Pigo kwa Kenya katika vita dhidi ya Corona baada serikali kufunga vituo 20 vya kupima corona

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,906
25,180
GettyImages-1130208883.jpg

Vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona imepata pigo kubwa nchini Kenya baada ya serikali kufunga kimya kimya vituo 20 vilivyokuwa vikihusika na ukusanyaji wa sampuli kwa ajili ya vipimo vya maambukizi ya virusi vya corona.

Serikali imeamua kuhamisha nguvu zaidi katika kutibu na kuhudumia wagonjwa waliothibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona. Serikali hiyo imesema imeamua kuhamisha nguvu upande huo kutokana na kushindwa kustahimili upimaji wa watu wengi "mass testing".

Hata hivyo watafiti nchini Kenya wameishutumu serikali kwa kuwatelekeza wananchi wasiokuwa na uwezo katika saa wanayohitaji msaada zaidi. Hatua hiyo ya kufunga vituo hivyo imepelekea ufunguaji wa maabara sita (6) za taasisi binafsi zinazotoza gharama ya (shilingi za kikenya) Ksh 8000 mpaka Ksh 13,000 (sawa na dola za kimarekani 75 mpaka 121). Gharama hizo zimetajwa kuwa ni kubwa mno kwa raia wengi wa Kenya ambao tayari wamekwisha athirika kiuchumi kutokana na janga hili la virusi vya Corona.

Baadhi ya raia wamelalamika katika mitandao ya kijamii kutozwa kiasi cha shilingi za kikenya (Ksh) 5000 kwa wagonjwa waliolazwa ndani ya hospitali ya taifa ya Kenyatta ili kupata kipimo cha maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana katika risiti hapo chini.

EdHOaAOWkAAVvPo.jpeg

EdHIFvEWsAEjRYa.jpeg

====

Source:
Blow to Covid-19 fight as State abandons testing - People Daily
 
Yaani kipimo kimoja ni elfu tano na zaidi, halafu kwenye kutoa takwimu za upimaji kila siku utasikia kumefanyika vipimo elfu kadhaa.

Sema kuongoza nchi kama kunyaland iliyojaa wakumbaf na wajinga tena wenye uwezo mdogo wa kufikiri raha sana

Haya ndio matokeo ya kukosa akili, hivi hawa wakenya walidhani wanaweza kupima raia wote wenye kuhitaji?.

Wakenya hawana akili hadi inasikitisha, sasa wale wajinga waliokua wanasema kupima ndio njia bora kupambana na kuenea na Corona, na kwamba Kenya ni tajiri ndio sababu wanapima wako wapi?

Wakenya na viongozi wao ndio watu wajinga kuliko wote katika ukanda huu, kila wanalifanya linashindikana, kila mradi wanaoanzisha unaishia njiani.

1) Green field terminal
2) SGR
3) Galana Kulalu
4) Bomba la mafuta toka Licjachir
5) Lap top per child
6) Five modern stadia
7) LAPSET
8) Coalition of the willing
9) Ukuta kati ya Somalia na Kenya
10) Mass testing for Corona

Vyote hivyo vimeishia njiani, wajinga sana. Akili zao kama watoto wa chekechea, Failed state, hovyo kabisa hawa.
 
1)Green field terminal
2)SGR
3)Galana Kulalu
4)Bomba la mafuta toka Licjachir
5)Lap top per child
6)Five modern stadia
7)LAPSET
8)Coalition of the willing
9)Ukuta kati ya Somalia na Kenya
10)Mass testing for Corona

Vyote hivyo vimeishia njiani, wajinga sana. Akili zao kama watoto wa chekechea, Failed state, hovyo kabisa hawa.
Vipi umepata noah yako
 
View attachment 1509430
Vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona imepata pigo kubwa nchini Kenya baada ya serikali kufunga kimya kimya vituo 20 vilivyokuwa vikihusika na ukusanyaji wa sampuli kwa ajili ya vipimo vya maambukizi ya virusi vya corona.

Serikali imeamua kuhamisha nguvu zaidi katika kutibu na kuhudumia wagonjwa waliothibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona. Serikali hiyo imesema imeamua kuhamisha nguvu upande huo kutokana na kushindwa kustahimili upimaji wa watu wengi "mass testing".

Hata hivyo watafiti nchini Kenya wameishutumu serikali kwa kuwatelekeza wananchi wasiokuwa na uwezo katika saa wanayohitaji msaada zaidi. Hatua hiyo ya kufunga vituo hivyo imepelekea ufunguaji wa maabara sita (6) za taasisi binafsi zinazotoza gharama ya (shilingi za kikenya) Ksh 8000 mpaka Ksh 13,000 (sawa na dola za kimarekani 75 mpaka 121). Gharama hizo zimetajwa kuwa ni kubwa mno kwa raia wengi wa Kenya ambao tayari wamekwisha athirika kiuchumi kutokana na janga hili la virusi vya Corona.

Baadhi ya raia wamelalamika katika mitandao ya kijamii kutozwa kiasi cha shilingi za kikenya (Ksh) 5000 kwa wagonjwa waliolazwa ndani ya hospitali ya taifa ya Kenyatta ili kupata kipimo cha maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana katika risiti hapo chini.

View attachment 1509434

View attachment 1509435

====

Source:
Blow to Covid-19 fight as State abandons testing - People Daily
Mk 254 ckuhizi kawa mdogo kama priton tulikuwa tunamwmbia ule upumbavu wake wa kushangilia kupima kua haina maana akawa abisha , Naona walichokitafuta wamekipata maana ilikua kila cku Pima pima pima pima pima pima pimaaa sasa washapata wagonjwa wa kutosha ndio wanakumbuka kutibu
 
Hahaha hawa wapumbavu walikuwa wakishangilia kupima hovyo na kwamba wanaongoza mapambano kwa kupima 😅😅😅😅 kiko wapi

Serikali imewatelekeza kirusi kiamue inakuaje Hahahaha let them fall like flies na walivyo hawana afya sababu ya njaa, ngoja wapate the latest echo of Corona
 
Hahaha hawa wapumbavu walikuwa wakishangilia kupima hovyo na kwamba wanaongoza mapambano kwa kupima kiko wapi

Serikali imewatelekeza kirusi kiamue inakuaje Hahahaha let them fall like flies na walivyo hawana afya sababu ya njaa, ngoja wapate the latest echo of Corona
Wacha wazikane, malipo ya watu wapumbavu wasiokua na akili ni kifo.
 
Haya ndio matokeo ya kukosa akili, hivi hawa wakenya walidhani wanaweza kupima raia wote wenye kuhitaji?.

Wakenya hawana akili hadi inasikitisha, sasa wale wajinga waliokua wanasema kupima ndio njia bora kupambana na kuenea na Corona, na kwamba Kenya ni tajiri ndio sababu wanapima wako wapi?

Wakenya na viongozi wao ndio watu wajinga kuliko wote katika ukanda huu, kila wanalifanya linashindikana, kila mradi wanaoanzisha unaishia njiani.

1) Green field terminal
2) SGR
3) Galana Kulalu
4) Bomba la mafuta toka Licjachir
5) Lap top per child
6) Five modern stadia
7) LAPSET
8) Coalition of the willing
9) Ukuta kati ya Somalia na Kenya
10) Mass testing for Corona

Vyote hivyo vimeishia njiani, wajinga sana. Akili zao kama watoto wa chekechea, Failed state, hovyo kabisa hawa.
Ile nyani iliyokuwa inasema TZ imejichokea ndio maana inashindwa kufanya mass testing, naisubiri humu kwa hamu,wajinga sana hawa mbwa.
 
Hamna akili ninyi, Uzi wenu wa kijinga kwamba Amina amepata kiti cha DG wa WTO pia umeondolewa baada ya kugundua ninyi ni wajinga. Nani amchague mkenya?. Hahahaha, hahahaha.
Umechange gear kuona bado hujui utapata lini noah yako
 
Ile nyani iliyokuwa inasema TZ imejichokea ndio maana inashindwa kufanya mass testing, naisubiri humu kwa hamu,wajinga sana hawa mbwa.
Siku hizi wala hatoi tena updates za corona nchini kwake ile kiherehere ya kusijifia kupima imemuisha.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom