corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Mongolian Savage

    Ayatollah ashauriwa kuwazuia maujaji kulambalamba madhabahu kuzuia kuenea kwa Corona

    Mzuqa, Wataalamu Irani na nje wamemshauri kiongozi mkuu wa dini na siasa Iran Ayatollah kudimamisha na kuzuia maelfu ya waumini kulambalamba madhabahu na milango mitakatifu katika hijja ya mashia katika mji mtakatifu wa Qom Kaskazini mwa Iran. Ibada hii ya hijja huko Qom ya kulambalamba...
  2. Sky Eclat

    Israel announces Corona Virus Break through

    Israel announces Coronavirus breakthrough. Doctors in Israel home of medical research just announced to the authority 3 hrs ago that they have come to a breakthrough solution with vaccine for corona virus. They did it in the laboratory Via the wisdom of God. not just with prayers alone. Shalom...
  3. M

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  4. M

    Aljazeera release the full list of countriestries with corona virus and the numbers of people affected

    Cases of the virus, which originated in the Chinese city of Wuhan, have been reported around the world. New cases of infection from a new coronavirus that emerged in the central Chinese city of Wuhan late last year are being reported daily around the world. More than 2,800 people have...
  5. FRANCIS DA DON

    Waafrika weusi wana vinasaba maalum vya usugu dhidi ya Corona?

    Nimejaribu kufuatilia pattern ya kusambaa kwa huu ugonjwa wa Corona, nimebaini japo huwa unapenda sehemu za baridi, lakini pia umekuwa ukiwapitia mbali watu weusi wenye asili ya Afrika Hata huko China Waafrika weusi wapo, lakini naona kama wanaogelea bwawani bila kulowa, ugonjwa unawakwepa...
  6. Jeceel

    Wanne walioambukizwa corona huko Gothenburg Sweden

    Mtu wa kwanza aliyeambukizwa huko Gothenburg ilibidi afanye kazi kwa siku tatu kabla ya kuugua virusi vya corona. Sasa sehemu ya kazi ya mtu huyo huko Mölndal imefungwa, inasema SVT News West. Wakati huo huo, ufuatiliaji wa mwathirika mwingine ambaye alisafiri kutoka Milan kwenda Stockholm na...
  7. S

    Tanzania tuchukue tahadhari kubwa, Wakenya mbioni kutuletea Coronavirus Tanzania!

    Serikali ya Kenya, japo imesimamisha ndege zake za KQ kwenda China, imekuwa ikiruhusu abiria kutoka China kungia nchini humo bila kuwa na tahadhari zozote zaidi ya kuwapima joto wanapowasili uwanja wa Jomo Kenyatta au kuwadhibiti katika kile kipindi cha siku 14. Hii imezua taharuki kwa...
  8. Ndengaso

    Nigeria: Mgonjwa wa kwanza wa Virusi Vya Corona (COVID-19) agundulika

    Mamlaka ya Afya ya Nigeria (Federal Ministry of health) imetangaza kugundulika kwa mgonjwa wa kwanza wa COVID-19, waziri wa afya amesema mgonjwa huyo ni raia wa Italia anayefanya kazi Lagos na siku za karibuni alirejea kutoka Milan (Italy), kwasasa mgonjwa huyo yupo katika uangalizi wa...
  9. imhotep

    Hivi ni kweli Papa Francis anaumwa na kuna wasiwasi kuwa ni Corona

    Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na taarifa zinazosema Baba mtakatifu anaumwa na tumuombee Na ukweli ni kwamba Nchi ya Italia ndio yenye wagonjwa wengi wa Corona katika bara la Ulaya Habari nyingine zinasema Saudi Arabia imepiga marufuku Mahujaji kwenda kwenye Hijja mwaka huu...
  10. Miss Zomboko

    Rwanda: Waziri wa Afya atimuliwa kazi kwasababu ya Corona

    Rais Paul Kagame wa Rwanda amfuta kazi Waziri wa Afya wa nchi hiyo Dkt Gashumba kwa madai kwamba Waziri huyo alimdanganya juu ya uwepo wa vifaa tiba kwa ajili ya kupima virusi vya Corona, Covid-19. Akizungumza katika mkutano wa kitaifa wa viongozi kujitathimini, Rais Paul Kagame alisema...
  11. Influenza

    Iran: Naibu Waziri wa Wizara ya Afya agundulika kuambukizwa Virusi vya Corona

    Naibu Waziri Iraj Harirchi ambaye amekuwa mstari wa mbele nchini humo katika kupambana na #coronavirus amegundulika kuambukizwa virusi hiyo Msemaji wa Wizara hiyo amethibitisha hayo alipokuwa anafanya mahojiano na chaneli ya runinga ya Taifa na kusema Naibu Waziri huyo amewekwa sehemu maalumu...
  12. YEHODAYA

    Ugonjwa wa corona waanza kuzalisha wakimbizi wa kichina, UNHCR wajiandae

    Dunia imezoea kuona wakimbizi wa kivita. Sasa hivi wachina wengi wenye pesa kutoka miji ambayo haijaathirika na huo ugonjwa wameanza kukimbia china kukimbilia nchi zingine duniani kuukimbia huo ugonjwa Shirika la wakimbizi la umoja wa mataifa lianze kujiandaa kukabiliana na hili wimbi jipya la...
  13. Nigrastratatract nerve

    CORONA VIRUS(COVID_19) Ni mbinu ya CHINA kuzima maandamano ya Hongkong na Alarm kwa Mabeberu juu ya biological warfare ya CHINA.

    Ni wazi kwamba China isingeliweza kutumia mbinu ya kuzima maandamano ya Hongkong kwa nguvu kama ilipotumia nguvu kubwa kuzima maandamano ya Tianamen kati ya juni 3 na juni 4 mwaka 1989 iliyopelekea kuuawa kwa watu zaidi ya 1000 China imeona hatari kubwa ya kugawanywa kulingana na vugu vugu...
  14. Chipukizi

    The Chinese authorities announced the production of the first drug that may be effective in combating the new “Corona” virus

    At Last Dawa ya kwanza kutibu Corona virus imegundulika na inaingia sokoni The Chinese authorities announced on Sunday the production of the first drug that may be effective in combating the new “Corona” virus. “The medicine is known as” Favipiravir or Avigan, “said Taizhou City...
  15. TODAYS

    Tusishangae Virusi vya Corona kuingia nchini

    Nchi zilizo karibu na china zingine zimefunga mipaka na hakuna raia yeyote kuingia hata awe raia wa nchi husika labda akae kambini kwa wiki nzima na vipimo juu. Nchini Nigeria upekuzi wa kiafya/kupima umekuwa mkubwa kutokana na nchi hiyo kuwa na wasafiri wengi kutoka china. Hapa Tanzania...
  16. M

    Black man survives Corona infection in China

    A Cameroonian student in China by name Senou who was recently diagnosed with the corona virus infection was discharged recently cured of the virus The doctors were amazed at how the man was still strong even after contracting the virus that has claimed the lives of 1112 lives since the recent...
  17. Jembe Jembe

    Serikali yamsaka Nabii Namba 7 anayejitangaza kuponya Corona

    Serikali ya Tanzania imemuonya vikali mtu anayejiita Nabii Namba saba ambaye jina lake halisi ni Mosses Mollel kuwa itamchukulia hatua kali iwapo atashindwa kuthibitisha madai kuwa na uwezo wa kutibu virusi Vya ugonjwa wa Corona. Nabii huyo ambaye taarifa zake zilianza kusambaa mwishoni mwa...
  18. Mkaruka

    Hali Tete: North Korea wavamiwa na Corona Virus

    The Wuhan coronavirus has reportedly spread to North Korea. Experts say the country isn't equipped to fight it By Business Insider, Though the country has further isolated itself from the rest of the world, its lack of medical supplies and "crumbling" healthcare system isn't equipped to handle...
  19. T

    Corona kusababisha kafara la nchi?

    Dunia kwa sasa imepigwa na bumbuazi kutokana na virus wanaoitwa Corona. Wapo wanaodai huenda vikawa ni mambo ya kuharibiana kibiashara kwa kuamini ya kwamba huenda ikawa Corona ilitengenezwa na Wamarekani ili kuchafua biashara ya China na wapo wanaoamini ya kwamba ni miongoni mwa mapigo ya Mungu...
  20. M

    Wafanyabiashara wa Uganda waivimbia Corona

    Wakati hatari ya kuzidi kusambaa kwa virusi vya Corona ikiongezeka nchini China, wafanyabiashara zaidi ya 200 wa Uganda wamefika katika ubalozi wa China jijini Kampala wakibembeleza kupewa VISA ili waende nchini humo kuendeleza biashara zao. Hayo yamebainishwa na Waziri anayeshughulikia masuala...
Back
Top Bottom