Alwaz
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,099
- 10,794
Baada ya zaidi ya nusu mwaka ya mchaka mchaka wa virusi vya corona wanasayansi wamekuwa hawana jibu moja kuhusiana na ugonjwa huo na kila njia wanayoelekea inawapeleka upande tofauti na walikotaraji kufika,Mojawapo ni kwamba zile nchi zilizopuuza masharti ya kujikinga na corona na kuamua kumuelekea Mungu ndizo ambazo maambukizi yamekuwa chini sana na vifo ni vichache sana au havitokani na corona kama ilivyo kwenye nchi nyengine.
Mfano mmojawapo ni nchi zote za Mashariki ya mbali hasa Pakistan,kwani wananchi wa nchi hiyo wakati duniani ilipokazia kufungia watu wao ndani kuzuia maambukizi na kipindi ambapo Marekani,Spain,Italy na Uk zikitoa taarifa ya vifo zaidi ya elfu kwa siku wao walikuwa wakipambana na askari waliowazuia kuingia misikitini.
Hatimae serikali ya Imran Khan iliwaachia wananchi wake kiaina.Sasa ndio wanasayansi wamepata kizunguzungu kutaka kujua nini sababu ya tofauti hizo kati ya huko na kule.
Scientists mull mystery of Pakistan's falling Covid-19 death rates