH
  6. Miss Zomboko

    Corona Virus: Marekani yatangaza hali ya dharura. Hali yatabiriwa kuwa mbaya zaidi wiki 8 zijazo

    Rais Donald Trump ametangaza hali ya dharura kutokana na kuenea kwa virusi vya corona, pamoja na upatikanaji wa karibu dola bilioni 50 kama msaada zaidi wa serikali ya shirikisho kupambana na ugonjwa huo. Trump ametoa tangazo hilo katika mkutano na waandishi wa habari na kusema kwamba hali...
  7. Aaron Arsenal

    China yasema Corona ilianzia Marekani na wanajeshi wa Marekani ndio walioileta China na imeua zaidi ya watu 20,000 nchini Marekani

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Kigeni wa China Zhao Lijian amesema kuna wasiwasi kwa asilimia kubwa kuwa Marekani kupitia Jeshi lake ndio wahusika wakuu waliopandikiza corona China na kwamba ugonjwa huo haukuanzia eneo la Wuhan,China bali ulianzia Marekani. Source: Chinese News
  8. D

    Tujifunze: Rwanda wanajizatiti na Corona

    Rwanda inajilinda dhidi ya Corona kwa kujaza jiji la Kigali na masinki yanayohamishika ya kuoshea mikono katika vituo vya mabasi, migahawa, mabenki na maduka. Mpaka sasa Rwanda haina tukio la Corona, isipokuwa nchi ya jirani ya DRC Katika kituo kikuu cha mabasi jijini Kigali, wasafiri lazima...
  9. LIKUD

    Haji Manara na Corona Virus

    Haji Manara yupo Ulaya now. Anatembelea nchi tofauti tofauti zilizo barani Ulaya. Nchi za Ulaya zinaripotiwa kuwa na idadi kubwa ya maambukizi ya Corona. Na ugonjwa wa Corona unaripotiwa kuwathiri zaidi wazungu kuliko watu weusi. Honestly: Haji Manara ni kama.mzungu Tu so na yeye anaweza kuwa...
  10. M

    Corona Virus, see what Chinese are eating that would probably cause The outbreak .

    Coronavirus is a deadly virus that came into existence from Wuhan in China. Why this virus came to an existence still gives people around the world serious confusion and nobody can tell the causes of the virus. Coronavirus was said to have killed many people around the world since the spread...
  11. Trubarg

    Jinsi ya kujilinda na Corona virus kwenye mwendokasi

    Kutokana na Hali ilivyokuwa tete. Ni vyema tukapeana tips jinsi ya kujilinda na hili janga hasa kwenye mwendokasi na public transport zingine ambazo Zina msongamano mkubwa wa watu ikiwemo vivuko.
  12. Author

    Fahamu Machache kuhusu Corona Virus

    Habari, Nimesoma Andiko la Dr.Mikongoti kuhusu Corona Virus na nikajifunza mambo kadhaa ambayo nimedhani ni vyema wote tukajifunza kuhusu Corona Virus; Kirusi cha korona (corona virus) kimechukua jina lake ‘corona’ kutoka lugha ya kilatini kikimaanisha taji (crown) hii ni kutokana na muonekano...
  13. 2019

    Tetesi: Virusi vya corona silaha mpya ya kibaiolojia toka Marekani

    Ukiwa unakimbizwa na mbwa wewe rusha mifupa nyuma tu,wakiwa bize kugombea ww tayari unachanja mbuga. Hii ni moja ya mbinu mpya kabisa ambazo ni ngumu kujulikana na kila mtu. Lengo la US ni kumdhoofisha Mchina kiuchumi baada ya kuona anakuja juu kama moto wa kifuu. Kirusi icho inasemekana...
  14. J

    Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

    Rais Magufuli ameishukuru serikali ya Germany kwa msaada walioutoa kujenga karakana hiyo ya kisasa. Pia Rais Magufuli amempa balozi barua maalumu ya shukrani kwa counvillor Mikael wa Germany. Kadharika Rais Magufuli ametumia fursa hiyo kuwataka watanzania wajihadhari na ugonjwa huo hatari. Rais...
  15. MakinikiA

    Trump aogopa kupimwa Corona

    Coronavirus: Sophie Gregoire Trudeau - mkewe waziri mkuu wa Canada akutwa na virusi Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau na mke wake watabaki kwenye karantini kwa siku 14 , baada ya mkewe Sophie Gregoire Trudeau kukutwa na virusi vya corona. Sophie Gregoire Trudeau ''anaendelea vizuri na...
  16. S

    Corona itafanya watu wakimbie miji mikubwa na wengi watakimbilia vijijini

    Kwasababu hatufanyi maamuzi magumu ya kuzuia watu kwenda katika nchi ziliozoathiriwa na ugonjwa wa Corona na pia kwasababu hatudhibiti wageni kuingia nchini hasa kutoka katika nchi zilizoathiriwa na ugonjwa huu,ni suala la muda tu kabla ugonjwa huu haujaingia rasmi hapa nchini. Dunia,kama...
  17. J

    Kenya confirms first case of Corona Virus

    Hii ni habari mpasuko inayotangazwa muda huu na Waziri wa afya wa Kenya. Kwa kuanzia anapiga marufuku mikusanyiko yote. Shule hazitafungwa kwa sasa Mipaka yote kudhibitiwa. ------ The Kenyan Government has confirmed the first case of coronavirus in the country. Health CS Mutahi Kagwe...
  18. Da'Vinci

    Updates: Madhara ya Corona Viruses kwa mnaopenda muvi

    Mwaka huu kulikuua na muvi nyingi nzuri zinatarajiwa kutoka hasa miezi ya mwanzoni then shit happened..Corona. Kwa wapenzi wa filamu tatakutana hapa kujuzana athari za Corona Viruses kwenye Movies Industry na MaCelebrites. ... -UPDATES- #1 Mwigizaji Tom Hanks aliyecheza muvi ya Captain Philips...
  19. T

    CORONA

    Nchi zilizoendelea zinafunga mipaka yake eg USA ili kupunguza ama kuzuia maambukizi ya virusi vya korona but Nchi za Kiafrika ambazo ni masikini zinasema zime jipanga kupambana na Corona. Aliyetuloga waafrika Mungu ana muona
  20. N

    Kocha wa Arsenal FC, Mikel Arteta akutwa na Ccorona (covd 19)

    Ni balaa kubwa jaamani nahisi wachezaji wa arsenal kibao watakuwa nao maana walisalimiana hata na yule owner wa olympiacos,duh balaa gani hili huku africa si waahirishe tu hayo mashindano ya CHAn huko cameroon na taifa stars inatakiwa kwenda Tunisia wizara ya afya inakenua meno tu wakati Tunisia...
Back
Top Bottom