Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,438
- 100,717
Mwezi uliopita wakiwa Bungeni, Mchungaji Msigwa wa CHADEMA alilitaka Bunge lijadili kama dharura issue ya Corona ambapo wangetoka na azimio kama wawakilishi wetu.
Hoja hio ikapingwa kwakua tu ilitolewa na MTU ambaye "sio wa kwetu" na kupitisha hoja ya "kipuuzi" ya kumjadili @Zito na World Bank.
Leo hii Corona imefika na ghafla pesa za Mwenge zimeelekezwa huko! Bunge letu ni sehemu ya tatizo kwenye nchi yetu, specifically wabunge wa CCM.