Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Ni aibu kubwa eti nchi kubwa kama hii ambayo tumejitapa kujenga nchi kwa pesa zetu na kuwa hatuhitaji misaada, leo hii tumeshindwa kununua vifaa vya kupima na kujilinda na corona mpaka tumesubiri msaada wa Jack Ma.
Tatizo hapa sio kupokea msaada. Tatizo ni kubweteka na kusubir msaada.
Wiki mbili zilizopita, serikali ya CCM ilitoa takribani milioni 60 kulipia wafungwa wake fine. Yaani Magufuli alitoa 28m kumlipia Msigwa na Polepole 30 millioni kamlipia Mashinji.
Leo wameshindwa kutoa hata mchango binafsi kununua vifaa vyovyote vya kupambana na corona. Eti wameenda kujificha kwenye mawe huku wakiimba serikali ya wanyonge.
Nchi ina mashine moja ya kupima corona. Mashine 1 tu ina-cost $13,000. Hii ni kma m30. Maana yake ule mchango aliokataa Msigwa ungenunua mashine moja. Na tungesema Mashinji arudishwe gerezani, tungenunua na nyingine ya pili.
Imagine tuuze ndege moja tu na tununue mashine na vifaa vya kutosha. Si tungekuwa na uwezo wa kupima korona kila zahanati?
Inawezekana huu ugonjwa umeshasambaa kila mahali hapa Tz ila hatuwezi kuwa na takwimu sahihi sababu hatuna vifaa vya mass screening. Kinachosubiriwa tu ni wanyonge waanze kufa kama kuku.
Sent using Jamii Forums mobile app