Inashangaza pale ambapo watu wanaifurahia Corona badala ya kuiogopa

Izzi

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
553
1,107
Najaribu kuwaza kwa sauti kwamba; wakati mwingine unaweza kukubaliana na wanaosema kuwa Waafrika hatujielewi. Ukijitoa ufahamu unaweza kusema Waafrika hatuna woga,... labda. Lakini wakati mwingine unabaki mdomo wazi tu, hujui useme nini juu ya vituko vinavyofanywa na sisi... Waafrika, kama hiki:

 
Jamaa angu mmoja nimeongea nae kwenye simu juzi nikamuuliza vipi corona huko mtaani kwenu? Jibu lake lilikuwa hivii

"Huku tunaishi kama siku zote tu corona ni kama myth fulani hivi huku kwetu"
Simply watu hawana sense yoyote ya huu ugonjwa. Ni kama jambo la kufikirika tu.
 
Mkuu, ukiiogopa ndio hautaipata, au ndio itaisha? Sema hao wanazingua kwa kuwa hawachukui tahadhari.

Ila kuiogopa hata sio solution, sanasana utasababisha uwe immunocompromised na hivyo kwenye hatari zaidi ya kuipata.

Furahia na uchukue tahadhari tu Mkuu, hata ukihuzunika haubadilishi chochote.
 
Waswahili wa rufiji wanasema "Mlango sio mlango hadi ufungwe🙄au uachwe wazi"

Corona sio chapati ya maji jamani. Tutapoteana kwa muda usiojulikana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom