The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,259
- 20,518
Mzuka mwanaJamvi,
Hii makitu inatisha. Yani hivi virusi vikiingia mwilini vinakimbilia kwenye mapafu na kusababisha total distrakshen with devastating impact inflicting severe and utmost pain ikimuacha muhanga akiwa na mateso makali sana.
Virusi hivi vina meno makali yaliyochongonga kama ncha za nyembe ama vitu vyenye ncha kali razor sharp teeth. Vikiingia mwili target yao ni kwenye mapafu. Vina megamega mapafu kwa fujo aggressively and violently.
Yani utadhani vinaingia mwilini na tool box vikitumia drills, chisels na sledge hammer kuvuruga na kutoboa toboa toboa mapafu.
Tumrudie Mungu tu this shit is real.