Mzuka mwanaJamvi,
Hii makitu inatisha. Yani hivi virusi vikiingia mwilini vinakimbilia kwenye mapafu na kusababisha total distrakshen with devastating impact inflicting severe and utmost pain ikimuacha muhanga akiwa na mateso makali sana.
Virusi hivi vina meno makali yaliyochongonga kama ncha...
Waziri wa afya Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa mtu yeyote kutangaza majina ya wagonjwa wa corona kwani hiyo ni siri kati ya Daktari na mgonjwa.
Waziri amesema kutaja taja majina kunaleta unyanyapaa kitu ambacho ni kibaya sana mbele ya jamii na mbele za Mungu. Na zaidi Ummy amesema ndio...
UKITAKA KUMFICHA MWAFRIKA MWEKEE UJUMBE KWENYE KITABU
Hii ni makala nimeiona kwenye status ya mtu whatsapp nikaamua kujioa uafrika na kuisoma.
Kama utaisoma njoo ulete mrejesho tu au uulize kitu ambacho hujaelewa
Ngoja nione ni wangapi wataisoma🤔
Sitaki kuongeza chochote isome mwenyewe...
======
SAMAKI SAMAKI, BUCKETS, KIDIMBWI NA SOUTHERN SUN JIJINI DAR ZAFUNGWA
Kutokana na mlipuko wa virusi vya #Covid_19 hoteli na sehemu mbalimbali zimefungwa kwa ajili ya kulinda afya za wafanyakazi, wateja pamoja na usalama wa biashara
Kidimbwi Beach imesitisha huduma kuanzia Machi 23, 2020...
Wanabodi,
Katika kusaidia kudhibiti Maambukizi ya virusi vya Corona, kukitokea any good practice, lets share ili na wengine waige.
Leo nimetembelea makao makuu ya kampuni ya mafuta ya Total, Total Tanzania, ukifika pale
Hatua ya kwanza ni lazima unawe na maji moto tiririka hapo nje na sabuni...
Kwanza nawapa pole nyingi waliougua, lakini pia na wenzetu nchi nyingine waliopoteza ndugu zao.
Natambua katika suala hili yamesemwa mengi, yakiwapo ya wataalam.
Hivyo basi kwa kuwa mimi sio mtaalamu wa afya, naomba nitoe maoni katika mtazamo wa kiafrika na hasa katika muktadha wa nchi yangu...
Ukiwa mfuatiliaji wa habari utagundua mara zote waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amekuwa akimtangulia Ummy Mwalimu kwenye kutoa taarifa za Corona.
Mfano kuwaweka abiria wanaoingia nchini katika karantini alianza Hamad then Ummy akafuatia.
Jana Hamad Rashid katangaza ongezeko la mgonjwa...
Tulimsikia wenyewe Rais wetu Magufuli wakati akilihutubia Taifa siku chache zilizopita, akituhimiza wananchi tukachape kazi na kuwa tusitishwe na vyombo vya habari vya kibeberu, kwa kuwa ugonjwa wa corona siyo tishio kiasi hicho wanachotuaminisha!
Kwa kweli nilishangazwa sana na maelekezo hayo...
DUNIA ina mambo! Wakati wananchi wakiwa wametaharuki kutokana na kuenea kwa Virusi vya Corona (COVID-19), video zilizosambaa mitandaoni zikiwaonesha wachungaji wawili; Daudi Mashimo na Moses Ibrahim, wakijinadi kupata dawa ya kutibu virusi hivyo, zimesababisha viongozi hao kutiwa mbaroni...
Mungu atuepushe na hili janga, maana ni hatari, kule Rwanda namba inapanda kwa kasi ya ajabu ndani ya wiki mbili 46, Uganda kama 15 hivi kama sikosei, na Kenya 25 ndo usiseme maambukizi yamepanda hatari.
Huku kwetu mara ya mwisho Rais Magufuli anahutubia Taifa alisema Tanzania ni 12 na mmoja...
Ni aibu kubwa eti nchi kubwa kama hii ambayo tumejitapa kujenga nchi kwa pesa zetu na kuwa hatuhitaji misaada, leo hii tumeshindwa kununua vifaa vya kupima na kujilinda na corona mpaka tumesubiri msaada wa Jack Ma.
Tatizo hapa sio kupokea msaada. Tatizo ni kubweteka na kusubir msaada.
Wiki...
Siku ya leo Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza hatua kuu muhimu za kijamii na kiuchumi za kuwanusuru raia wa Kenya kutokana na madhara yatakayotokana na hatua za kudhibiti athari za kuenea kwa maambukizi ya Corona nchini Kenya.
Pamoja na ukosoaji mwingi uliokuwepo na uliopo kutoka kwa...
Kenya imepiga marufuku uingizaji wa nguo za mitumba nchini humo ikiwa ni tahadhari ya kusambaa kwa virusi vya corona.
===
NAIROBI, Kenya Mar 18 – As the coronavirus pandemic continues ravaging major sectors of the economy, small and medium-sized enterprises have not been spared and...
1. Corona ya Rayvany
2. Corona ya beka flavour
3. Corona ya Lava Lava
4. Corona ya Dogo Silla
5. Corona ya Mzee wa Bwax
6...
7....
8....
Binafsi nimeilewa ya lava lava, ina melody kali mno sema ni vile dogo ana nyota ya kunguni kabisa no one who care about him.
Je, upande wako ipi umeilewa?
Licha ya safu kadhaa za hatua za karibu za kupungua au kusitisha kuenea kwa virusi vya Corona zikiwemo kufungwa kwa nchi nzima na kufunga kwa biashara zote ambazo sio muhimu, Italia haikuweza kuzuia kuenea kwa maambukizi
1. WINGI WA WAZEE
Ingawa virusi vya #corona vinaweza kuambukizwa kwa watu...
Tukianzia na mipaka ya nchi kavu upande wa kaskazini ilipo Kenya umejifunga
Upande wa kanda ya ziwa zilipo Uganda na Rwanda umejifunga
Upande wa magharibi zilipo DRC na Burundi umejifunga.
Na upande wa mashariki zilipo Zanzibar na Comoro umejifunga
Bado kusini ilipo Msumbiji na Nyanda za juu...
“We have received confirmation that an individual in our Deloitte Dar es Salaam office has tested positive for COVID-19.
We have taken precautionary measures based on our firm-wide guidelines and advice from the WHO guidelines in order to protect the health and safety of our people and...
Najaribu kuwaza kwa sauti kwamba; wakati mwingine unaweza kukubaliana na wanaosema kuwa Waafrika hatujielewi. Ukijitoa ufahamu unaweza kusema Waafrika hatuna woga,... labda. Lakini wakati mwingine unabaki mdomo wazi tu, hujui useme nini juu ya vituko vinavyofanywa na sisi... Waafrika, kama hiki:
Mtoto wa Mbowe anaeitwa James Mbowe amesema kuwa ugonjwa wa korona ni janga la kitaifa na halipaswi kufanyiwa mchezo wala mzaha.
Amesema kitendo cha Mh. Makonda ni kitendo cha kushangaza kwa kuwa amejivika usemaji wa familia ya Mbowe kuwa anamshukuru Mungu kwa kuwa ugonjwa wa korona umepiga...
Mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea sasa duniani (COVID - 19) una madhara kwenye kila eneo la maisha yetu.
Madhara makubwa kabisa yako kwenye upande wa afya, siyo tu kwa mtu mmoja mmoja, bali kwa mfumo mzima wa afya. Kwa sababu uwezo wa mfumo huu ni mdogo ukilinganisha na uhitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.