corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Forget about Corona Virus for a moment ,see how wonderful Wuhan is..

    Wuhan, one of the largest cities in China have been the talk of town since late last year after the first positive case of coronavirus was reported in China. The virus has by Thursday 27th spread in more than 190 countries infecting 492, 443 people worldwide. The capital city of Hubei province...
  2. M

    Recovered Corona Virus patients in China tests positive again!!!

    14 percent of the recovered patients in China test positive for the coronavirus for a second time. Doctors in China have revealed that patients that had fully recovered from Covid-19, have contracted the virus again. There is fear in China that there may be a second coronavirus outbreak in the...
  3. M

    China ina dawa ya CORONA, kinachosubiriwa Ni ugonjwa huu kupamba Moto ulimwengu mzima ili apige pesa

    Kwa wenye akili kubwa watakubaliana na Mimi kuwa nchi ya China tayari in dawa ya ugonjwa wa CORONA, ila kwa kuwa hii ni Vita ya kiuchumi, wanasubiri nchi nyingi zikabwe barabara na ugonjwa huu Kisha wapige pesa kwa kuziuzia dawa. Time will tell.
  4. J

    Corona: Sekta ya Utalii itaporomoka sana Duniani hata baada ya ugonjwa kudhibitiwa

    Inasemekana hadi sasa sekta ya Utalii ndio imepata pigo kubwa sana kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa Corona. Wataalamu wanasema nchi zinazotegemea sana utalii katika uchumi wake zitayumba sana hata baada ya ugonjwa huu kudhibitiwa. Inashauriwa Wachumi na wanasiasa waanze kubuni sasa mikakati ya...
  5. Miss Zomboko

    Shirika la afya Duniani lasena chanjo ya Corona itapatikana baada ya mwaka 1 au mwaka 1.6

    Mkurugenzi mkuu wa shirika la Afya duniani amesema kwamba chanjo dhidi ya virusi vya cororna itapatikana ndani ya mwaka 1 au mwaka 1 na nusu. Shirika la Afya duniani (WHO) latoa maelezo kuhuiana na chanjo ya virusi vipya vya Corona Tedros Adhanom Ghebreyesus, mkurugenzi mkuu wa shirika la afya...
  6. Sky Eclat

    Life in the UK post Corona Virus

    This Is How Experts Think Coronavirus Will Change The World Over The Next 18 Months Whether the coronavirus pandemic lasts for two months or two years, the way that we live and work will be altered irrevocably We are in lockdown. Supermarket shelves are stripped bare. Flights are grounded...
  7. Masanjaone

    Serikali iifuatilie sana familia ya Mbowe na CHADEMA kuna uhaini kupitia Corona

    Mh. Mbowe (mb) nakiongozi wa upinzani bungeni (kub) wakati mh Rais anatangaza tahadhari ya ugonjwa wa corona, mh mbowe alitangaza kuwa ifikapo tar.4 apr 2020 chama chake kianze mikutano nchi nzima bila kujari zuio hilo. Baada ya mda mfupi kiongozi mwandamizi wa chadema Dar es salaam akatoa...
  8. J

    Madiwani wa Iringa pambaneni na Corona na madaraja yaliyozolewa na mvua msitafute kiki za kumng'oa Meya haitawasaidia

    Kwanza niwakumbushe ninyi CCM Iringa ndio mliogoma kumdhamini Dr Magufuli mwaka 2015 alipokuja kuomba udhamini ili agombee urais. Pili, ni ninyi CCM Iringa mliogoma kumpa ushirikiano mchungaji Msigwa ilhali mnajua kabisa Iringa mjini na pale white house pana " ukaribu" sana. Tatu, kila mtu...
  9. Nyendo

    Jeshi la Polisi Dar es Salaam linawashikilia mume na mkewe kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo kuhusu ugonjwa wa COVID 19 (CORONA)

    Jeshi la polisi kanda maaluum ya Dar es salaam linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo kuhusu Ugonjwa unaoenezwa na virusi vya korona. Watuhumiwa hao ni Boniphac Elias Mwita umri miaka 29 mkazi wa Tabata na Rosemary Elias Mwita mke wa mshtakiwa wa kwanza umri ni...
  10. beth

    Wagonjwa wawili wa Corona Virus wana hali mbaya, walazwa ICU

    Two patients out of the 31 who have tested positive for the coronavirus in Kenya are in critical condition and admitted to the Intensive Care Unit (ICU), Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe has announced. In a press briefing on Friday, the Health CS said the two patients are admitted at the...
  11. S

    Baada ya corona kushika kasi na kuathiri ujio wa ndege kutoa nje ya nchi,mashirika ya ndege yanayoendelea na safari za humu nchini hayajaathirika?

    Habari wakuu, Katika hali ya kawaida,ni wazi kuna uhusiano wa kibiashara kati ya ndege zinazotoka nje na zile zinazofanya safari zake za humu nchini. Kwa mfano,abiria wakitua hapa nchini kupitia JNIA wakitokea nje ya nchi,baaadhi yao watatumia ndege zinazofanya safari za humu nchini kuelekea...
  12. B

    South Africa na Rwanda mataifa yaliyodhamiria kuondokana na Corona

    South Africa na Rwanda ndiyo mataifa pekee katika ukanda wetu yaliyodhamiria kwa dhati kabisa kuondokana na Corona. This being once for all. Ndani ya mwezi mmoja wenzetu hawa wakiwa huru kabisa bila ya kuwa na Corona au angalau kuwa na trend za wazi kuwa hali zao wamezidhibiti vilivyo, itakuwa...
  13. Saint Ivuga

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apata maambukizi ya CoronaVirus

    Prime Minister Boris Johnson has tested positive for coronavirus, Downing Street has said. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Waziri huyo amethibitisha kuwa na maambukizi huku akiwa na dalili za kawaida za #Covid_19 Amesema yupo karantini na ataendelea kuwa kiongozi wa Serikali katika kupambana...
  14. Miss Zomboko

    Nchi zenye wakimbizi wengi hatarini kupata maambukizi makubwa ya Corona, Tanzania yatajwa

    Justin Derbyshire, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kimataifa la HelpAge Kenya NCHI ambazo zinahifadhi wakimbizi wengi na zenye makazi duni Afrika, zinatajwa kuwa na hatari zaidi ya kuenea kwa virusi vya corona (COVID-19) katika siku za usoni. Na kwamba, nchi hizo baadhi zina idadi kubwa ya...
  15. Miss Zomboko

    Marekani na China zaungana katika kupambana na Corona

    Rais wa China amesema nchi yake na Marekani lazima ziungane kupambana na janga la Corona, huku mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya wakitakiwa kufikia mpango wa kuuokoa uchumi wao uliodhoofishwa kutokana na janga hilo. Rais Xi Jinping wa China pia ameitolea wito Marekani kuimarisha uhusiano wa...
  16. Display Name

    India: Polisi wawachapa watu wanaotembea nje wakati huu wa Corona

    Ili kupambana na usambaaji wa Virusi vya Corona Serikali ya India ilizuia watu kutoka nje. Kwenye video hii polisi wanaonekana kuchapa watu waliowakuta wakitembeatembea nje na kuwapa adhabu mbalimbali kwa kukosa utii Source: abcworldnewstonight
  17. Erythrocyte

    Tarime: Mbunge aamua kupambana na Corona kwa vitendo, asambaza Sanitizer na vifaa vya kunawia Jimbo zima

    Huu ndio uongozi , Tukisubiri vya ALIBABA tutakwama
  18. Pdidy

    Corona inavyotesa madada zetu

  19. The Sheriff

    CoronaVirus: Mgonjwa wa kwanza wa corona apona Kenya. Watumishi wa Serikali akiwemo Rais kupunguziwa mishahara

    Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa mtu wa kwanza amepona kabisa ugonjwa wa corona. ''Hii inamaanisha kuwa ugonjwa huu unaweza kukabiliwa''alisema rais Kenyatta katika hotiba yake kwa taifa. Idadi ya walioambukizwa ugonjwa wa corona nchini Kenya imefikia 28. Rais pia ametangaza hatua...
  20. B

    Ugonjwa wa Corona sio wa kuisha hivi Karibuni Duniani

    Nionavyo mimi, Ugonjwa wa corona hauwezi kuisha anytime soon na hata baadhi ya nchi zilizochukua uamuzi wa lockdown watasitisha lockdown na bado maambukizi yataendelea. Mfano China wameondoa lockdown lakini maambukizi yanaendelea. Sababu kuu ninavyoona ya ugonjwa huu kutokuisha duniani mapema...
Back
Top Bottom