Hapa kwenye hili suala la Corona sijui zitafanyika siasa za kishamba kama za chakubanga au wataamua kuwa wakweli? ama kwa hakika awamu ya tano tumepatikana ila laana hii yote itabewa na wewe Jk ulitufanya vibaya sana 2015.
kama kweli umeingia DSM tujitayarishe kuputika labda kuna watu...
Coronavirus Live Updates: Trump’s Travel Restrictions, Italy in Lockdown and N.B.A. Suspension
Italy biashara zote zimefungwa isipokua famasi na maduka ya vyakula.
NBA imesitishwa.
Nimejaribu kufikiria sana juu ya huu ugonjwa corona ukiingia hapa Tanzania matokeoyake yatakuwaje:
1: Ni kama serikali haijalichukulia uzito wa kutosha hili tatizo, kwani njia za kujikinga bado zina utata mkubwa, hasa sehemu za mipakani (Njia zitumikazo kuingia nchini) ulinzi na upimaji...
NBA suspends season due to coronavirus
Rudy Gobert, mchezaji wa timu ya Utah Jazz amepimwa na kukutwa na coronavirus. Hii imesababisha ligi iahirishwe mpaka wakati utakaoamuliwa (until further notice).
Game ya jana kati ya Oklahoma City Thunder (OKC) na Utah Jazz iliyokuwa ichezewe Chesapeake...
Wakuu,
Ule ugonjwa wa Covid-19 maarufu kama Corona umeshawasili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Ikiwa ni Siku chache tu tangu mgonjwa wa mwisho wa Ebola atoke hospitali nchini DRC sasa imeripotiwa mgonjwa wa kwanza wa Corona nchini humo ameripotiwa na kuthibitishwa.
Inasemakana...
Habari wana Jamvi,
Wakati dunia inahangaika kutafuta dawa(tiba) ya kutibu ugonjwa wa Corona Virus Covd19.
Ikumbukwe hadi sasa watu wapatao 111,000 tayari wameambukizwa katika mabara 3 na zaidi ya watu 3,890 tayari wamepoteza maisha .
Hivyo hili ni Janga kwa Dunia nzima.
Lakini kwa wenzetu...
Wajuzi nisiwachoshe nina tatizo limejitokeza toka mwezi wa 12 kwa siku naweza kula chakula ata mara 5-6 na bado ndani ya muda mfupi njaa inarudia! hili tatizo nahisi linataka kuniyumbisha kiuchumi maana maisha yenyewe ya kubaingaza sasa pesa inakatikia katika milo isio na idadi.
Naomba ushauri...
NIkiangalia jenga la CORONA na uvaazi wa mitumba naona kabisa tunaenda kupata UGONJWA HUO kwa njia za mitumba. Ugonjwa huo unasemwa unaambikizwa kwa kugusa sehemu yenye virusi hivyo ndio maana tunashauri kunawa mikono mara kwa mara. njia za kupata zipo nyingi ila hiyo ya kugusa ni mojawapo...
Mojawapo ya dawa hizo ambayo tayari imejaribiwa katika binadamu ni dawa ya remdesivir - dawa ya virusi vya UKIMWI ambayo bado inafanyiwa utafiti ambayo imejaribiwa dhidi ya magonjwa kama vile Ebola na SARS/MERS.
Dawa nyingine ni ile aina ya Chloroquine, dawa ya kukabiliana na malaria ambayo pia...
Wakuu nawasalim,
Ni dhahiri kwa sasa kila pande ya dunia ugonjwa wa corona madhara yake yamekuwa makubwa zaidi na kila nchi inajaribu kupambana kwa uwezo wake wote ilimradi tu kuuondoa au kupunguza madhara ya huu ugonjwa.
Idadi ya vifo ni vingi zaidi, licha yakuwa taarifa zinazotolewa na...
Katika mwaka ambao sekta ya utalii itapata msukosuko ni huu hasa ukizingatia utalii si basic needs. Baada ya 9/11 Corona virus ni pigo la pili kubwa kuikumba sekta hii.
Kutokana na takwimu za tovuti maarufu ya safari barani Afrika Safaribooking, kumekua na anguko la karibia 6% kutoka kipindi...
1. Mbinu za kijeshi za wakati wa vita zinatumika, kama vile kufungia ndani kwa kufuli maalum wasthirika wa corona wasitoke
2. Kupeleka waathirika kwenye makambi maalum yaliyotengenezwa
3. kubadiri viwanja vya michezo na mabweni ya shule kuwa vituo maalum vya karantini
4. Kukamata wasiovaa...
Katika harakati zangu nimezunguka viwanja vya ndege vitatu vinavyopokea sana wageni toka nje, hali niliyoikuta Mungu atusaidie.
In short, kinachosemwa na viongozi na yanayotendeka huko ni mbingu na ardhi. Nimeshuhudia raia zaidi ya 200 kutoka Uchina wakipita airport bila kupimwa wala kukaguliwa...
Chukuwa hatua mwenyewe, shona masks 😷 zako na familia yako.
Fanya malipo kwa mobile money.
Tembea na hand sanitiser.
Mtu atakayeshona masks za biashara anaweza kupata faida sana kipindi hiki.
Coronavirus ni airborne disease, njia ya kuenea kwa haraka na kuingiza wadudu kwa njia ya hewa...
Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesitisha safari zote za ndege kutoka Zanzibar na sherehe zote zinazohusisha wageni kutoka nje.
Waziri wa Afya Zanzibar Mh. Hamad Rashid amesema wamechukua hatua hizo ili kukabiliana na hatari ya Corona iliyoko huko duniani.
Source Star tv!
Author Dean Koontz eerily predicted the coronavirus outbreak in his 1981 thriller "The Eyes of Darkness."
The fictional novel tells the story of a Chinese military lab that creates a new virus to potentially use as a biological weapon during wartime. The lab is ironically located in Wuhan...
Rafiki wa kweli ni wakati wa shida .
=====
SERIKALI ya China imeshukuru utayari wa Serikali ya Tanzania wa kutaka kuwapeleka madaktari nchini humo, kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu, inayosababishwa na virusi vya Corona (Covid -19).
Aidha, imewatoa hofu Watanzania kuhusu changamoto za...
Kuna kila dalili kuwa kiwango cha maambukizi ya virusi vya corona duniani ni kikubwa kuliko hiki tunachokisia.
Kwa sababu ama za kiuchumi ama za kisiasa ama za kijamii mataifa ama yanaficha taarifa za maambukizi au yanaripoti takwimu ndogo sana za maambukizi kwenye nchi zao. Hii inasababisha...
Waondoe hofu
Dkt Punam Krishan, ambaye ni daktari wa familia nchini Uingereza mwenye mtoto wa miaka sita, anasema ni muhimu kumuondoa hofu na kumuelea kuwa hali hiyo ni sawa na mtu anapopata mafua au kipindupindu na kutapika.
Anaamini kuwa wazazi wanapaswa kuwa wawazi, kuwaeleza ukweli kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.