corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marais Barack Obama, George W Bush na Bill Clinton wajitolea kupata chanjo ya Corona

    Waliokuwa marais wa Marekani Barack Obama, George W. Bush na Bill Clinton wamejitolea kupewa chanjo ya ugonjwa wa corona kwa uwazi kabisa. Watatu hao ambao wawili ni wa chama cha Democrat na mmoja wa Republican wamesema kuwa watapata chanjo hiyo punde tu itakapoidhinishwa na wadhibiti wa...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Januari 1, Kenya yatangaza kurudisha kodi kama ilivyokuwa kabla ya corona

    Waziri wa Fedha wa #Kenya, Ukur Yatani ametangaza kurudisha kodi mbalimbali ambazo zilipunguzwa au kuondolewa ili kutoa unafuu kwa wananchi baada ya nchi hiyo kupigwa na janga la #COVID19 Watu wanaopata chini ya Ksh 24,000 sawa na takriban Tsh. 495,700 hawatalipa kodi ya mapato (PAYE). Kodi ya...
  3. Keynez

    JamiiForums Tanzania Changamoto isiyoongelewa: Maelfu ya wanafunzi wa Kitanzania kushindwa kwenda kusoma nje kutokana na corona

    Baadhi yetu kwa muda mrefu tumekuwa tunaongelea athari za kufanya mjadala wa athari za corona nchini kuwa ni mwiko. Moja ya athari zake ni familia za kitanzania pamoja na taasisi mbalimbali kushindwa kujipanga (kutokana na kwamba hawana taarifa) kutokana na mabadiliko ya lazima yanayoendelea...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

    Serikali ya Marekani kupitia Taasisi ya Centre for Desease Control ama CDC imetoa onyo kwa raia wa Nchi hiyo kuchukua tahadhari ya kutembelea Tanzania kwani kuna uwezekano mkubwa wa kuambukizwa corona. CDC imesisitiza kuwa watu waepuke kwa gharama zozote kutembelea Tanzania na kama ikitokea...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania WHO yaitaka Afrika kujiandaa na usambazaji wa chanjo ya corona

    Shirika la Afya Ulimwenguni-WHO, Alhamisi limezisihi nchi za Afrika kuandaa mipango ya kusambaza chanjo za COVID-19 kadri zitakavyopatikana. Utafiti mpya wa WHO uligundua kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziko tayari kwa kile kitakachokuwa harakati kubwa zaidi ya chanjo barani humo. Kupanga na...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya waliokuwa wakielekea Dubai wakamatwa na vyeti gushi vya corona

    Maafisa wa uwanja wa ndege nchini Kenya wamewakamata wasafiri 21 ambao waliokuwa wakielekea mjini Dubai, katika Muungano wa falme za kiarabu (UAE), kwa kutumia vyeti gushi vya Covid-19. Wasafiri waliokamatwa wanatarajiwa kufikishwa mahakamani. Wasafiri hao wamekamatwa wakati wa msako wa vyeti...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapunguza idadi ya wageni wanaohudhuria harusi kutokana na corona

    Chakula kitatolewa tu kwa wazazi na ndugu wa maharusiImage caption: Chakula kitatolewa tu kwa wazazi na ndugu wa maharusi Idadi ya wageni watakaoruhusiwa kuhudhuria harusi nchini Kenya imepunguzwa hadi kufikia watu 50 pekee kutokana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona nchini humo...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbwa kutumia kuwatambua wenye mambukizi ya corona Rwanda

    Rwanda na Ujerumani wamesaini makubaliano ya ushirikiano katika mradi wa kutumia mbwa kuwatambua walioambukia virusi vya Corona. Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Balozi wa Rwanda nchini Ujerumani Dkt. Thomas Kurz na Mkuu wa kituo cha kitaifa cha utambuzi wa utambulisha wa watu (RBC) Dkt...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania, mbona mumefyatuka namna hii kisa mzungu kahoji mlivyotumia msaada aliyowapa dhidi ya Corona?

    Mbunge mmoja kule Ulaya alihoji vigezo vilivyotumika kuwapa Watanzania msaada wa hela dhidi ya Corona ilhali wao Watanzania walishasema walipona Corona kwa kupitia maombi ya siku tatu. Dah! Naona Watanzania wamejibu kwa hasira, povu zinawatoka, mishipa imevimba. Hehehehe! Hapa hii video waziri...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Amani iwe nanyi tena wadau! Nimetoka kutazama mjadala mzito unaoihusu Tanzania katika Kamati ya Mambo ya Nje Bunge la EU. Napenda tu kusema yafuatayo 1. Tanzania tuna hali mbaya sana. Wajumbe wa kamati hii wameijadili vibaya sana Tanzania na wengine kupendekeza hatua kali zaidi zichukuliwe...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Corona si tishio tena, chanjo zipo nyingi

    Maradhi ambayo yamesumbua nchi nyingi duniani kwa takriban mwaka mmoja sasa iko karibu kutangazwa si tishio tena kwani mataifa mbali mbali yametangaza kuwa na chanjo zilizofanyiwa majaribio na kutoa tija zaidi ya asilimia 90. Nchini Marekani wana Pfizer na Moderna ambazo kila moja ina ufanisi...
  12. rumplelstiltskin

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

    Ripoti iliyotolewa na Kituo cha Bara la Ulaya cha Kuzuia na Kudhibiti magonjwa (ECDC) na baadaye ripoti hiyo kuchambuliwa na kusomwa na kituo kikubwa cha habari cha nchini Ujerumani cha Deutsche Welle (DW) imeitaja Tanzania kuwa nchi pekee duniani ambayo haijaripoti maambukizi yoyote ya mgonjwa...
  13. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Tanzania kutokuwa na Corona katika taarifa za dunia kumewachengua wazungu

    TANZANIA KUTOKUWA NA CORONA KATIKA TAARIFA ZA JANA ZA DUNIA KUMEWACHENGUA WAZUNGU. Leo 18:30hrs 16/11/2020 Leo nilizungumza na Wachina waliokatazwa na nchi yao ya China kurudi kwao China kwa sababu huu ni msimu wa baridi China na kama mtakumbuka mwezi huu ndio kicorona kilianza uko China...
  14. Relief Mirzska

    JamiiForums Tanzania My Corona relief trip and lessons therefrom

    Mwaka ulikuwa mrefu sana, mipango mingi ikaharibika, kifedha wengi kati yetu waliathirika (tuweni pole sote). Kama ilivyo kawaida niliyojipangia maishani mwangu, nitaacha yote lakini kila mwaka lazima niende holiday nje ya Tanzania. Hii ni ahadi niliiweka na siko tayari kuacha kuitekeleza ahadi...
  15. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya 23 wafariki ndani ya saa 24 kwa Corona, Jumla ya waliokufa ni zaidi ya 1,200

    Poleni sana majirani, ila hii Corona imewaonyesha uwezo wenu na udhahifu wenu kama nchi katika kukabiliana na majanga, sasa ninadhani kwa wakenya wengi wanajua kwamba kwa kipindi kirefu walikua wanadanganywa na viongozi wao kuhusu uwezo wa Kenya ukilinganisha na majirani wake.
  16. Naton Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanapukutika kwa Corona jamani

    Wakenya wanaisha lakini cha ajabu hawaongei Imebidi serikali yao ifunge shule zote, mikutano yote ya kisiasa na baa Leo tu watu zaidi ya 20 wameondoka, Tanzania tufunge mipaka yetu hawa watu ni Corona zinazotembea
  17. Consultant

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Corona imegeuzwa mradi wa kupiga pesa Kenya?

    Kenya kwa mara nyingine tena wamekwenda kulialia kwa IMF kuomba msaada wa bajeti (loan) ili wapambane na madhira ya COVID-19. Ikimbukwe kwamba hawa viongozi walipokea jumla ya US$ 739,000,000 mwezi wa tano tu mwaka huu Na kuonyesha msisitizo, Rais Kenyatta ametangaza night curfew upya na...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania IMF yazitaka nchi kudhibiti matumizi ya pesa kutokana na athari za Corona Kiuchumi bado zinaendelea

    The pandemic-induced economic crisis is set to leave deep scars. Human capital erosion from prolonged high unemployment and school closures, value destruction from bankruptcies, and constraints on future fiscal policy from elevated public debt top the list. Groups that were already poor and...
  19. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania CORONA isiwe mtaji wa kisiasa, hawakujali hata kama tungeisha wote

    Tusipotoshwe kua Korona haikua na athari, huende sisi tuliadhirika zaidi kuliko mataifa menginge ni kwa vile hatukua na takwimu za walipoteza maisha walizificha. Ni kweli tulimpoteza ndugu zetu wengi sana kwa gonjwa hili na kwa sababu haikuwekwa wazi basi wanaendelea kutotuambia ukweli. Sasa...
  20. YoungD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwani Tanzania kuna corona?

    Tanzania: African Development Fund approves $50.7m Covid-19 crisis response budget support 19-Oct-2020 The Board of Directors of the African Development Fund (ADF) has approved a loan of UA 36 million ($50.7 million) to Tanzania, to finance the nation’s response to the COVID-19 pandemic. The...
Back
Top Bottom