Kuhusu suala la Corona, Rais yupo sahihi sana

bizplan

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
457
500
Kwanza nawapa pole nyingi waliougua, lakini pia na wenzetu nchi nyingine waliopoteza ndugu zao.

Natambua katika suala hili yamesemwa mengi, yakiwapo ya wataalam.

Hivyo basi kwa kuwa mimi sio mtaalamu wa afya, naomba nitoe maoni katika mtazamo wa kiafrika na hasa katika muktadha wa nchi yangu Tanzania.

Yawezekana wengi wasikubali hili ila pasipo kuweka siasa ndani naona Mh. Raisi yupo sahihi mno kuhusiana na janga hili la ugonjwa wa Corona katika mambo yafuatayo:

1. Kutishana: Wapo watu wengi wamekuwa wanabeza maneno hayo ya kutishana lakini kwa wataalam wa saikolojia na afya wanajua ni kwa kiwango gani vitisho vinaua. Ugonjwa huu umesababisha hofu kubwa sana sana miongoni mwa watu.

Ni kweli ugonjwa upo, na haujaanza leo humu duniani. Ukifuatilia magonjwa ya mlipuko ya virusi vya mafua yamekuwepo siku nyingi na watu wengi tu wamekuwa wanapoteza maisha. Kwa wastani ugonjwa wa mafua ya aina mbalimbali unapotokea ni wastani wa asilimia 60 hadi 70 wanapata ugonjwa huu. Kati yao wale wenye umri mkubwa wa miaka 70 na kuendelea huwa na changamoto kubwa sana ya kupoteza maisha. Jambo hili huwa linatokea sana sana huko Ulaya na katika nchi za wenzetu.

Lakini pia nilikuwa napitia taarifa ya wagonjwa wengi waliopoteza maisha Italy, taarifa zinasema wengi ni 70+ years, kumbuka Italy ni ya pili kwa kuwa na wazee wengi ikizidiwa na Japan tu. Pamoja na uzee huo, wengi wana complications zaidi ya mbili ambazo ni serious kiafya. Sasa wanapokutwa na hali hii kinachotokea kinajulika.

Hebu pata picha, changamoto wanazopitia wazee na hata watu wa kawaida kwa janga hili, wametishika wamepata hofu na wamekata tamaa sababu wanasikia habari mbaya nyingi. Habari hizi zinawaua.

Tafuta clip moja ni ya dk kama mbili tu ilishawekwa humu, waziri wa ulinzi wa Israel anasema jambo moja la msingi sana. Kuwa, inatakiwa wazee watengwe na vijana sababu kinga zao ni ndogo. Wahudumiwe huko walipo. Hawa wenye kinga nzuri ugonjwa huu wataugua na watapona wenyewe. Sote ni mashahidi watu wanapona wenyewe. Baada ya hapo watu wata develop kinga then maisha yatasonga.

Tafuta hiyo clip usikilize.

Sasa basi tusitishane, tunaweza poteza watu wengi kwa kutishana.

2. Ugonjwa una maeneo yake.
Labda niwe sijaelewa vizuri maneno haya. Lakini kuna dalili za ukweli kuwa ugonjwa huu una maeneo yake.

Hebu fikiria au kumbuka, ni wakati gani katika maisha yako umewahi kusikia au kuona ugonjwa wa mafua ni tatizo kubwa kiasi cha kupoteza maisha ya mtu wa mazingira yako? (Nazungumzia Tanzania)
Binafsi sijawahi.

Lakini kwa mazingira ya wenzetu, ugonjwa wa mafua na jamii zake zimekuwa zinaua watu hasa wazee kila mwaka msimu unapokuja.

Mfano kwa nchi ya Marekani kila mwaka watu kati ya 20,000 na 50,000 hufa kila mwaka sababu ya magonjwa yatokanayo na mafua. Angalia google utapata hizi taarifa. Mambo haya huwa hatuambiwi lakini ndio ukweli huo.

Sasa kwa nini tunapata taharuki kiasi hichi?

Kuna clip moja ya dr wa kijerumani niliisikiliza, yule dr anashangaa ni kwa nini wameamua kuwachukulia virusi wa Corona kama ni tofauti na kuwatangaza kuwa ni janga wakati siku zote wapo kundi moja na virusi wengine kama wa Sars?

Huku Africa yapo magonjwa yanatumaliza maelfu na maelfu kila mwaka na yanajulikana, mbona hatuogopi hayo??

Hadi sasa ugonjwa umeenea maeneo mengi ya Africa, ni kweli tumesikia wapo waafrika waliokufa, mmoja wapo nina yejua habari zake ni mwanamuziki Aurlus Mabele ambaye yeye ilielezwa kabisa alikuwa na ugonjwa wa kiharusi na matatizo mengine hivyo alipopata huu ugonjwa ikawa ni nyongeza kati ya shida aliyonayo.

Yaani hapa ni sawa sawa na kutangaza vifo vya wagonjwa wa kisukari, kiharusi au magonjwa mengine of which magonjwa haya yanauwa watu kila siku. Mfano: pata takwimu za hosp kama muhimbili uliza mi watu wangapi wanakufa kwa magonjwa hayo mengine kila siku? na mbona hawatangazwi?

Jibu unalo.

Sitaki kulizungumza hili kwa kuwa sina uthibitisho wala utaalam, ila linatosha kufikirisha. Upo uzi humu ulitolewa kipindi cha mwezi wa 12 ukigusia mlipo fulani wa homa kama malaria (sisemi mengi utafute usome). Dalili zinazosemwa kuna aina fulani ya uhusiano na hichi kinasemwa sasa. (Ok, sina uhakika vipimo vilikuwepo au havikuwepo)

Binafsi yangu mwezi huo Dec nilipata mafua na homa kali baada ya siku chache nikawa vizuri na maisha yanasonga (Pitia shuhuda za watu hapo).

Sasa tangu Dec hiyo hadi leo watu wanasonga na maisha hayana shida hata kidogo.

Mbona tunatishana?

3. Tufanye kazi
Sasa hapa ni sehemu ya msingi sana sana. Kuna kitu watu wengine hawaelewi, hiyo inayoitwa lockdown ikifanyika kwa mazingira yetu, nadhani inaweza kuleta maafa makubwa kuliko ugonjwa wenyewe. Sababu ni rahisi tu, wapo watu wengi wanaotegemea kutoka na kuhemea then wanapata cha kula na maisha yanaendelea. Watu hawa ukiwafungia kwa mwezi mmoja, kwa maoni yangu madhara ni makubwa sana sana.

Kwa nchi za wenzetu wanaweza kuwa sahihi kwanza uwezo wa kuishi kwa raia wao kwa kupata mahitaji ni mkubwa kuliko sisi. Lakini pia ugonjwa huu na jamii zake imekuwa na tatizo kubwa kwao siku zote so ni lazima wachukue measures kali.

Nilipitia taarifa ya nchi kama Kazakhstan na nyinginezo walishaji wa ngano na pia kuna nchi nyingine wazalishaji wa mchele mf. Vietnam wameanza kuzuia stock zao zisiende ulaya kuuzwa. Report nyingine zinaonyesha China wananunua chakula kingi zaidi kuliko kawaida (waweza tafuta ripoti zao)

Sasa kazi zisipofanyika uwezekano wa changamoto hii ni mkubwa. Hapa wale wazee wa lockdown itabidi waje kununua chakula kwetu.

Pia vipi kuhusu anguko la uchumi wa dunia katika sekta kadha wa kadhaa? Mashirika ya ndege ikiwemo Boeing wanasema watahitaji bailout ili waweze kubaki katika biashara vinginevyo ni majanga.

Yawezekana tusiepuke changamoto hizi ambazo ni za kidunia lakini basi angalau tupunguze basi. Namaanisha tufanye kazi on a very serious note.

Inafahamika kuwa wakubwa wa dunia wanapenda measure wanazozichukua wao na sisi tuchukue mfano jirani zetu Rwanda walichofanya bila kuangalia tupo mazingira tofauti, sasa kwa kuangalia hivi basi tunachukua measure atleast kuonyesha na sisi ni sehemu ya dunia though mioyoni mwetu tunajua hili jambo ni tofauti kidogo kwetu.

Hivyo basi tusitishane, tuchape kazi angalau tupunguze changamoto za kimahitaji na kiuchumi zinazoweza kutokea

4. Tumwombe Mungu
Okay inajulikana kuwa kuna watu wanamwamini Mungu na wapo wasiomwamini. Kuna mwalimu wangu wakati nasoma sekondari, aliwahi kusema ni bora kuamini kuwa Mungu yupo ili siku ya mwisho akiwepo uwe na nafuu kuliko kuamini hayupo na mwisho wa siku umkute hapo sasa kilio cha kusaga meno.

Kwa maoni yangu kumtegemea Mungu katika majanga au shida ni jambo zuri. Mungu huwa tunamwomba katika sherehe zote za kitaifa, bungeni pia tunafanya hivyo na wengi wetu misikitini na makanisani tunafanya hivyo ukiachilia mbali na majumbani. Sasa hili halina shida na mheshiwa alikuwa sahihi kabisa.

Mwisho kabisa haya ni maoni na mtazamo binafsi, unaweza kutofautiana nami na bado amani ikawepo ya kutosha.
 
Elisha2004

JF-Expert Member
Feb 21, 2020
493
1,000
Ukitazama Ulaya,America,Asia na Nchi nyingine za Africa walivyo serious kupigana na virus vya Corona kuanzia life style,halafu ukatazama hapa nyumbani Tanzania jinsi tunavyo behave na jambo hili,kwa kweli unaweza fikiri huku sisi tuna pambana na virusi vya Corola na sio Corona

Memento, Homo!!!
 
Serikali ya Afrika kusini na kwa mazingira yao wanaweza kuwa sahihi kuchukua uamuzi huo. Angalia population yao (hasa ya watu weupe). Ila kwa kufanya lockdown kama ya Rwanda inahitaji tafukuri zaidi.
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
18,634
2,000
bizplan,

..nadhani ungefuata tahadhari uliyofundishwa na mwalimu wako wa sekondari.

..njia sahihi ni kuchukua tahadhari na hatua za kujikinga na ugonjwa huu ili ukituvamia tusije tukalia na kusaga meno.

..taarifa na maelezo ya bwana mkubwa tafsiri yake ni sawa na kuliambia taifa tuendelee na taratibu zetu kama vile Corona siyo hatari na haitatupata. Hii siyo busara hata kidogo.
 
nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
4,702
2,000
Kwanza nawapa pole nyingi waliougua, lakini pia na wenzetu nchi nyingine waliopoteza ndugu zao.

Natambua katika suala hili yamesemwa mengi, yakiwapo ya wataalam.

Hivyo basi kwa kuwa mimi sio mtaalamu wa afya, naomba nitoe maoni katika mtazamo wa kiafrika na hasa katika muktadha wa nchi yangu Tanzania.

Yawezekana wengi wasikubali hili ila pasipo kuweka siasa ndani naona Mh. Raisi yupo sahihi mno kuhusiana na janga hili la ugonjwa wa Corona katika mambo yafuatayo:

1. Kutishana: Wapo watu wengi wamekuwa wanabeza maneno hayo ya kutishana lakini kwa wataalam wa saikolojia na afya wanajua ni kwa kiwango gani vitisho vinaua. Ugonjwa huu umesababisha hofu kubwa sana sana miongoni mwa watu.

Ni kweli ugonjwa upo, na haujaanza leo humu duniani. Ukifuatilia magonjwa ya mlipuko ya virusi vya mafua yamekuwepo siku nyingi na watu wengi tu wamekuwa wanapoteza maisha. Kwa wastani ugonjwa wa mafua ya aina mbalimbali unapotokea ni wastani wa asilimia 60 hadi 70 wanapata ugonjwa huu. Kati yao wale wenye umri mkubwa wa miaka 70 na kuendelea huwa na changamoto kubwa sana ya kupoteza maisha. Jambo hili huwa linatokea sana sana huko Ulaya na katika nchi za wenzetu.

Lakini pia nilikuwa napitia taarifa ya wagonjwa wengi waliopoteza maisha Italy, taarifa zinasema wengi ni 70+ years, kumbuka Italy ni ya pili kwa kuwa na wazee wengi ikizidiwa na Japan tu. Pamoja na uzee huo, wengi wana complications zaidi ya mbili ambazo ni serious kiafya. Sasa wanapokutwa na hali hii kinachotokea kinajulika.

Hebu pata picha, changamoto wanazopitia wazee na hata watu wa kawaida kwa janga hili, wametishika wamepata hofu na wamekata tamaa sababu wanasikia habari mbaya nyingi. Habari hizi zinawaua.

Tafuta clip moja ni ya dk kama mbili tu ilishawekwa humu, waziri wa ulinzi wa Israel anasema jambo moja la msingi sana. Kuwa, inatakiwa wazee watengwe na vijana sababu kinga zao ni ndogo. Wahudumiwe huko walipo. Hawa wenye kinga nzuri ugonjwa huu wataugua na watapona wenyewe. Sote ni mashahidi watu wanapona wenyewe. Baada ya hapo watu wata develop kinga then maisha yatasonga.

Tafuta hiyo clip usikilize.

Sasa basi tusitishane, tunaweza poteza watu wengi kwa kutishana.

2. Ugonjwa una maeneo yake.
Labda niwe sijaelewa vizuri maneno haya. Lakini kuna dalili za ukweli kuwa ugonjwa huu una maeneo yake.

Hebu fikiria au kumbuka, ni wakati gani katika maisha yako umewahi kusikia au kuona ugonjwa wa mafua ni tatizo kubwa kiasi cha kupoteza maisha ya mtu wa mazingira yako? (Nazungumzia Tanzania)
Binafsi sijawahi.

Lakini kwa mazingira ya wenzetu, ugonjwa wa mafua na jamii zake zimekuwa zinaua watu hasa wazee kila mwaka msimu unapokuja.

Sasa kwa nini tunapata taharuki kiasi hichi?

Kuna clip moja ya dr wa kijerumani niliisikiliza, yule dr anashangaa ni kwa nini wameamua kuwachukulia virusi wa Corona kama ni tofauti na kuwatangaza kuwa ni janga wakati siku zote wapo kundi moja na virusi wengine kama wa Sars?

Huku Africa yapo magonjwa yanatumaliza maelfu na maelfu kila mwaka na yanajulikana, mbona hatuogopi hayo??

Hadi sasa ugonjwa umeenea maeneo mengi ya Africa, ni kweli tumesikia wapo waafrika waliokufa, mmoja wapo nina yejua habari zake ni mwanamuziki Aurlus Mabele ambaye yeye ilielezwa kabisa alikuwa na ugonjwa wa kiharusi na matatizo mengine hivyo alipopata huu ugonjwa ikawa ni nyongeza kati ya shida aliyonayo.

Sitaki kulizungumza hili kwa kuwa sina uthibitisho wala utaalam, ila linatosha kufikirisha. Upo uzi humu ulitolewa kipindi cha mwezi wa 12 ukigusia mlipo fulani wa homa kama malaria (sisemi mengi utafute usome). Dalili zinazosemwa kuna aina fulani ya uhusiano na hichi kinasemwa sasa. (Ok, sina uhakika vipimo vilikuwepo au havikuwepo)

Binafsi yangu mwezi huo Dec nilipata mafua na homa kali baada ya siku chache nikawa vizuri na maisha yanasonga (Pitia shuhuda za watu hapo).

Sasa tangu Dec hiyo hadi leo watu wanasonga na maisha hayana shida hata kidogo.

Mbona tunatishana?

3. Tufanye kazi
Sasa hapa ni sehemu ya msingi sana sana. Kuna kitu watu wengine hawaelewi, hiyo inayoitwa lockdown ikifanyika kwa mazingira yetu, nadhani inaweza kuleta maafa makubwa kuliko ugonjwa wenyewe. Sababu ni rahisi tu, wapo watu wengi wanaotegemea kutoka na kuhemea then wanapata cha kula na maisha yanaendelea. Watu hawa ukiwafungia kwa mwezi mmoja, kwa maoni yangu madhara ni makubwa sana sana.

Kwa nchi za wenzetu wanaweza kuwa sahihi kwanza uwezo wa kuishi kwa raia wao kwa kupata mahitaji ni mkubwa kuliko sisi. Lakini pia ugonjwa huu na jamii zake imekuwa na tatizo kubwa kwao siku zote so ni lazima wachukue measures kali.

Nilipitia taarifa ya nchi kama Kazakhstan na nyinginezo walishaji wa ngano na pia kuna nchi nyingine wazalishaji wa mchele mf. Vietnam wameanza kuzuia stock zao zisiende ulaya kuuzwa. Report nyingine zinaonyesha China wananunua chakula kingi zaidi kuliko kawaida (waweza tafuta ripoti zao)

Sasa kazi zisipofanyika uwezekano wa changamoto hii ni mkubwa. Hapa wale wazee wa lockdown itabidi waje kununua chakula kwetu.

Pia vipi kuhusu anguko la uchumi wa dunia katika sekta kadha wa kadhaa? Mashirika ya ndege ikiwemo Boeing wanasema watahitaji bailout ili waweze kubaki katika biashara vinginevyo ni majanga.

Yawezekana tusiepuke changamoto hizi ambazo ni za kidunia lakini basi angalau tupunguze basi. Namaanisha tufanye kazi on a very serious note.

Inafahamika kuwa wakubwa wa dunia wanapenda measure wanazozichukua wao na sisi tuchukue mfano jirani zetu Rwanda walichofanya bila kuangalia tupo mazingira tofauti, sasa kwa kuangalia hivi basi tunachukua measure atleast kuonyesha na sisi ni sehemu ya dunia though mioyoni mwetu tunajua hili jambo ni tofauti kidogo kwetu.

Hivyo basi tusitishane, tuchape kazi angalau tupunguze changamoto za kimahitaji na kiuchumi zinazoweza kutokea

4. Tumwombe Mungu
Okay inajulikana kuwa kuna watu wanamwamini Mungu na wapo wasiomwamini. Kuna mwalimu wangu wakati nasoma sekondari, aliwahi kusema ni bora kuamini kuwa Mungu yupo ili siku ya mwisho akiwepo uwe na nafuu kuliko kuamini hayupo na mwisho wa siku umkute hapo sasa kilio cha kusaga meno.

Kwa maoni yangu kumtegemea Mungu katika majanga au shida ni jambo zuri. Mungu huwa tunamwomba katika sherehe zote za kitaifa, bungeni pia tunafanya hivyo na wengi wetu misikitini na makanisani tunafanya hivyo ukiachilia mbali na majumbani. Sasa hili halina shida na mheshiwa alikuwa sahihi kabisa.

Mwisho kabisa haya ni maoni na mtazamo binafsi, unaweza kutofautiana nami na bado amani ikawepo ya kutosha.
4. Sikubaliani na wewe maana hakuna kitu kinaitwa Mungu.

Mimi ni mmoja kati ya wanaoona ni bora kufa kwa corona kuliko kufa kwa njaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
2,983

Nani akutishe mkuu. Kwamba ukweli ukisemwa hata kama unatisha ndio unaona kama huyo anayekuambiwa anakutisha.?
 
42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
2,983
2,000
Hoja namba mbili ni takataka. You are not well imformed. Unazungumzia corona halafu unaleta habari za mafua, hebu kuwa serious.

Africa wameshaanza kufa watu mdogomdogo. Na wengine ni weusi kama ww

Nakubaliana na wewe taadhari watu wachukue. Ila taadhari za kufanya lockdown kwa huku kwetu siamini kama ni sahihi.
 
uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
2,449
2,000
Yote yafanyike ila lockdown itakuwa ugonjwa kuliko ugonjwa wenyewe binafsi napendekeza kazi ziendelee tu kufanyika ila kwa wakati huu serikali ipunguze sana matumizi yasiyozalisha na kuweka pesa kwenye huduma za kijamii na uzalishaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uhurumoja

JF-Expert Member
Mar 2, 2014
2,449
2,000
Nimeonesha twita hofu yangu kwenye swala la lockdown nakiri sijawahi kutukanwa kwa namna ile ila nilifarijika maana baada ya hapo trump alisema anahofu kuwa lockdown ni mbaya sana kuliko ugonjwa basi nikaona kumbe siko pekee mwenye hofu hiyo
Mkuu kwenye uzwazwa hapo ipo akili kidogo chukua hiyo..
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom