corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Msikiti Ngazija uliopo Posta jijini Dar es Salaam wafungwa kwa siku 21 kuepusha misongamano ya waumini

    Msikiti wa Ngazija uliopo Posta jijini Dar umefungwa kwa muda wa siku 21 kuanzia tarehe 30/03/2020 hadi 19/04/2020 kama hatua ya kupunguza mikusanyiko ya watu. Uongozi wa Msikiti umesema Uamuzi huo ni mgumu lakini hauna budi kuchukuliwa ili kuwanusuru waumini na risk ya kuweza kupeana...
  2. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Umefanya Lockdown na uchumi wako wa kuunga unga unakosa hela ya kuwalipa Madaktari na manesi wanazikimbia Hospitali! Ni majanga zaidi ya CORONA

    Upeo wa viongozi wa Afrika ni mdogo sana wamejitenga na Madaktari wamejitenga na naturalists, unaambiwa asilimia karibia 100 ya wanaokufa na ugonjwa huu ni wazee kuanzia miaka 70+ kwa huku Afrika ni wachache mnoo almost negligible. Unaambia mazingira ya kijiografia kiuchumi hayaruhusu viongozi...
  3. Sherlock

    JamiiForums Tanzania COVID 19 lessons we should learn from New York

    March 1 saw the first confirmed case of COVID-19 in New York On March 2, Mayor Bill de Blasio tweeted that people should ignore the virus and "go on with your lives + get out on the town despite Coronavirus". At a news conference on March 3, New York City Commissioner of Health Oxiris Barbot...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Corona imetunfundisha maana ya ndoa. Tupo nyumbani 24/7 na tuliowachagua

  5. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania Corona ni nani?

    CORONA NI NANI? ___________________ Corona wewe ni nani? Corona umetoka wapi? Una sura gani? Mlimwengu mimi siwezi kukaa kimya juu yako. Mara ya kwanza tuliposikia jina lako kila mtu alitamani kukujua wewe ni nani?, lakini kadri zilivyosonga tukaijua rangi yako halisi tukaona unamsaidia kazi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Endapo majina ya walioambukizwa Corona yatatangazwa hadharani patakuwa na ubaya gani?

    Corona ni janga la kimataifa. Prince Charles katangazwa, PM Boris katangazwa na PM Netanyahu katangazwa. Sasa, najiuliza hapa Tanzania kuna ubaya gani kuwatangaza wenye dalili na wenye maambukizi? Anayeweza kunijibu Tafadhali!
  7. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Serikali: Wagonjwa watano wathibitika kuwa na Virusi vya Corona na kupelekea kuwa na idadi ya wagonjwa 19 (Machi 30, 2020)

    Waziri Ummy Mwalimu akitoa taarifa juu ya mwenendo wa Virusi vya Corona nchini amesema leo asubuhi wamepokea vipimo vya wagonjwa watano kutoka maabara ya taifa, watatu wanatoka Tanzania Bara na wawili wakitokea Zanzibar. Idadi imefikia 19 akiwepo mgonjwa mmoja aliyetangazwa na Waziri wa Afya wa...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wa Corona nchini Rwanda wafikia 70

  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wasambaa hawajapata habari za corona virus bado

  10. B

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli

    Moja kwa moja kwako kwenye mada. Hatimaye ninakundikia wewe ushauri huu wa bure nikifahamu fika kuwa hujapungukiwa na washauri, na kuwa uko nao washauri walio mahiri kabisa, wenye kulipwa vilivyo kutokana na kazi hiyo. Hata hivyo kumbuka mheshimiwa, Goliath lilikuwa jitu la kutisha (lenye...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania What others do with their corona self isolation time

  12. Chipukizi

    JamiiForums Tanzania Corona Mungu ametuchoka

    Ni hivi karibuni Dunia yote ikiwemo South Africa wamehalalisha Ndoa ya jinsia moja China, Irani uhuru wa kuabudu ni sefuri!! USA amehalalisha SODOMA na GOMORA na hata South Africa acha tufe waje kizazi kitakachofata Mungu anataka nini!! Hata Kizazi cha Rutu kiliangamizwa kisa kupenda mambo hayo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Corona Virus Nchini Tanzania

    Habarini za jioni wanajamvi. Mimi siishi Dar Muda mfupi uliopita niliona ujumbe kwenye WhatsApp ya ndugu mmoja ikionyesha magari yakipita Kariakoo yakifukizia dawa ya kuua corona, sawasawa na yale yaliyokuwa yakionekana kwenye miji ya Uchina. Hii ni hatua kubwa na nzuri sana iliyochukuliwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu: Mtu yoyote atakayetoa taarifa za Corona zaidi ya waziri wa afya na viongozi wakuu wa nchi atakamatwa na polisi

    Mh Kassim Majaliwa amesema ni waziri wa afya pekee mh Ummy Mwalimu ndiye atakayekuwa akitoa taarifa za Corona nchini. Mh Majaliwa amesema itakapolazimu zaidi basi ama yeye Waziri mkuu, Makamu wa Rais au Rais Magufuli ndio watakaozungumza na si vinginevyo. Waziri mkuu amesisitiza kuwa mtu...
  15. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Corona: Wanaoadhirika au kuumia zaidi ni masikini ilihali ugonjwa wenyewe unawaumiza zaidi matajiri

    Ukiangakia kwa umakini mapambano yanayoendelea duniani utagundua kwamba wanaoumia zaidi ni masikini au hohe hahe. Angalia tukio lililotokea pale Kenya waliothirika kwa kipigo ni masikini ambao wengi wao walikua wanatoka kwenye miangaiko ya kujitafutia chakula chao na cha watoto. Kuna usemi...
  16. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Zitto awasilisha mapendekezo kuhusu namna bora ya kukabiliana na virusi vya Corona

    UJUMBE WA KIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO, NDUGU ZITTO ZUBERI KABWE KWA WATANZANIA KUHUSIANA NA NAMNA BORA YA KUKABILIANA NA VIRUSI VYA KORONA – JUMAPILI, TAREHE 29 MACHI, 2020 Watanzania wenzangu, Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu, Muumba Mbingu na Ardhi, kwa kuendelea...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tujielimishe kidogo: Upimaji wa Corona Virus kupitia kwenye "damu"...

    EDI™ Novel Coronavirus COVID-19 ELISA Kits Enzyme Linked Immunosorbent Assays (ELISA) for the qualitative detection of the COVID-19 IgG and IgM in human serum. Overview The 2019 Novel Coronavirus (COVID-19) is a single-stranded RNA coronavirus. Comparisons of the genetic sequences of this...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

    Wanabodi, Naomba kuanza na Angalizo: Mamlaka pekee za kutangaza status report ya ugonjwa wa Corona kwa Tanzania ni Rais wa JMT Waziri Mkuu Waziri wa Afya Msemaji Mkuu wa Serikali Hivi wajameni hii siyo taarifa ya status ya ugonjwa wa Corona na wala sio update ya Corona, hili ni angalizo la...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Marufuku kufunga minada ya ng'ombe na samaki kwa kisingizio cha Corona

    Naibu waziri wa mifugo na uvuvi mh Ulega amesema ni marufuku kwa watendaji kufunga minada ya ng'ombe na samaki kwa kisingizio cha Corona. Naibu waziri amesema hayo alipokutana na wafanyabiashara wa soko la ferry jijini Dar na amewataka kuzingatia masharti ya ugonjwa huo. Source: ITV
  20. J

    JamiiForums Tanzania Corona: Idadi ya wagonjwa wa Corona yaongezeka Zanzibar sasa yafikia Watatu

    Waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Zanzibar imeongezeka na kufikia Watatu. Mgonjwa mpya ni mzanzibari aliyetoka nchini Uingereza. Source ITV habari
Back
Top Bottom