Nimemaliza kuongea na Rafiki yangu anayeishi Marekani, Ananiambia 'we are still working from home beacuse of Corona, America is becoming boring place'

Dr Bill

JF-Expert Member
Aug 26, 2020
463
500
Tuache siasa tuache majungu Magufuli ni mwanasayansi asiekuwa muoga na anaejua nini anafanya. Sio kwamba ana miujiza ila alichoweza kuwaaminisha watanzania ni kwamba corona ni mafua ya kawaida sana kawaida ila haiwezi kushindana na uwezo wetu wa kukabiliana na hali tete au hali ngumu.

Alichofanya Magufuli ni kawaondolea watu hofu na kuiona corona kama mafua ya kawaida that how he won against corona. Hili si swala la kiasiasa ni swala kutambua mambo pia tumshukuru Mungu pia kuwa katupa kiongozi anaweza kuona na kutambua hatari na madhara yake leo tungekuwa na lockdown maisha ya watanzania yangekuaje?

Magufuli he is the hero against corona in the world. Kampeni zinaendelea, wapinzani pamoja na chama tawala wote wanajaza watu kwa maelf kiukweli wakati wa corona tungekuwa na Rais toka CHADEMA mnajua maamuzi yangekuwaje.
 
Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,095
2,000
Kamari tuliyocheza imelipa,else tungekuwa tunaongea habari nyingine!Kuna mataifa walifanya kama sisi lakini wameangamia sana,angalia Brazil walivyoteketea!

Tumebebwa sana na ukanda wa eneo,ukiangalia nchi hizi za East Africa na majirani zetu wala Corona haijawa issue sana!

Nasisitiza kuwa Kamari tuliyocheza tumelamba dume!
 
Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,095
2,000
Kwa kweli na hii ni Faida ya kuwa Kiongozi mwansayansi kwa kweli Angekuwa Kiongozi mchumi mwansheia au mwanasheria tulikuwa lockdown in life some time you don't have to calculate risky that much
Usiseme hivyo,hiyo sayansi yenyewe ni hao hao wanaoteketea ndio wabobezi na maarifa ya sayansi tunakariri kutoka kwao!Sisi na nchi nyingi za Africa kufanikiwa kwenye Corona ni bahati ya mtende!Sio kwasababu tuna Rais mkemia!Hoja nyingine nyepesi nyepesi muwe mnakaa nazo tu vifuani mwenu kulinda heshima zenu!
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,188

Bahati ya mtende ndio maana yake nini..embu Acheni ujinga wa kuelewa habari zisizo nammbele wala nyuma..Hivi mzungu akikuuLiza kwanini tupo na hali hii unamweleza tuna bahati ya mtende....stupiddddd
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
24,091
2,000
Bahati ya mtende ndio maana yake nini..embu Acheni ujinga wa kuelewa habari zisizo nammbele wala nyuma..Hivi mzungu akikuuLiza kwanini tupo na hali hii unamweleza tuna bahati ya mtende....stupiddddd

..Ni bahati ya mtende.

..kwasababu kama ni kumuomba MUNGU, wazungu ndio waliotuletea habari za MUNGU tuliyemuomba.

..sasa imekuaje wao waliotu-introduce kwa MUNGU waathirike kuliko sisi?
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,293
2,000
Bora wao wana kazi za kufanyia nyumbani, nyie huku mmetoa ajira ngapi kwa vijana wanaomaliza vyuo vikuu kila mwaka?

Wacha kufikiria na kuandika kama mbayuwayu.
 
Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,095
2,000
Bahati ya mtende ndio maana yake nini..embu Acheni ujinga wa kuelewa habari zisizo nammbele wala nyuma..Hivi mzungu akikuuLiza kwanini tupo na hali hii unamweleza tuna bahati ya mtende....stupiddddd
Wewe ndio mpumbav,tupe sababu ya kwanini Corona haijaathiri sana nchi za EAC na majirani wa nchi hizo!
Stupid you!Je,approach tuliyoifanya ilikuwa na sababu za kisayansi nyuma yake au ni tulicheza kamari?Kichwa panzi kabisa!
Vipi kama Corona ingekuwa inapiga kama Ebola,tungekuwa wapi leo?
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
14,004
2,000
Usiseme hivyo,hiyo sayansi yenyewe ni hao hao wanaoteketea ndio wabobezi na maarifa ya sayansi tunakariri kutoka kwao!Sisi na nchi nyingi za Africa kufanikiwa kwenye Corona ni bahati ya mtende!Sio kwasababu tuna Rais mkemia!Hoja nyingine nyepesi nyepesi muwe mnakaa nazo tu vifuani mwenu kulinda heshima zenu!
Wanalindaje kitu ambacho hawana?
 
Bulesi

Platinum Member
May 14, 2008
10,762
2,000
Bahati ya mtende ndio maana yake nini..embu Acheni ujinga wa kuelewa habari zisizo nammbele wala nyuma..Hivi mzungu akikuuLiza kwanini tupo na hali hii unamweleza tuna bahati ya mtende....stupiddddd

Hakuna cha Bahati ya mtende, mmesahau kuwa watu wamekula sana malimao na tangawizi pamoja na kupiga nyungu? Hizo dawa za asili ndio zimetuponya; JIWE mwenyewe alikwenda CHATO wiki tatu kupiga nyungu aliporudi ndio akawa na hiyo jeuri ya kusema hakuna lock-down!!!
 
Babeli

JF-Expert Member
Jul 20, 2015
6,188
2,000
..Ni bahati ya mtende.

..kwasababu kama ni kumuomba MUNGU, wazungu ndio waliotuletea habari za MUNGU tuliyemuomba.

..sasa imekuaje wao waliotu-introduce kwa MUNGU waathirike kuliko sisi?
Jingalao wewe naona...we Mungu unamjulia wapi Jomba. .Achana na vitu usivyovijua. Kuwa kama mgombea wenu asiyejua Mungu ana ukuu gani..
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,757
2,000
Tuache siasa tuache majungu Magufuli ni mwanasayansi asiekuwa muoga na anaejua nini anafanya. Sio kwamba ana miujiza ila alichoweza kuwaaminisha watanzania ni kwamba corona ni mafua ya kawaida sana kawaida ila haiwezi kushindana na uwezo wetu wa kukabiliana na hali tete au hali ngumu.

Alichofanya Magufuli ni kawaondolea watu hofu na kuiona corona kama mafua ya kawaida that how he won against corona. Hili si swala la kiasiasa ni swala kutambua mambo pia tumshukuru Mungu pia kuwa katupa kiongozi anaweza kuona na kutambua hatari na madhara yake leo tungekuwa na lockdown maisha ya watanzania yangekuaje?

Magufuli he is the hero against corona in the world. Kampeni zinaendelea, wapinzani pamoja na chama tawala wote wanajaza watu kwa maelf kiukweli wakati wa corona tungekuwa na Rais toka CHADEMA mnajua maamuzi yangekuwaje.
Umenena vizuri lakini wanasaccos hawapendi kabisa kusikia habari kama hii. Kuna wengine walijipa kazi ya kutangaza vifo vya corona mpaka wakawa wanaenda makaburini na kutengeneza video clip fake sasa hivi wanaona aibu sana. G Sam njoo huku unaitwa mtangaza vifo vya corona unaitwa uje utujuze corona imeenda wapi?
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
15,070
2,000
Usiseme hivyo,hiyo sayansi yenyewe ni hao hao wanaoteketea ndio wabobezi na maarifa ya sayansi tunakariri kutoka kwao!Sisi na nchi nyingi za Africa kufanikiwa kwenye Corona ni bahati ya mtende!Sio kwasababu tuna Rais mkemia!Hoja nyingine nyepesi nyepesi muwe mnakaa nazo tu vifuani mwenu kulinda heshima zenu!
Watu wanashangaza mno. Nadhani kwa sababu sisi watanzania wengi hawana utamaduni wa kutafiti mambo. Unajua watu hajui kuwa nchi nyingi za Afrika kwa sababu ambazo bado hatuzijui hazikuathirika sana na huu ugonjwa. Hali ya Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia nk kwa kuathirika ni sawasawa kabisa. Tofauti ni kwamba rais wa Tanzania amekataza watu wasipimwe na wale wanaofariki wasitangazwe. Tena kwa idadi ya vifo vilivyotokea Tanzania tunaongoza kulinganisha na nchi nyingine za East Africa ila tofauti ni kuwa Magufuli alipuuzia tangu mwanzo hivyo watu wengi wakafariki kwa mpigo kile kipindi cha mwanzoni na baadae herd Immunity ikafanya kazi.
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,757
2,000
..Ni bahati ya mtende.

..kwasababu kama ni kumuomba MUNGU, wazungu ndio waliotuletea habari za MUNGU tuliyemuomba.

..sasa imekuaje wao waliotu-introduce kwa MUNGU waathirike kuliko sisi?
Kumbe wewe ulifundishwa Mungu na Wazungu?
 
magu2016

JF-Expert Member
Oct 8, 2017
6,757
2,000
Watu wanashangaza mno. Nadhani kwa sababu sisi watanzania wengi hawana utamaduni wa kutafiti mambo. Unajua watu hajui kuwa nchi nyingi za Afrika kwa sababu ambazo bado hatuzijui hazikuathirika sana na huu ugonjwa. Hali ya Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia nk kwa kuathirika ni sawasawa kabisa. Tofauti ni kwamba rais wa Tanzania amekataza watu wasipimwe na wale wanaofariki wasitangazwe. Tena kwa idadi ya vifo vilivyotokea Tanzania tunaongoza kulinganisha na nchi nyingine za East Africa ila tofauti ni kuwa Magufuli alipuuzia tangu mwanzo hivyo watu wengi wakafariki kwa mpigo kile kipindi cha mwanzoni na baadae herd Immunity ikafanya kazi.
Hopeless comment ever!! Sasa wewe hiyo idadi ya vifo ya Tanzania umeipata wapi wakati unasema hawatangazi? Nenda wakadanganye wanasaccos wenzako!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom