corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini: Yanayojiri EA katika vita dhidi ya Corona

    Corona ni ugonjwa hatari unaouwa na pia kuambukiza kwa haraka sana. Study nyingi kuhusu huu ugonjwa zimetupa ufahamu wa kujua unaambukizwa vipi na kwa kiasi kikubwa kufahamu namna ya kuweza kuudhibiti. Pana mataifa yaliyofanikiwa kabisa kuutokomeza kabisa makwao kiasi cha kuuweka msingi wa...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa menu hii wazungu watasuburi sana corona itumalize

  3. B

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane: Inakuwaje kuna shule Wazazi wamelipishwa ada kipindi cha Corona

    Habari JF, Naomba tufahamishane kulingana na mwongozo wa Wizara ya Elimu, hakuna mzazi atakayelipishwa ada kipindi chote cha Corona ambacho watoto wamekuwa nyumbani, unless unadaiwa huko nyuma. Ni vipi basi kuna shule zimelipisha wazazi kwa kupunguza mwezi mmoja tu tena kwenye usafiri na sio...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mataifa 11 barani Ulaya yafanya makubaliano ya kufungua mipaka yao kwa ajili ya kuanza kupokea watalii

    Taarifa ya pamoja iliyotolewa na tovuti ya kidiplomaisa ya Ureno imesema, mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi 11 za Ulaya wamekubali masharti ya kufungua tena mipaka na kurejesha uhuru wa mawasiliano kati ya wakazi wa Ulaya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wawakilishi kutoka Ujerumani, Austria...
  5. Influenza

    JamiiForums Tanzania Raia wa nchi 11 kutoka Afrika mbioni kuruhusiwa kuingia nchi wanachama wa EU kuanzia Julai baada ya nchi hizo kufungua mipaka

    Kwa mujibu wa Euronews orodha ya awali inaonesha raia wa nchi za Mozambique, Angola, Namibia, Ethiopia, Zambia, Rwanda, Uganda, Misri, Tunisia, Algeria na Morocco wataruhusiwa kuingia nchi za Umoja wa Ulaya (EU) Inaelezwa huku Ulaya ikiwa inajiandaa kufungua mipaka, Maafisa wa nchi hizo...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Watu 101 wakiwemo wafungwa 72 waambukizwa Corona Rwanda

    Kwa mara nyingine tena Rwanda imetangaza rekodi kubwa ya watu walioambukizwa virusi vya Corona, baada ya watu 101 wakiwemo wafungwa 72 wa gereza la Ngoma Mashariki mwa Rwanda, kuthibitishwa kuambukizwa virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Covid 19 ndani ya saa 24 zilizopita, hii ndiyo rekodi kubwa...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Visa vya Corona nchini Uganda vyaongezeka hadi 889

    Wizara ya Afya imethibitisha visa vipya 19 vya CoronaVirus baada ya kupima sampuli 2,170 na maambukizi ya nchi hiyo yamefikia 889. Katika visa vilivyotangazwa leo, 11 walisafiri kutoka Afghanistan na walikuwa karantini wakati wanafanyiwa vipimo. 7 ni watu waliokuwa karibu na wagonjwa wa...
  8. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maambukizi ya Corona yafikia 6,190 baada ya wagonjwa wapya 120 kutangazwa

    Kenya imetangaza wagonjwa wapya 120 baada ya kupima sampuli 2,221 ndani ya saa 24 zilizopita na jumla ya walio na maambukizi ya COVID19 imefikia 6,190 Kati ya wagonjwa waliotangazwa leo, 115 ni Wakenya na 5 ni wageni; 84 ni Wanaume na 36 ni Wanawake. Mgonjwa mdogo zaidi na miaka 6 huku mkubwa...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania licha ya kujiaminisha hawana corona, hawataruhusiwa kuingia bara Uropa

    Kwa Kenya kutokuwemo kwenye hii orodha inaeleweka maana hali sio nzuri, hatufichi maradhi na tumekubali tunacho kirusi na tunapambana, hivyo kwa sasa inaleta mantiki kwa sisi kuzuiwa kuingia popote, ila kwa wenzetu Tanzania wao wameng'ang'ania kwamba ndio taifa pekee dunia lisilo na tatizo la...
  10. Mkikuyu- Akili timamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukahaba Kenya: Licha ya Corona, Biashara inaendelea sasa mchana kweupe (Video)

    Wakenya humu huwa na tabia za kusingizia mataifa mengine eti wanawaletea Corona kumbe Nairobi wadau wanaendelea kunyanduana huku wakupumuliana na kumwagiliana Ute ulio jaa Corona. Lakushangaza ni kwamba hawa makahaba hautasikia serikali inawapima corona, Madereva wa kutoka nchi jirani eti ndio...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mpinzani wa Trump, Joe Biden asema Wamarekani Milioni 120 Corona imewaua

    Ni dhahiri kabisa mzee huyu hatamweza Trump, yupo serikalini kwa zaidi ya miaka 50 lakini hana idea kabisa na current events, sio mara ya kwanza na ni wazi kabisa ana ugonjwa wa kumbukumbu ikiambatana na kuwa na hasira za karibu. hata hivyo vyombo vinavyoongoza kwa kumtungia trump habari mbaya...
  12. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania VLOG: Jinsi vipimo vya nucleic acid vya virusi vya Corona vinavyochukuliwa China

    Takwimu rasmi zilizotolewa hivi karibuni zinaonesha kuwa watu milioni 90.41 nchini China wamefanyiwa vipimo vya nucleic acid vya virusi vya Corona, jambo ambalo limefuatiliwa na jamii ya kimataifa. Je, China inafanya vipi vipimo hivyo? Kwa mfano wa mji mkuu Beijing, tunaangalia kwa undani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Nyagori ashauri Taasisi za Afya kumpa tuzo Rais Magufuli kwa mapambano ya Corona

    PROFESA NYAGORI ASHAURI TAASISI ZA AFYA KUMPA TUZO JPM MAPAMBANO YA CORONA NA MWANDISHI WETU-MOROGORO Daktari Mshauri Mwandamizi wa Magonjwa ya Ndani na Moyo, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ambaye pia ni Mhadhiri wa vyuo vikuu mbali mbali vya tiba, Profesa Harun Nyagori, ameshauri...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marubani wa ndege ya Pakistan iliyoanguka walikuwa na kiwewe cha corona

    Hatimae ripoti iliyotoka baada ya uchunguzi wa visanduku vya kunasa sauti ya ndege ya Pakistan airways (PIA) aina ya Airbus A320 iliyoanguka mnamo tarehe 22 Mei mwaka huu 2020 na iliyokuwa imebeba watu 97, kumbe walikuwa wakijadili habari za corona safari nzima. Majadiliano hayo mwishowe...
  15. Mtini

    JamiiForums Tanzania Kasi ya maambukizi ya Corona licha ya lockdown inadhihirisha Corona si jambo la kibinadamu ni la kiroho zaidi

    Nimekuwa nikifatilia kasi ya maambukizi kwa nchi zilizo kwenye lockdown, nimestaajabu sana kuona maambukizi yanaongezeka badala ya kupungua. Kiukweli tulitarajia kuona maambukizi yameisha au kupungua sana, hebu jiulize nawe nchi iko kwenye lockdown zaidi ya miezi mitatu badala ya maambukizi...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu anasema corona inaweza kupotea yenyewe bila chanjo imeshaanza kupunguza makali

    Bingwa wa magonjwa ya kuambukiza, Profesa Matteo Bassetti amesema Ukali wa #CoronaVirus umepungua hivyo inaweza kuisha bila kuwa na chanjo Mtaalamu huyo wa kiitaliano amesema, #COVID19 imetoka kuwa chui mkali hadi kuwa paka mwitu. Kwa sasa ndani ya Italia hata wazee hupumua bila vifaa Mtaalamu...
  17. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kuanza majaribio ya chanjo ya Corona

    Afrika kusini imeanzisha majaribio ya kwanza ya chanjo ya virusi vya corona barani Afrika wiki hii, chuo kikuu kinachoongoza hatua hiyo kimesema leo, wakati nchi hiyo ikikabiliana na idadi ya juu ya kesi za maambukizi barani Afrika. Chanjo, iliyotengenezwa na taasisi ya Oxford Jenner, tayari...
  18. Influenza

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yatangaza ongezeko la Wagonjwa 23 wa Corona. Watanzania 2 na Wakenya 8 warudishwa nchini mwao

    Wizara ya Afya nchini humo imesema kuna ongezeko la Wagonjwa 23 baada ya sampuli 2,219 kupimwa jana na kufanya jumla ya Wagonjwa kufikia 797. Wagonjwa wapya wote ni Waganda Katika ya Wagonjwa wapya, watano ni miongoni mwa sampuli 1,308 zilizopimwa katika maeneo ya mpakani na 18 ni miongoni mwa...
  19. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Siri ya China ya kufanikiwa haraka kudhibiti kuenea kwa virusi vya Corona

    Baada ya kesi mpya za Corona kuripotiwa tena mjini Beijing, Tianjin, mji uliopo umbali wa kilomita 100 nje ya Beijing pia ilishuhudia kesi moja mpya. Cha kushangaza ni kuwa majibu ya vipimo vya nucleic acid kwa watu na vitu vyote alivyovigusa mgonjwa huyu vilikuwa ni hasi. Je, aliambukizwa vipi...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: Saudi Arabia yaweka marufuku ya Hija kwa wageni

    Saudi Arabia imepiga maarufuku raia kutoka mataifa mengine kufanya ibada ya Hija nchini humo mwaka huu ili kudhibiti virusi vya corona. Ni idadi ndogo tu ya watu wanaoishi kwa sasa katika ufalme huo watakaoweza kushiriki Hija, kulingana na tangazo lililotolewa kwenye vyombo vya habari vya taifa...
Back
Top Bottom